mombasa

Mombasa ( mom-BASS-ə, also US: -⁠BAH-sə) is a coastal city in southeast Kenya along the Indian Ocean. The city is known as the white and blue city in Kenya. It is the country's oldest (circa 900 AD) and second-largest city (after the capital Nairobi), with a population of about 1,208,333 people according to the 2019 census. Its metropolitan region is the second-largest in the country, and has a population of 3,528,940 people.Mombasa is a tourism-based city; it has an extra-large port and an international airport, and is an important regional tourism centre. Located on the east coast of Kenya, it also is the home of one of the state houses, and is considered by some as a second capital in all but name.
In an effort to increase tourism, in June 2018 Mombasa County Governor Hassan Joho issued a directive requiring that all buildings in the Old Town and the Central Business District be painted white with Egyptian blue trim and banning all signs from their walls or canopies. "This allows tourists to take photos," explained Transport, Infrastructure and Public Works County Executive Tawfiq Balala. "We want to be the most photographed city in Africa." The order was challenged by the Commission For Human Rights and Justice, but Judge Erick Ogolla upheld the requirement.In Mombasa County and the former Coast Province, Mombasa's situation on the Indian Ocean made it a historical trading centre, and it has been controlled by many countries because of its strategic location.

View More On Wikipedia.org
  1. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania BANDARI YA DAR ES SALAAM YAPANDA KIMATAIFA, YAIACHA MOMBASA NA DURBAN

    Bandari ya Dar es Salaam imeorodheshwa nafasi ya 255 duniani katika Container Port Performance Index (CPPI) 2025, ikiwa mbele ya Mombasa (396), Durban (398) na Cape Town (400). Tathmini ya Benki ya Dunia na S&P Global hupima ufanisi wa bandari kwa kuangalia muda ambao meli hutumia bandarini...
  2. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kutoka Kwenye 'Newsroom' Mpaka Kwenye Siasa - Mwandishi Lulu Hassan Aanza Kupata Ladha ya Mvita

    Video ya Mwanahabari wa Citizen TV Lulu Hassan akiharakisha kuelekea kwenye gari lake huku walinzi wakimzunguka imezua gumzo huko Mvita kaunti ya Mombasa. Katika video hiyo ya Ijumaa, Oktoba 2, 2026, kundi la watu linaonekana kumfuata huku baadhi yao wakidaiwa kutaka msaada wa kifedha. Hata...
  3. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania WATANZANIA 2 WALIOKAMATWA MOMBASA KWA KUDUWAZA ABIRIA NA KUWAIBIA KUZUILIWA SIKU 21 - Mali ya Zaidi ya Sh2M Yadaiwa Kuibwa

    Mahakama ya Mombasa imewaruhusu Polisi kuwazuilia kwa siku 21 raia wawili wa Tanzania wanaoshukiwa kuhusika na madai ya kuwaduwaza abiria wa mabasi na kuwaibia mali zao. Uamuzi huo unawapa wachunguzi muda zaidi wa kukamilisha uchunguzi kuhusu tukio ambalo linahusisha mali yenye thamani ya zaidi...
  4. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Dar es Salaam Kinara Afrika Mashariki Yaipiku Mombasa kwa Ufanisi Duniani!

    Bandari ya Dar es Salaam imefankiwa kuwa kinara Afrika Mashariki ikiipita rasmi Bandari ya Mombasa ya nchini Kenya katika viwango vipya vya ufanisi wa makontena duniani. Kulingana na ripoti mpya ya Benki ya Dunia (Container Port Performance Index), lango hili kuu la bahari la Tanzania limepiga...
  5. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rwanda 🇷🇼 Yaanza Kuagiza Mafuta Mombasa 🇰🇪 - Je, Tanzania 🇹🇿 Imepigwa Chini?

    Rwanda imeanza kutumia Mombasa kama njia mpya ya kuingiza mafuta baada ya metri tani 40,000 za petrol na diseli kuwasili katika Bandari ya Mombasa, ikiwa hii ndiyo shehena ya kwanza chini ya makubaliano ya Kenya na Rwanda yaliyotiwa saini Juni 29, 2026. Meli MT Sea Wolf ilitia nanga Kipevu Oil...
  6. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Likizo Yageuka Msiba: MCA Aspirant Ken Barasa na Dada Yake Wafariki Baada ya Boti Kupinduka Mombasa

    Safari ya starehe katika pwani ya Mombasa imegeuka msiba baada ya Ken Barasa Okomol na dada yake Cynthia Barasa kufariki wakati boti waliyokuwa wakisafiria ilipopinduka baharini. Ken, 38, aliripotiwa kuwa mwaniaji wa kiti cha MCA Malaba South, Busia, huku Cynthia akiwa na miaka 33. Wawili hao...
  7. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania DP World Yaingia Mombasa Kwa Kishindo.Je Bandari yetu Itaendelea kuwa na Ofanisi au Ndio Wanatukacha Kwa Kuchoshwa na Siasa Uchwara za Wapinzani?

    My Take Nahitaji majibu maana biashara ni ushindani,wakitukacha itakuaje? ============= Rais wa Kenya, William Ruto, ameunga mkono ujenzi wa Eneo Maalum la Kiuchumi (SEZ) lenye thamani ya Shilingi bilioni 12 za Kenya (Ksh12 bilioni) katika eneo la Jomvu, Mombasa, akisema mradi huo utasaidia...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Simba wakati wa Kurudi pitieni Tanga au Mombasa

    Ndugu zangu Wana Simba wakati wa Kurudi pitieni Tanga au Mombasa. Amasivyo kwenye ligi tutafungwa tena
  9. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Mimi na Takaungu, Mombasa

    Kulingana na vyanzo ulivyotoa, mwanahistoria Mohamed Said anasimulia kisa alichopewa na Mohamed Hamisi kuhusu Sheikh Said Omar Abdallah alipokuwa Ulaya akifanya kazi za kulingania dini (dawa). Nukuu kuhusu mzungu huyo aliyetaka kusilimu lakini akasita kwa sababu ya pombe ni kama ifuatavyo...
  10. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Taa za kuongoza magari Mombasa-Ukonga hakuna usimamiza na watu wanayapuuza

    Serikali imeweka mfumo wa taa za kuongozea magari (traffic lights) katika eneo la Mombasa, Ukonga, kwa lengo la kupunguza ajali na kuimarisha usalama barabarani. Hata hivyo, bado kuna changamoto kubwa ya kutokuzingatiwa kwa taa hizo na baadhi ya madereva pamoja na watumiaji wengine wa barabara...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DAWASA: Tumeshughulikia changamoto ya bomba lililokuwa limepasuka Ukonga Mombasa

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imesema changamoto ya bomba kupasuka iliyokuwa katika eneo la Ukonga Banana mkabala na Aviation limeshughulikiwa baada ya kusababisha changamoto ya maji kwa wakati wa maeneo hayo. Juni 13, 2026, Mdau wa JamiiForums.com aliandika...
  12. Geza Ulole

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanga vs Mombasa refinery

    Based on what is happening at the moment as Dangote is trying to invest in East Africa and what followed after, Tanzania and Kenya natural rivals are embrolled into a competition to host the multibillions investment that will change the regional energy dynamics forever. At the moment kenya and...
  13. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania France to Invest KSh106 Billion in Mombasa Port Expansion Project

    Kenya is set to receive a major infrastructure boost after French shipping giant CMA CGM announced a KSh106 billion investment to expand and modernise the Port of Mombasa. The deal was unveiled during the ongoing Africa Forward Summit in Nairobi in the presence of President William Ruto and...
  14. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Dangote oil refinery: Kwa nini Tanga, Tanzania ni chaguo bora kibiashara kuliko Mombasa?

    Na George Michael Uledi Mei 11, 2026 Hivi karibuni, Rais William Ruto wa Kenya alitoa kauli iliyozua mjadala mzito baada ya kutangaza kuwa ujenzi wa kiwanda kikubwa cha kusafisha mafuta ghafi cha Bilionea Aliko Dangote (Dangote Oil Refinery) unapaswa kuelekezwa jijini Tanga, nchini Tanzania...
  15. PSEUDOPODIA

    JamiiForums Tanzania Tungekuwa tuna Rais tayari angekwisha kuja na majibu ya kina kuhusu mradi wa mafuta wa Tanga , na kwanini dangote kapeleka mombasa

    Napata picha Marais makini kama Mwl Nyerere ama Rais Mkapa, kwenye suala kama hili ambalo linawagusa wananchi moja kwa moja, lazima wangetoka mbele na kutupa ufafanuzi wa kina imekuwaje.
  16. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Baada ya Ruto Kutakiwa Kutoa Maelezo Kwa nini Atangaze Mradi wa kiwanda bila Kushirikisha Tanzania,Amwambia Dangote Ahamishie Kiwanda Mombasa.

    My Take Usije Waamini Wakunya ni Moja ya watu matapeli ,wanafiki na haters wakubwa wa Tanzania. Hapa bwana Ruto ameamua kutumia Nguvu kubwa sana kumshawishi Dangote Ahamishie wazo la kujenga kiwanda Tanga kwenda Mombasa kisa alitakiwa kujibu hadharani tuhuma za kujifanya Rais wa Kenya na...
  17. Think2

    JamiiForums Tanzania Haya sasa kimenuka kiwanda cha kusafishq mafuta kujengwa Mombasa sio Tanga mapendekezo ya aliko dangote

    Siasa hadi kwenye miradi mikubwa unaposema tunawapiga mikwaju wewe kilaza ulikuwa na maana gani? Kasongo amekuingiza chaka wewe ukajilipua eti nilikuwa sijui ndio nimejua kiwanda kinataka kujengwa Tanga ushuzi kabisa Haya dangote amesema sasa mapendekezo yake ni kujenga Mombasa kenya kwasababu...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Why is Dangote leaning more towards Mombasa over Tanga? What does this mean for Tanzania?

    Africa's wealthiest industrialist now says he prefers Kenya's coast for his $17 billion oil refinery. President Samia Suluhu Hassan, by her own account, was not consulted before the project was first announced for Tanga. Aliko Dangote — the Nigerian cement-and-sugar tycoon, now widely regarded...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Dangote kishatupiga chenga Tanzania? Sasa kujenga Kenya Kiwanda cha Mafuta cha Trilioni 43. Ni baada ya kauli tata ya Rais Samia

    Mfanyabiashara tajiri zaidi barani Afrika, Aliko Dangote, ametangaza nia yake ya kuwekeza nchini Kenya kwa kujenga kiwanda kikubwa cha kusafisha mafuta (oil refinery) chenye uwezo wa kuchakata mapipa 650,000 kwa siku. Uamuzi huu unakuja baada ya kuwepo kwa mipango ya awali ya kujenga kiwanda...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Matonya aachiwa kwa Dhamana baada ya kukaa Gerezani siku 20 kwa tuhuma za ubakaji Mombasa

    Mwimbaji wa Tanzania Matonya ameachiwa huru kutoka gereza la Shimo La Tewa lililopo Mombasa, ambako alikuwa akishikiliwa kwa takriban siku 20 kufuatia tuhuma za ubakaji. Msanii huyo, ambaye amekanusha vikali tuhuma hizo, amepewa dhamana baada ya kutimiza masharti ya bondi ya shilingi 500,000 za...
Back
Top Bottom