Nalaani tabia ya watu wengi waliobaki kutokuheshimu wosia wa Marehemu.
Gardner alisikika mara kadhaa redioni akisema siku akifariki wimbo wake pendwa " do you want a beer" kutoka Zimbabwe upigwe msibani, naomba wosia huu uheshimiwe na kila aliyebaki.
https://youtu.be/K08KPcivpv8?si=3AzwB3M_YnU_Pjo-
Mtu ni magonjwa na kashafika 60 cha ajabu hajaandaa Wosia wowote wala kuandika Urithi, anaacha kivumbi na kutoelewana pindi akifa.
Mtu hawajulishi watoto wake kwamba ana mali fulani, matokeo yake kuna wapangaji wanaweza kujimilikisha nyumba ambazo hawajajenga, watu wanajimilikisha mashamba...
Wosia ni maandishi au maneno anayo ya tamka mtu akielezea taratibu za mazishi yake,warithi, wake baada ya kifo chake
WOSIA KATIKA SHERIA YA KIMILA
Wosia wa maneno ya mdomo lazima wawepo mashahidi wasiopungua wanne na wawili kati ya hao lazima wawe ndugu
WOSIA KATIKA SHERIA ZA KISERIKALI
wosia...
si nawatisha
ni kutokana na exp ya vifo mwezi december na jinsi familia zinavyoteseka wakati wa msiba hasa unapokuta marehemu ajaacha wosia wowote ama kujuza ndugu ana watoto nje ya ndoa
kila ...itaonja mauti ila ushauri wangu n muhmu sana december unaposafiri kwenda mikoani jitahidi uwe...
Mhasibu Mwandamizi kutoka Wizara ya Fedha, CPA Jenipha Josephat Ntangeki ametoa ushauri huo wa Wosia wakati akitoa elimu kuhusu umuhimu wa jamii kuzingaia wosia alipokuwa akishiriki Kongamano la Wanamitandao ya Kijamii na Wizara ya Fedha kwenye Ukumbi wa 88 Mkoani Morogoro, Jumanne Oktoba 24...
Mwanangu
Yatazame tu maisha hivi hivi ila asikuambie mtu;
Hapa duniani hukuomba uletwe,Ulijikuta tu huko hapa umeunga mstari so inabidi uendelee ila asikuambie mtu maisha yatazame tu.Ila wacha nikwambie ukweli mdogo niliojifunza kuhusu Maisha.Huenda ukakusaidia
Kuhusu Siku na Wakati
Kila siku...
Habarini za usiku wependwa
Naomba msaada kwa anaejua ni utaratibu gani wa kufuata ili mtu aweze kuandika wosia aweze kugawanya mali zake na je.? Inawezekana kumrithisha mtoto wa kuanzia umri gani na uo wosia ukisha andikwa unatuzwa wapi na ikitokea alie andika amefariki walengwa wataupataje...
NIPASHE YA JANA 04/06/2023
Kama nilivyoahidi wiki iliyopita Wosia mzito wa William Malecela (Le Mutuz) kwa CCM, Wapinzani, Serikali na kwa JamiiForums uzingatiwe na kutekelezwa ili tuendelee kumuishi kuwa wiki hii, nitawaandikia kile alichokisema mtoto wa Mzee Malecela, hayati William Malecela...
Wanabodi,
Hii ni makala yangu kwenye Nipashe ya leo.
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa, ambazo huwa na swali, likifuatiwa na hoja, kisha jibu utalitoa wewe mwenyewe.
Swali la mada hii ni Je
Wosia mzito wa William Malecela (Le Mutuz) kwa CCM...
Binadamu wote ni lazima tupitie kifo ikiwa ndio mwisho wa maisha yetu hapa duniani. Wakati wa uhai mtu unaweza kumiliki mali zinazohamishika na zisizohamishika mahali tofauti tofauti ndani au nje ya nchi ya Tanzania. Kuondoka kwako duniani kwa njia ya kifo hakufanyi mali zako zipotee kwa...
Mke wa bilionea, marehemu Reginald Mengi ameendelea kukumbana na vigingi vya sheria baada ya mahakama ya rufaa kuondoa maombi yake ya kupinga uamuzi uliobatilisha wosia wa mwisho wa marehemu Reginald Mengi.
Mahakama imekubali hoja za upande wa watoto wakubwa wa marehemu na kubaini viapo...
Japo sheria haisemi juu ya wapi pa kuhifadhi wosia, kivitendo na ilivyozoeleka kwa walio wengi sehemu zifuatazo zinaweza kutumika katika kuhifadhi wosia:
1. Benki
2. Mahakamani
3. Kwenye ofisi ya mwanasheria
4. Kwenye ofisi ya kabidhi wasii mkuu- RITA
Inashauriwa kuhifadhi katika mojawapo ya...
Migogoro mingi ya mirathi kwenye familia hutokea pindi mhusika anapofariki dunia, huku akiwa hajaacha wosia.
Wosia ni maandishi au kauli inayoachwa na mtu anapokuwa hai ni namna gani angependa mali zake zigawanywe kwa warithi wake pindi atakapofariki dunia. Kuna aina mbili za wosia ikiwemo wa...
Tunaaminishwa kwamba ili kuondoa migogoro ya kugombea mali za Marehemu ni muhimu kuandika wosia.
Maana ya wosia: refers to the document written by a testator that details what is to happen to property owned by that testator upon death.
Kwa mantiki hiyo wosia ni matakwa ya mwenye mali kuamua...
Jina langu nililopewa na walimwengu najulikana kama KITABU MFUMBUZI WA MATATIZO.Nimezaliwa DUNIANI kote kwa mwaka usiokuwa na jina toka Enzi katika kila Pembe ya Dunia, Ninaishi TANZANIA, Nchi TAJIRI yenye watu MASIKINI ndani yake.Nimevumilia nimeshindwa nimeona Bora niseme TANZANIA ina watu...
Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) imetakiwa kukusanya maoni kwa wananchi kuhusu sababu ya mwamko mdogo wa Wananchi katika kuandika wosia.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Mary Makondo amesema wosia siyo uchuro, mtazamo hasi kuhusu suala hilo umesababisha kuibuka migogoro...
Mahakama ya Rufaa ya Tanzania iliyo na vikao Dar es Salaam, kesho tarehe 11.07.2022 itatoa hukumu juu ya uhalali au ubatili wa wosia ulioachwa na marehemu Dk. Mengi. Hukumu hiyo katika rufaa ya madai namba 332/01/2021 iliyofunguliwa na mjane wa Dk. Mengi, Jackline Mengi itasomwa na majaji watatu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.