Julai 10 Kikundi cha Mawaziri wa Jumuiya ya Madola (Commonwealth Ministerial Action Group - CMAG) kilitoa mrejesho wa ziara ya mwakilishi wake, Dk Lazarus Chakwera aliyekuja nchini Machi 2026 kuchunguza vurugu zilizotokea katika uchaguzi wa Oktoba 29, 2026.
Katika taarifa yake, CMAG imetoa muda...
Baadhi ya mikoa naona kama bado usimamizi upo chini kumekuwepo na baadhi ya Vyombo vya Habari vinavyoajiri watu wasio na sifa husika kwa kuwa tu wanajua watawalipa kiasi kidogo cha fedha.
Wale wenye sifa stahiki inaonekana kama watakuwa na gharama kubwa, na kwa kuwa Wazee wa JAB wenyewe ni kama...
Anonymous
Thread
bodi
bodi ya ithibati
dar
haya
kubwa
masharti
media
pekee
Hivi karibuni, kumekuwa na ushabiki wa kipumbavu sana, hasa kutoka kwa wakereketwa wa CCM, pale waliposikia USA wataipatia Tanzania msaada wa huduma za afya wa USD 1.3 ndani ya miaka mitano ijayo. Sasa hawa wenzetu wasio na uwezo wowote wa kufikiri wameshangilia sana kusikia hili, hata wakibeza...
Masharti ni haya yafuatayo
1 Aondoe sunction zote za Iran na aondoe maheshi yake karibu na Iran
2 Wasimamishe vita mpaa Lebanon (mimi naona hapo Israel akijidai mbabe wamwachilie Iran amtie adabu Israel hahaha)
3 Wasingile mambo ya ndani ya Iran
4 Waondoe sunction ya baharini
5 HORMUZ...
Pamoja na kuwa bado utakuwa na kibarua kigumu kuhusu yaliyotokea October 29th 2025, bado unaweza kuonesha remorse and a road to a fresh start kwa yaliyotokea 29th October 2025 kwa kumwachia Lisu as a good gesture to a road to truth, accountability and finally reconciliation.
Hao wanaokushauri...
Wanaukumbi.
🇮🇷 Iran Yakataa Masharti ya Marekani Kuhusu Fidia:
🇮🇷 Iran yasema Marekani haiwezi kuamua fidia ya kifedha kwa upande mmoja katika makubaliano yoyote ya amani.
Tehran inadai:
Kuondolewa mara moja kwa mali zote za Iran
Kuondolewa kabisa kwa vikwazo vya mafuta
🇮🇷Iran inaweza kupata...
Guys
Natumaini kila mtu yuko salama. Naomba kuuliza tu kwamba ni sawa kuwa na mahusiano ambayo kuna masharti .... Kwamba ili uhusiano uwepo lazima usifanye ABC.... Na ili uwepo lazima ufanye ABC...otherwise get lost.
Hivi huwa yapo hayo au Mimi ndio sielewi.
Wanaukumbi.
Spika wa Bunge la Iran, Mohammad Bagher Ghalibaf, amesema hakuna njia nyingine isipokuwa kukubali haki za wananchi wa Iran kama zilivyoainishwa katika pendekezo la vipengele 14 lililowasilishwa na Tehran.
Kauli hiyo ilichapishwa Jumatatu jioni kupitia akaunti yake kwenye mtandao wa X...
Kumchizisha ndugu yako awe ndondocha, kila siku unaporudi unajijua wewe ndio chanzo chake kuwa chizi
Kumuua mzazi wako, mtu aliekuleta duniani umemtoa duniani anatumika kama msukule.
Kumuua mtoto wako, damu yako umeitowesha duniani kwasababu ya tamaa yako ya pesa.
kukatazwa kusaidia ndugu...
Anata Iran iachane na nyuklia yake yote huku yeye na Israel wao wazidishe kuzalisha. Iran amesema kama ni hivyo warudi tu vitani, hakuna binaadam mwenye akili anaweza kukubali masharti hayo
Kwanza nawapongeza UTPC kwa kupata fedha ambazo pia zitatumika kulipa waratibu. Hilo ni jambo jema sana hakika mnstahili pongezi.
Lakini kilichonileta hapa ni baada ya kupokea barua kutoka UTPC ikitoa maelekezo kwa sisi viongozi wa Klabu tujaze fomu za maelezo (kama inavyoonekana hapo chini) na...
Mimi nina dukuduku langu kuhusu recruitment process za sekretarieti ya ajira kupitia Ajira Portal.
Tarehe 26/03/2026, nilihudhuria written interview ambayo tarehe na venue nilielekezwa pale IAA Arusha, Post za Accountant Officer 2, baada ya kufika Wakaguzi wakawa wanafanya physical verification...
Anonymous (a9f4)
Thread
ajira
masharti
sekretarieti
sekretarieti ya ajira
usaili
wengi
Kuna siku nikiwa nikiwa mdogo nilikuwa namsifia mzee mmoja ni tajiri lakini yupo simple, mavazi yake huwezi kumdhania ni tajiri.
Nikaambiwa huyo anafuata masharti maalum ya kuoga, haruhusiwi kuoga oga akikiuka pesa zote zinapotea
Swali la kizushi kwenu
Tuchukulie ingekuwa kweli kama...
Zanzibar sio nchi ni sehemu ya nchi ya Jamhuri
Moja ya jambo la hatari Kwa taifa ni kuruhusu masharti ya kidini kuingizwa na KUSIMAMIA Kwa watu wote wa Jamhuri ya TANZANIA
Nakemea vikali unafiki wa viongozi Jamhuri ya muungano wa Tanzania kufumbia macho masharti ya kidini kutekelezwa Kwa watu...
1. Nguruwe Netanyahu lazima akabidhiwe kwa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai.
2. Chombo cha Israeli lazima kiondoke Gaza na kusini mwa Lebanon hadi mipaka ya Oktoba 7, 2023 na kufuta mpango wa amani wa Trump kwa Ghaz'aa.
3. Kuzingirwa na vikwazo dhidi ya Iran lazima viondolewe, na mali zake...
Ikumbukwe awali serikali ya Tanzania ilikataa kuupokea ujumbe wa Chakwera.
Masharti waliyopewa na Mkutano wa Commonwealth uliopita 71, Dec 5, 2025.
============...
Rais masudi pezeshkian wa Iran Leo ametangaza kusitisha mashambulizi kwa nchi jirani za kiarabu kwa masharti kwamba wasiruhusu anga wala ardhi zao kutumika kushambulia Iran. Lakini msemaji wa jeshi la Iran nae akasisitiza kuwa mashambulizi dhidi ya Israel na marekani yataendelea kama kawaida...
Mzee wetu Donald Trump karibu utusaidie kuifungua JamiiForums kwa kumteka aliyeamuru ifunguliwe.
Mchukue uende naye hatumtaki. Turudishie waliotekwa ukifanya hivyo bandari zote za tanganyika nilizopewa bure nakupa wewe uziendeshe kwa sharti la kulegeza masharti ya kupata VISA ya marekani kwa...
Mikopo ya wafanyakazi sasa inafanyika kupitia mfumo wa kuhifadhi taarifa za watumishi wa serikali ESS.
CHA KUSHANGAZA MPAKA SASA HUDUMA ZA KUOMBA MKOPO NI ZILE ZILE LICHA YA KUCHUKUA MUDA MFUPI.
PIA RIBA YA 17% NI KUBWA NA V.A.T JUU. Hii si sawa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.