mwamba

Musonda Trevor Selwyn Mwamba (born 1958), known as Trevor Mwamba, is an Anglican bishop. He was consecrated Bishop of Botswana on 6 February 2005. He tendered his resignation as Bishop of Botswana on 30 September 2012 – the day on which Botswana marks the anniversary of its independence from Britain. His successor was consecrated on 14 July 2013. On April 4th 2021, he was elected President of the United National Independence Party.
A true ‘citizen of the world’, at home in many cultures. Passionate about justice, equality and the empowerment of all God’s children. Outgoing, well-read, approachable, with a sense of humour and strong diplomatic skills.
He took up the post of Team Rector of Barking in the Church of England on 1 January 2014, a post he resigned in December 2019. On 9 November 2013 he was made an honorary assistant bishop in the Diocese of Chelmsford.He made a cameo appearance on the third episode of the HBO and BBC co-produced miniseries The No. 1 Ladies' Detective Agency. He appears in the episode entitled "Poison" as himself thanking members of the business community of Gaborone for their donations to the fictional orphanage portrayed in the series. He is married to Mmasekgoa Masire-Mwamba, a Commonwealth Deputy Secretary-General from 2008 to 2014.He was made a deacon at Petertide 1984 (1 July) by Mark Santer, Bishop of Kensington (by letters dimissory from Leonard Mwenda, Bishop of Lusaka), at St Luke's, Chelsea, Greater London and served briefly as curate of All Saints, Notting Hill. He left the UK in 1985 to become Rector of Luanshya and Vocations Director for Central Zambia, and was ordained a priest that year.On April 4th 2021, he won the presidency of the United National Independence Party. He managed to wrestle power away from long time incumbent Tilyenji Kaunda who held on to power for 20 years after succeeding his father Dr. Kenneth Kaunda. This marks the first time (UNIP) has not been lead by a Kaunda since the 1960s.

View More On Wikipedia.org
  1. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania DOGO WA FOREX KENYAN PRINCE, AONEKANA AMELALIA KIFUA CHA MWAMBA, YU BELA WOCHI YUA BAKI

    Sinto fahamu imetanda, mtandaoni baada ya yule dogo tajiri wa kutrade forex KENYAN prince kuonekana AMELALIA kifua cha mwanaume, kitu amabcho kimeibua tafsiri tofauti. Ikumbukwe kitambo kidogo, Alisha wahi onekana amevaa pampas mzeer kitu kilicho ibua hofu, kwa watu, wakidhani huenda Ronaldo...
  2. YoungPastor

    JamiiForums Tanzania Mwamba kazeeka vibaya

  3. Think2

    JamiiForums Tanzania Mwamba kwenye vikao vya wanaume hua hatokei ona sasa

    Kuna faida kubwa sana hasa zama hizi kutokea kwenye vikao vya wanaume Mwamba huyo alikuwa hatokei kwenye vikao kila akiitwa hafiki ona sasa kimemlamba 😂 😂 😂
  4. R

    JamiiForums Tanzania Mjumbe hauawi, ni Mwamba Heche na si mimi

  5. G Sam

    JamiiForums Tanzania Serikali ilidhani itafanya "Cheap bargaining" na Lissu huko mbele ya safari kwenye kesi. Mwamba kakaza mpaka mwisho!

    Hii serikali ya Samia ilidhani yatatokea yale ya Mbowe kuwa unaambiwa una kesi ya kujibu kisha unanyoosha mikono na kukimbilia ikulu! Mwamba kasema yupo tayari kufa na hakuna kesi ndogo kwenye kesi ya uhaini. Kasema wazi ni ama una hatia unyongwe au hauna hatia uachiliwe. Hakuna cha mbadala...
  6. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Mwamba Putin ameshaweka No fly Zone...

  7. Setfree

    JamiiForums Tanzania Duh! Wapinzani wake wote wamegonga mwamba!

    Wamechallenge almost kila kitu alichosema. Wamehoji, wamefungua kesi, wamehamasisha wengine wawe wapinzani, wameleta arguments zao… wamepiga kelele.. lakini kuna statement yake moja wameshindwa kabisa kuipinga: “Kwa maana u mavumbi wewe, nawe mavumbini utarudi.” (Mwanzo 3:19) Ukweli ndio huo...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Natamani huu ujasiri wa huyu mwamba ningekua nao mimi

    Juzi wakati nimesimama mbele ya ofsi za kata maeneo flani Kuna askari polisi wa kike akawa anakuja anaongea na simu basi nayeye katika kuongea kwake na simu inaonekana yalikua maongezi marefu akawa amesimama hayo hayo maeneo. Mwana mmoja kavaa zake simple tu kaputula jinz ya mtumba,t-shirt ya...
  9. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kama hii picha ni authentic, yaani huyu mwamba alikuwa haigizi basi maisha ni magumu sana aisee na mwamba amekataa kufa kikondoo

    Hakuna kilichokuwa promised kwetu wanaume, kila siku ni challenge mpya ya kutaka kuushinda uchungu na mateso kila siku ni presha mpya, kila siku ni vita mpya, kila siku mpya ni upinzani mpya.
  10. min -me

    JamiiForums Tanzania Kama hauna hela za kutosha utalaumu sana single maza

    Msione tunawasapoti kwenye mada zenu za kuacha kuwahudumia wanawake mkaona tupo pamoja na nyie . Ukitumia akili ukitafuta pesa vizuri na ukampenda mwanamke mzuri wa ndoto zako utampa huduma,,yaani pesaa. Huwa naweka mada kupima kiwango cha umaskini ila ukiwa na akili timamu hauwezi...
  11. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Ungana na Mimi mwamba aliye muoa Amina wa Tandale, Demu wa Ally Dreva Boda boda

    Msomaji ungana na Mimi kumtukana huyu Rich,MWANAUME shababi, mrefu mweusi, aliyejaa mbavu Nene, kijana AMBAE Mungu ameisha mfungulia milango ya riziki mpaka kuweza kumwamisha mama Mkwe kutoka tandale mpaka Mbezi salasala DSM. Rich, alikuwa na mazoea na Mama Amina, maana mama Amina alikuwa...
  12. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Mwamba Waziri Mkuu wa Israel akiongea na Volodomyr Zelensiky huko Washington!!

    Waziri Mkuu Netanyahu na Rais wa Ukraine Zelensky walionekana wakizungumza wakati wa ziara yake Washington katika tukio la nadra sana kuonekana
  13. Chakaza

    JamiiForums Tanzania Kuna Kila Dalili CHAUMMA Wameanza kumpuuza Thinktank Wao Waliyemrithi Toka kwa "Mwamba"

    Wamemshtukia kuwa hakuwa "thinktank" wa Chama bali wa yule mwamba mfanyabiashara. Jee wamefanya jambo la maana?
  14. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Alie tunga wimbo " ALISEMA NYERERE VIJANA WOTE MLEGEA " ni Genius wa viwango vya juu sana. Wapinzani wanapaswa kujifunza kwa huyu mwamba.

    Wimbo uliimba " ALISEMA ALISEMA ALISEMA. NYERERE ALISEMA, VIJANA WOTE MLEGEA SHARTI TUANZE MCHAKAMCHAKA CHINJA CHUKUA CHINJA CHUKUA". This was a Diss to Nyerere Ila watu wengi hawajui kwa sababu they don't listen. Wakati Nyerere anatoa hiyo kauli wengi wetu hatukuwepo au hatukumsikia live...
  15. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Video: Siri ya kutoa kitambi: mwamba kaelezea kwa uzoefu wake na ufasaha sana

    kama unataka kuondoa kitambi tazama hii TikTok - Make Your Day This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: TikTok https://vt.tiktok.com/ZSQx73YMp/
  16. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Tishio la Iran lagonga Mwamba IDF yaendelea na kipondo kwa Magaidi wa Hezbollah huko Lebanon

    Tangu mwendo wa saa 10 asubuhi ya leo, Israel ilishambulia Hezbollah kusini mwa Lebanon kama ifuatavyo: ● Mashambulizi ya angani ya ndege za kivita au ndege zisizo na rubani: Al-Mansouri, Deir al-Zahrani, Choukin, Haris, Kafra, Srifa, Kfar Tebnit, Nabatieh al-Fawqa, Tebnine, Jebchit, Doueir...
  17. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Mwamba huyuu hapaaa! Kama umemjuwa mtaje

    Kaziiiendeleee
  18. Sister Abigail

    JamiiForums Tanzania Polisi wa kiume wajifanya wanawake ili wamkamate muuzaji wa madawa ya kulevya nchini Thailand

    Ni drug dealer maarufu Kwa jina la Wap-wap, nchini Thailand Nahisi alikuwa na mbinu zake za kuwakimbia polisi.kulikuwa na dancing festival Police Wakatumia mbinu ya kuvaa magauni na mask kama wadada huku wanadance Kakutwa na stock ya kutosha yupo kazini. Mbinu kama hizi huku Africa hakuna...
  19. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Kama kidume unapojenga nyumba kabla haujavuka miaka 35 unajiona mwamba, ni feeling ya kibabe sana kushinda ile ya kuhimili round moja kwa dakika 10

    Mapambano mema hustlers!
  20. Red black

    JamiiForums Tanzania Kama ulisoma hili gazeti wewe ni mwamba sana. tuambie maisha yanaendaje pande hizo

    :FireDuck:Agost 1985
Back
Top Bottom