Kenya yaondoa ulazima wa kutumia SGR kusafirisha mizigo kutoka Mombasa

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,118
1664183821612.png


Wafanyabiashara sasa wako huru kuondoa mizigo yao Mombasa na kutumia njia yoyote ya usafiri kusafirisha mizigo yao kutoka bandari ya Mombasa hadi Nairobi na maeneo mengine ya pembezoni.

Hii ni baada ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari nchini (KPA) kutoa notisi ya kufutilia mbali marufuku ya mwaka wa 2018 iliyotaka shehena zote za mizigo kutoka Bandari ya mjini Mombasa kusafirisha mizigo kwa lazima kupitia Reli ya Standard Gauge (SGR).

Mkurugenzi Mkuu John Mwangemi, leo Jumatatu ametangaza haua hiyo iliyoonesha kufurahisha wafanyabiashara wengi ambapo kampuni zote za usafirishaji zitakuwa huru kuchagua aina ya usafiri wanaotaka

Hii inakuja wiki mbili baada ya Rais Ruto kutangaza kufungua Bandari hiyo ifanye kazi kibiashara, jambo ambalo lilikuwa kinyume na mtangulizi wake Rais Uhuru Kenyatta.

========================

That was the only communication which was hindering full implementation of President William Ruto directive to revert port services to Mombasa.

“This is therefore to notify all Shipping Lines that importers’ documentation of place of clearance and mode of transport for their goods shall be at their choice. Shipping Lines are hereby advised to facilitate importers’ nomination of place of clearance including port clearance, Kenya Revenue Authority’s Licensed Container Freight Stations (CFSs) and KPA’s Inland Container depots. This notice supersedes the notice of 6th June 2018 on similar subject,” reads part of the notice.

The Shippers Council of Eastern Africa (SCEA) chief executive Gilbert Lagat said the notice is now clear as that was the only impediment to the full implementation of the president’s directive.

“This is very clear. We are happy with the directive. The place and choice of mode and place of clearance rests with the shipper. This is what we had been pushing for to allow cargo clearance and delivery competed on efficiency, predictability and cost effectiveness,” said Mr Lagat.

He added, “Rail, road, port, CFSs and Inland Container (ICDs) will compete on a level ground. We expect cost to be responsive to market dynamics as it is a win for all.”

NATION
 
This is an ill advised decision that will dearly cost the peoples of Kenya. How are they going to pay for Chinese loan?
 
Back
Top Bottom