bangi

  1. Fbn

    JamiiForums Tanzania watumiaji wa mirungi wapo wengi na bangi ila mbona mnazibiti wakati mpaka ikulu wanatumia.

    Mimi na cheka sana yani hapa mjengoni na idara kubwa wanao jifanya pombe sio ila watumiaji wa hivi vitu. Kuna mmoja idara kubwa na tajiri na mpenzi wa mirungi anatumiwa sana . Mbona sheria kama hipo kwa maskini sio kwa wao wenye sheria.
  2. Kevzy

    JamiiForums Tanzania Bangi kama chakula fulani kikikukataa kiache usile

    Wanajukwaa hamjambo Dunia Ina vitu vingi tunavyovitumia kama chakula na binaadamu tupo na mzio/aleji wa vitu na vyakula mbali mbali na huwa ukila chakula husika ambacho una mzio/aleji nacho uenda usiweze kuinjoy chakula au inaweza kukupelekea kupata ugonjwa fulani, au au au au Binafsi sili...
  3. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania "Nilitumia bangi ya 7000 kwa siku kwa miaka 29 sasa nimeacha"

    Baada ya kutumia bangi kwa kipindi cha miaka 29, mwanaume mmoja ametoa ushuhuda mbele ya Mtume Boniface Mwamposa katika Mkutano wake mkoani Morogoro akieleza jinsi alivyokuwa ametumbukia kwenye uraibu huo kwa muda mrefu. Akitoa ushuda huo amesema alikuwa akitumia bangi yenye thamani ya Shilingi...
  4. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Jamii ya marasta wa Kenya waenda Mahakamani kudai bangi ihalalishwe

    Link hii hapa ifuatie mwenyewe:- https://www.instagram.com/reel/Da0i0W-oQ2V/?igsh=Z25sMmNyNnY5cDFo
  5. Red black

    JamiiForums Tanzania Nashauri serikali itenge eneo hata la hekari 700 pajengwe ukuta ambapo raia hawataingia kizembe then kifanyike kilimo cha zao la Bangi kisasa.

    na watu binafsi pia wapewe vibali waanze kilimo hicho kuwepo na mashamba darasa, Zao la Bangi likishaa komaa na kukaushwa liwe processed kidogo then lipelekwe nje direct kwenye viwanda vya madawa ya binadamu. Tz mapori ni mengi sana
  6. Magayor Mongolian

    JamiiForums Tanzania Kati ya Bangi na Visungura kipi kina madhara makubwa kwa vijana wa sasa?

    Mzuka wana jamvi . Miaka ya nyuma wazazi wengi walikuwa wanalalamika watoto wao kupotea na kuanza matendo ya kihuni wanapoanza uvutaji wa sigara bwege (Bangi) . Sasa hivi umeingia ulevi mpya wa kutumia Visungura, unakuta kijana mdogo umri kama Funny boe anapiga visungura kama hana akili...
  7. figganigga

    JamiiForums Tanzania Angalia Polisi anavyo simama kwenye Moshi wa Bangi wala hapigi chafya, eti ni Ukakanavu

    Wakati wenzake wamevaa barakoa na wamesimama pembeni ya moshi, Polisi yeye kuonesha ukakamavu, kasimama kwenye moshi wa bangi bila hata barakoa🤣🤣🤣 Tukio hili limetokea wakati Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu likiteketeza shamba la bangi lenye ukubwa wa zaidi ya ekari moja katika Kijiji cha...
  8. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Mchina kaleta pikipiki Sinoray cc 200 (umeme), vijana wa Arusha wanazitumia kusafirishia mirungi na bangi

    Hizi Sinoray mpya umeme ni mwisho wa matatizo. Zina speed kubwa sana kiasi cha kufanya sio rahisi kushikwa. Vijana wa kirangi na chuga wanazitumia kama fursa ya kusafirishia mirungi na bangi kutoka border za Kenya kuleta Tanzania. Ukikutana nao hiyo convoy kaa chonjo maana wanakuwa na mapanga...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Katavi: Askari Polisi ashtakiwa kwa kuomba na kupokea Rushwa ili awaachie waliokutwa na gunia 10 za bangi

    Mei 04, 2026: Imefunguliwa kesi ya Jinai Namba CC. 9474/2026 katika Mahakama ya Wilaya ya Mlele mbele ya Mhe. Kibona. F, Jamhuri dhidi ya RABIEL ROBERT KAAYA, askari wa Jeshi la Polisi mwenye Namba za Kijeshi H. 3083 mkazi wa Majimoto Wilaya ya Mlele Mkoani Katavi. Hati ya Mashtaka imesomwa na...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Lugha gongana

    Mvuta bangi alikua anaongea na mlaji miraa. Mlaji miraa akauliza mvuta bangi kama india ni mbali na tanzania. Mvuta bangi akasema ni karibu kwa sababu mkubwa wangu mhindi huja na baiskeli kila siku kutoka india asubuhi kazini
  11. Red black

    JamiiForums Tanzania Bangi inaweza kukufanya ukumbuke vitu ambavyo haijawahi kutokea kabisa. Unajiona uko New York kumbe uko Kigoma ndani ndani

    unajiona tajiri una majumbu kila city kumbe ni hallucinations inayosababishwa na shada/bangi Cc Vincenzo Jr
  12. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Bangi na pombe Kali ni hatari nimerudi mtaani naona vijana wamezeeka ghafla

    Yaani madogo kabisa walikua wanaenda shule wananisalimia brother Sasa nikasafiri kurudi najuta madogo wamezeeka ghafla eti kisa kuvuta bangi na pombe Kali aisee hii nashindwa kuelewa yaani nimepiga nao picha Mimi naonekana dogo wenyewe kama wazee halafu miaka Yao 17 mwisho 25 lakini...
  13. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Kwa uzoefu wangu, mashamba mengi makubwa ya bangi huwa ni ya viongozi wakubwa

    Ukibisha bisha tu lakini kiuhalisia ndio iko hivyo. Pwani wilaya ya Kisarawe maeneo ya mto Ruvu nikiwa huko kulikuwa na mashamba makubwa tu bangi ya vigogo na yana wafanyakazi kama sisi tulivyo na wafanyakazi kwenye kilimo cha nyanya. Vile napenda kuzurura nikaenda Morogoro tena hukohuko mto...
  14. Seran

    JamiiForums Tanzania Bangi: Kwanini wengine wanaifurahia, lakini wengine hupata madhara makubwa?

    Hola! 🙋🏽‍♀️ Ningependa kujua maoni yenu kuhusu bangi(420) pia huitwa weed, marijuana, ganja, n.k.. Kuna watu wanasema wanaitumia kwa kujisikia vizuri, kupunguza stress au hata kama dawa. Pia nimesikia kwamba baadhi ya watu wanaofanya kazi ngumu au zenye msongo mkubwa (kama hospitali au...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Kisa cha mvuta bangi

    Mvuta bangi mwanaume alivuta bangi akajiona uchi akadhani amevaa suti. akaenda kwa wenzake akawauliza suti imemtoa aje .mmoja wao akamjibu Poa sana ila tu tai umefungia chini sana
  16. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Chonde chonde nawasihi: Msije mkachanganya bangi na meditation!

    Matokeo hayatakuwa mazuri Usipowehuka unaweza kujikuta unafanya mambo mabaya yatakayokuweka pabaya Bangi na meditation havina tofauti na pombe na ugoro.. Havichanganywi Bangi inafumua akili.. Moshi wake huenda direct kwenye ufahamu! Inaweza kukuzibua ufahamu ikakupa uthubutu wa ajabu ukafanya...
  17. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Nilipika bangi kama mboga za majani

    Naam ni miongo kama minne unusu ishapita katika mkoa wa Iringa. Nyakati hizo mabasi yalikuwa yanasafiri usiku, Safari yangu ilianzia Kiborlony kuelekea Railway Station. Treni iliondoka jioni tartiibu tuna ambaa ambaa kuuacha mkoa wa Kilimanjaro, Nilikuwa daraja la pili la kukaa..."Second...
  18. Pdidy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanachuo mwaka wa 4 akutwa na misokoto 650 ya bangi bwenini

    A 4th-year Garissa University student has been arrested after 650 sticks of bhang were recovered from her wardrobe during a security operation. Image: Kenya Police
  19. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Polisi Kenya wakamata bus kutoka Tanzania likisafirisha bangi

    Police nab Tanzanian bus company ferrying bhang worth Sh2.5 million to Nairobi in Namanga Poleni watoto wa mama, mama atawatetea msilie ee
  20. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Ila kusema ukweli wavutaji bangi mnatupanga sana

    Bangi ni sigara kama sigara zingine haina uhusiano wowote na uhuni na uchizi kama mnavyotuigizia wavuta bangi. Wakati zinaingia sportsman na Sm wale wavutaji wa kwanza walijidai kulanduka na kuwaka sana hadi ikakaririwa kuwa sportsman na sm, hasa sportsman inasababisha uhuni, kulanduka na wakati...
Back
Top Bottom