king'amuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zamaulid

    King'amuzi cha Continental ovyo kabisa

    Hawa jamaa walikuwa hawako hewani siku nyingi. Wakarejea na kutuma meseji Kwa tuliokuwa wateja wao. Cha ajabu ukiwapigia hawapokei simu, na ikitokea bahati mbaya wakapokea wanajibu utumbo na kukata simu. Hii meseji yenu nyie continental mnatutumia ya nini?! Ndugu mteja,kama bado unapata shida...
  2. lufungulo k

    Tusameheni, tufikirieni, onesheni usomi wenu kisimbuzi cha Azam na TANESCO

    King'amuzi ninacholipia ni kile cha Tsh 25,000/= napenda sana kuangalia NBC PREMIER LEAGUE na vipindi vingine, lakini sasa huu mchuano mkali wa mgao wa umeme imebidi niombe Suluhu. Wasomi wa Tanesco na wasomi wa Azam kaeni chini msugue BONGO zenu mje na suluhisho Tanesco mnanisaidia sana BILL...
  3. rutajwah

    Msaada: Jinsi ya kupata channel za local kama ITV,EATV TBC etc Kwenye king'amuzi cha startimes

    Habari wanajf, nilinunua kig'amuzi cha startimes miezi mitano iliyopita ila tatizo ni kwamba nliangalia channels za ofa kwa wiki tu, then zikabaki za local yaan itv,eatv,tbc1 kwa muda mwa miezi minne, Sasa hvi hata hzo local zimeondoka naimebaki na Guide na ubc tu. So nimekuja hapa kwa wanajf...
  4. U

    Msaada: Kisimbuzi cha Azam kinasumbua

    Kwanza ninawashukuru wote mlionishauri kubadili king'amuzi baada ya kile cha zuku kuwa kinaniandikia no signal kila siku hasa mawingu yanapotanda!Nilihamia huku kwa Azam! Sasa baada ya kukizoea toka juzi wingu limetanda na mvua inanyesha kama ilivyotabiriwa! Ajabu toka juzi naandikiwa "No or...
  5. U

    Je, dishi la zuku linaweza kunasa mawimbi ya king'amuzi cha Azam?

    Ndugu wajuzi njooni hapa mnielimishe! Mahali nilipo kuna upepo balaa.King'amuzi cha zuku kilishindwa muda, nikahamia StarTimes nao ni walewale! Wingu likija tu basis mawasiliano byebye! Imefikia hatua namaliza siku hakuna cha taarifa ya habari wala nini! Nimesikia azamu wakijinadi kuwa inyeshe...
  6. KAGAMEE

    Kuna umuhimu gani wa kulipia king'amuzi wakati umeme hakuna?

    Wakuu habari zenu.Mimi siyo mwanasiasa japo siasa naona inanishindisha giza na kunilaza giza.Ndani ya siku 30 nilizolipitia king'amuzi changu cha AZAM nakadiria kutumia bandle hilo kwa siku 11 tu. Siku zingine umeme hakuna. Sijui wenzangu mnaiona hiyo hasara wanayonipatia TANESCO
  7. K

    Msaada king'amuzi cha Azam

    Nina king'amuzi cha antena cha Azam, mtoto sijui kabonyeza wapi kimeandika No subtittle, halafu haibadili chanel, hiyo naitoaje?
  8. M

    Natafuta king'amuzi cha Azam

    NATAFUTA king'amuzi cha azam kwa bei ya elfu 70 kama mtu anacho anicheki 0768842303.
  9. Nyuki Mdogo

    Igoma - Mwanza: Jipatie king'amuzi cha Azam kwa 120,900 tu

    Habari za kuamka? Habari za mchana? Habari za jioni... Nauza Azam decoder hio kwa 120,900 tu. Igoma Mwanza. 0744 033 555
  10. Mchochezi

    King'amuzi cha Canal+ chaanza kuwa na chaneli za Kiswahili

    Hatimae chaneli za Kiswahili zaanza kupatikana katika king'amuzi cha Canal+ ambacho pia kinarusha mechi mbalimbali za soka za ulaya kwa lugha ya kifaransa. King'amuzi hiko ambacho kinapatikana kwa connection hapa Tanzania, kimetokea kujizolea umaarufu mkubwa kwa wapenda kandanda.
  11. N

    Kuona kombe la Dunia kupitia TBC1 katika king'amuzi cha Antena cha Azam

    Habari wajumbe, Naomba kujuzwa kama wanaomiliki ving'amuzi vya Azam vya Antena , wanaweza kuona mechi kadhaa zinazorushwa na TBC1 za Kombe la Dunia. maana nimekuwa nikisikia taarifa zinazokinzana, kuna wale wanaosema , unaweza ukaona na wengine wanasema Azam wanablock TBC1 wakati wa mechi...
  12. mr man city

    King'amuzi kinahitajika Mwanza

    Nashida na king'amuzi cha dstv used.fulk set. Nipe bei yako. Nipo Mwanza,Malimbe maeneo ya chuo cha SAUT
  13. Wand

    UZUSHI DStv wapandisha gharama za vifurushi kwenye king'amuzi kutokana na tozo za Serikali

    Imeripotiwa tozo za Serikali kwenye ving'amuzi itaanza rasmi Septemba 1 kwa DStv kutangaza gharama mpya ya vifurushi.
  14. Linguistic

    Waziri Nape Alitudanganya Local Channels Kuonekana Kwenye King'amuzi Cha DStV?

    Wakuu kuuliza Sio Ujinga . Niliwahi sikia kupitia Kwa Waziri Mmoja akijinasibu Kwamba local Channel Zote za Tz zimerudishwa kwenye Decoder ya DStv. . Na Hata Kama Kifurushi chako kikiisha zile local channels zinaendelea kuonekana. . Lakini Cha ajabu kifurushi chako Cha DStv kikiisha na kama...
  15. H

    Mwenye uelewa mpana kuhusu king'amuzi hiki

    Habari ya mchana ndugu zangu, samahani kwa yeyote anaejua au mwenye taarifa za kutosha kuhusiana na DVB t2 Satellite Receiver anisaidie plz. Maana nmeckia kuwa ni kin'gamuzi kisichokuwa na malipo ya mwezi ni free channels yaaani una access channels zaidi ya 100 inategema na location Yako lkn...
  16. Replica

    DSTV yaondoa chaneli za Urusi kwenye king'amuzi chake Afrika

    Naona Western Bloc wanataka kubaki peke yao wanapiga propaganda vita ya Urusi na Ukraine ambapo Multichoice Afrika maarufu kwa kisimbusi chake cha DSTV imeiondoa chaneli ya Urusi ya Russia Today(RT) ambapo kwenye tamko lake wakisema hatua hiyo wamelazimika kuichukua kutokana na vikwazo...
  17. B

    Pale unampigia kura ya hapana Spika ukashangaa matakoe yanasoma 100%

    Kwanini Watanzania wa leo tunaamini kwenye inflation? Kwanini tunaamini Sana kwenye ushindi wa asilimia 100%? Kwanini tumepumbazika na cooked data? Kwanini tunawaza sana kwamba tukishinda kwa kishindo tutaleta maendeleo kwa kishindo? Nimepokea taarifa kwamba upon uwezekano mkubwa 100% isiwe...
  18. M

    Nauza king'amuzi cha Azam - Bunju B

    Wadau, Nauza King'amuzi cha Azam, kizima na kinafanya kazi. Bei Tshs. 100,000 (Laki Moja). Kiko Bunju B Dar es salaam. Piga 0754 34 36 42
Back
Top Bottom