Kile kilichoanza kama nyufa ndogo kwenye lami, sasa kimegeuka kuwa kero ya kila siku kwa watumiaji wa barabara hii. Kila kukicha, mashimo mapya yanaongezeka, lami inazidi kumomonyoka, na kuziacha gari, bajaji, bodaboda, na watembea kwa miguu wakiingia kwenye mtihani mkubwa wa usalama na...
Mimi ni mmiliki wa gari binafsi na mkazi wa Manispaa ya Ubungo. Wiki mbili zilizopita nilifika maeneo ya Manispaa ya Kinondoni kwa gari langu, na tangu siku hiyo nimekuwa nikikuta kwenye mfumo wa tozo za maegesho kwamba ninadaiwa Sh500, huku eneo likioneshwa kuwa ni Kinondoni Municipal.
Tatizo...
Serikali itusaidie kuhusu suala la kalavati sisi Wakazi wa Matosa Uzaromoni, Mtaa wa Mikumi, Kata ya Goba, Wilaya ya Ubungo Jijini Dar es Salaam, huu unaenda mwaka wa tatu sasa tangu tuombe turekebishiwe lakini hakuna kilichofanyika mpaka sasa.
Tumesharipoti kwa mamlaka mbalimbali wanatuahidi...
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, Selemani Kakoso ameipongeza Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA) kwa kujenga miundombinu ya barabara iliyookoa maisha ya wananchi katika maeneo mbalimbali ambayo awali kuharibika kwa miundombinu hiyo kulisababisha vifo vya...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. CPA Amos Gabriel Makalla ameiagiza Wakala wa barabara za Mijini na Vijijini (TARURA) Mkoa wa Arusha, Jeshi la Polisi pamoja na Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) kushughulikia kadhia ya foleni kwenye Jiji la Arusha kwa wakati ili kuondoa vikwazo katika shughuli za...
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba ametoa siku saba kwa Mameneja wa TANROADS na TARURA wa Mkoa wa Lindi wakae na kutafuta suluhisho la ujenzi wa daraja katika eneo la Congo kwenye barabara inayoenda Masasi kutokea Nachingwea.
Ametoa agizo hilo jana (Jumapili, Desemba 21, 2025) wakati akizungumza...
Wakala ya Barabara za Vijijini na Mjini (TARURA) umesema kuwa tangu kuanzishwa kwake, wamefanikiwa kujenga jumla ya madaraja 439 ya mawe yenye thamani ya bilioni 15, hatua ambayo imewezesha kuokoa kiasi kikubwa cha fedha.
Hayo yamebainishwa leo jijini Dodoma na Mhandisi Mshauri wa TARURA...
Ikiwa katika muendelezo wa ziara yake ya kutembelea utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa miundombinu ya barabara, Kamati ya Ukaguzi ya TARURA imetembelea Miradi minne ya ujenzi wa miundombinu ya barabara mkoani Shinyanga.
Katika Manispaa ya Shinyanga Kamati ilitembelea ujenzi wa barabara ya Old...
Wakuu,
Nimejikuta tu najiuliza maswali, kwanini sisi wengi maeneo yetu njia za mtaani ni songombingo hasa kipindi cha mvua, yaani ukitaka kutoka nje mpaka uite mizimu kwanza ukisaidie kupata ujasiri wa kupita😂😂
Sisi wa maeneo mengine kama Sinza, Manzese, Mbezi Beach, Tegeta, Bunju, Kimara...
Barabara ya Makonde inayoelekea Kanisa Katoliki Mbezi Juu imekuwa kero ya muda mrefu kwa watumiaji wake, hususan wa vyombo vya moto, kutokana na mashimo mengi na miundombinu duni. Hivi karibuni, kumemwagwa kifusi laini cha udongo mtupu ambacho, endapo mvua zikinyesha, kitazidisha hali mbaya...
SERIKALI YAIPONGEZA TARURA, MIJI 11 IKISAINI UTEKELEZAJI MKATABA WA TACTIC
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amebainisha kuwa Serikali inatambua jitihada na kazi nzuri inayofanywa na Wakala ya barabara za Mijini na Vijijini TARURA...
Imeelezwa kwamba uwepo wa mvua nyingi jijijini Dar es Salaam imepelekea ujenzi wa barabara katika maeneo yenye zabuni kusimama kufanya kazi katika kipindi cha miezi miwili.
Hayo yameelezwa na Meneja wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) mkoa wa Dar es Salaam, Mhandisi Geofrey...
Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro ni miongoni mwa Halmashauri kongwe nchini, lakini kwa miaka mingi kumekuwepo na changamoto kubwa ya miundombinu ya barabara, hasa zile zilizo chini ya usimamizi wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA).
Barabara nyingi zimegeuka kuwa kero kubwa...
Meneja wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza, Francis Prosper, amempongeza Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo, kwa hatua yake ya kupeleka mitambo maalum ya uchimbaji wa barabara katika maeneo mbalimbali ya jimbo hilo, akiahidi ushirikiano...
Barabara nyingi za pembezoni jijini Dar es Salaam zipo katika hali mbaya sana kufikia Juni 2025, zimetoboka kupita kiasi.
Tunatoa wito kwa TARURA kuchukua hatua za haraka kuziba matundu hayo.
Kwa sasa, jiji linakabiliwa na msongamano mkubwa wa magari kutokana na ujenzi wa miundombinu ya...
WanaJF! Kwema? Moja kwa moja niende kwenye Mada.
Mdogo wangu kapata kazi ya Uhandisi ya Mkataba TARURA ila pia kapata Kazi Permenent HALMASHAURI.
TARURA atapata kama 2M na marupurpu mengine kwa anabyodai Wakati Halmashauri ni 1M pia kwa ufatiliaji wake Halmashauri marupuru ni kwa manati...
Hawa matapeli wapo sana maeneo ya kariakoo na kinondoni!
Wanatumia bajaji au boda na wakati mwingine wanavaa na sare feki!
Popote ukikutana nao piga Kelele za mwano ni wezi hao!
Kila siku watu wanabuni mbinu mpya za wizi.
Ukaguzi wa kiufundi wa ufungaji na matengenezo ya vifaa vya barabarani na ishara za mawasiliano ya barabara uliofanywa kwa TANROADS na TARURA umebaini mapungufu katika upangaji wa miradi, usimamizi wa mikataba, na matengenezo, hali ambayo imeathiri kwa kiasi kikubwa usalama wa barabara na...
Tunaomba ujumbe wetu huu ufike hadi kwa Waziri wa Ujenzi, kwa muda wa Miaka miwili, sisi Wananchi wa Matosa Uzaromoni, Mtaa wa Mikumi, Kata ya Goba, Wilaya ya Ubungo Jijini Dar es Salaam tunapitia changamoto kubwa ya usumbufu wa maji ya mvua kutokana na udogo wa ‘Kalavati’
Tumelalamika sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.