Yaan kuanzia Jana mechi ya Simba na Leo Yanga wanacheza kama timu za shule ya msingi sababu yakulazimisha kila mchezaji acheze, yaan hivi vitoto haviko serious na MPIRA
Katika kuonyesha ukosefu wa ubunifu na uzwazwa, serikali imeleta sheria inayowataka watanzania kutoa risiti kwa kila malipo wanayopokea.
Je, na akian dada na mama poa nao huwa wanazo EDFs na huwa wanatoa risiti? Je, serikali nayo inatoa risiti pale inapopokea fedha toka kwa wafadhili na...
WAFANYAKAZI wenzako, marafiki wa maeneo unayofanyia kazi, wafanyabiashara wenzako ni nyoka hatari kwa maendeleo yako.
Mucheke, mupige kazi urafiki wenu uishie juu kwa juu. Achana na mambo ya family friend, hayo waachie wazungu.
Ikiwezekana mfanyakazi mwenzako asipajue unapoishi. Bodaboda wa...
Aman iwe watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Kuna mwanamke mmoja hapa mjini posta huwa nampenda sana, kwa kifupi siyo level yangu kwa kweli ni mzuri sana na ni wa kishua kwa kifupi ana maisha
Lakin ndugu zangu Kuna siku niliamua nimtongoze huyu dada akawa amenikataa, nikarudia tena...
Naona vijana wa parking/manispaa wanisaidiana na trafiki wamekua serious sana barabarani siku hizi.
Kama una gari au ata gari la jirani mchekie madeni hapa:
Trafiki: RTOC
Parking:
Parking
Unakuta mchezaji anatambuliwa kwa mbwembwe alafu uwanjani hamna kitu au analewa sifa mwisho anajiona bora kuliko wenzake mwisho wa siku kipaji kwishnei.
Timu kubwa nyingi huwa hawana mbwembwe nyingi kama za bongo; wanasema tumesajili wachezaji watano wapya majina ni haya na haya ( wanataja list...
Nashauri uongozi wa Crown FM uchukue uamuzi mgumu hasa dhidi ya Hans ambaye anajionyesha wazi yuko kwenye payroll, na muda wote anajaribu kuonyesha anafanya retirement kwa wanaomlipa.
Mwisho anaharibu kipindi kwa kujaza utoto katika kila kitu.
Au laa, apangiwe segment ya jioni ya michezo na...
Iwapo Umepoteza Meno halisi unaweza pata huduma ya meno bandia ya kudumu kutoka offisini kwetu
Faida za Meno bandia
.Kulinda meno mengine yasiharibike
.Kulinda Mfupa Wa Taya usipotee
. utatafuna Chakula Vizuri
. Muonekano Mpya Na Kujiamini
.Uimara /Ubora wa Meno utaongezeka
Tunapatikana...
Hili liingizwe kwenye katiba ya nchi kabisa, ni marufuku mtu kuishi mwenyewe kama upanga maana hatuna uhakika unamaliza vipi hizo haja zako zingine.
Itasaidia kupunguza ubakaji, masingo maza, watoto wa mitaani na mambo ya ushoga.
Itasaidia kupunguza matukio ya watu kufa kwa kukosa msaada maana...
Kumekua na wimbi la utapeli wa akina dada ambao wanajiweza na wasio jiweza kiuchumi..
Mbinu wanazo tumia akihisi we hauwezi kukosa chochote cha kumpa atakutafuta kwa hila za kujifanya amekumis kwamba umemtenga na ukijaribu kupeana nae ahadi ya kuonana hata ukijifanya unakausha anakuendea hewani...
Hii ni moja ya mada inayozungumzwa sana baina ya watu, na ina maoni tofauti kutokana na mtazamo wa mtu na mtu.
Tunafahamu kuwa ni wazi suala la malezi ya watoto katika kipindi hiki yamebakia kwa wazazi wenyewe huku athari zikiwa ni kwa jamii, tofauti na zamani ambapo mtu mwenye umri na rika...
Nawasilisha
Bado nafikiria kulikuwa na ulazima gani wa CCm kuwahi kufanya maadhimisho ya miaka 48 wakati ingefaa na ingekua bora zaid kama wange fanya ikifikisha miaka 50
Au kuna sababu nyingine
Hebu tuambiane jambo/mambo ambayo hayana ulazima kwenye mchakato wa kutongoza.
Jamaa yangu ametengwa na wanaume wenzake hapa mtaani kwa tabia yake mbovu ya kutongoza wake za rafiki zake. Huku wakijua ni rafiki Yao wanamsimulia matukio muhimu ya michepuko waliyonayo.
Jamaa akitoka anaenda...
Habari,
Hivi kwani ni lazima mtu kulia hadi uso uchakae unapofiwa na mtu wako wa karibu (wazazi ,mwenza,mtoto, ndugu)? Au ni lazima kulia mbele za watu wajue umelia?
Kwanini watu wakienda kwenye msiba wanataka wakimuona mfiwa wamuone kachakaa, macho yamevimba uso umeumuka kwa ajili ya kulia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.