Mbunge wa Jimbo la Ole Zanzibar Said Salima Hamad ajinadi kwa Lugha ya Kifaransa bungeni wakati wabunge wakiomba kura katika uwakilishi wa Taasisi mbalimbali leo februari 5, 2026
Afrika ni bara ambalo watu waliacha lugha yao wenyewe na kuchukua lugha za kigeni kama lugha zao rasmi,
Na wanatumia mfumo wa demokrasia ya serikali zaidi ya miaka 50 iliyopita kwani nchi zetu huru za Afrika hazikuendelezwa, kwa sababu demokrasia inawapendelea Wazungu kuliko Waafrika, huwafanya...
==
Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha, Bw. Elijah Mwandumbya, amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe kutoka Kampuni ya ALSTOM, yenye Makao yake Makuu nchini Ufaransa, iliyoonesha nia ya kuwekeza katika ujenzi na uendeshaji wa miundombinu ya reli ili kupunguza msongamano wa magari na kuboresha...
Jeshi la Israel Lafyatua Risasi kwa Ujumbe wa Kidiplomasia Katika Mji wa Jenin
Jeshi la Israel siku ya Jumatano lilifyatua risasi kuelekea ujumbe wa wanadiplomasia wa kikanda, Ulaya na nchi za Magharibi waliokuwa wakitembelea mji wa Jenin ulioko katika Ukingo wa Magharibi, na kusababisha...
Wakuu
Kwanini sio Kichina, ambako tumeona kuna fursa nyingi kwasasa?
==
Dkt Said Mohamed Katibu Baraza la mitihani NECTA
"Jambo jingine tutapima masomo saba badala ya sita kama ilivyokuwa awali na hii tunaongeza masomo ya kigeni ikiwa ni Arabic na lugha ya Kifaransa na mwanafunzi akifika...
Wakuu
Mbunge wa Bukoba mjini Stephen Byabato ametumia lugha za kichina, kijerumani, kifaransa, kiingereza, kiswahili na kihaya kuwanadi wagombea wa serikali za mitaa mbele ya katibu wa Jumuiya ya Wazazi Ally Hapi.
Kama timu za Tanzania zitaendelea kuchukua makocha na wachezaji toka nchi zinazozungumza kifaransa, basi kuijua lugha ya kifaransa ni muhimu na lazima.
Wachezaji wetu wa ndani,wachambuzi wa Mpira, waandishi wa habari na makocha wetu, lazima wajue pamoja na kuujua Mpira, lakini mafanikio ya...
Burkina Faso ikiwa chini ya Ibrahim Traoré kwa mpito umepitisha muswada wa marekebisho ya Katiba na hivyo kutangaza lugha zao za ndani kuwa lugha rasmi badala ya Kifaransa ambayo sasa imeshushwa hadhi kuwa "Lugha ya kazi".
"Katika rasimu hii, lazima tukumbuke kuwa lugha za kitaifa zimeainishwa...
Katiba mpya ya Mali imeondoa Kifaransa, ambacho kimekuwa lugha rasmi ya nchi hiyo ya Afrika Magharibi tangu mwaka 1960.
Chini ya Katiba Mpya iliyopitishwa kwa wingi wa asilimia 96.91 ya kura katika kura ya maoni ya Juni 18, Kifaransa si lugha rasmi tena.
Kifaransa itakuwa lugha ya kazi kuanzia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.