Wadau naomba kuuliza swali, hivi kitambulisho Cha NIDA kinachukua muda gani mpaka kutoka maana tangu 2019 nilipojiandikisha nimefuatilia kukipata naambiwa niendelee kusubiri hakijatoka
Soma pia
Nilijiandikisha NIDA Ifakara mwaka 2019 mpaka leo sijapata kitambulisho, nimezungushwa hadi...
Serikali imeagiza kuondolewa kwa vikwazo vya umri katika utoaji wa kadi za Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida) ili kuhakikisha watoto walio chini ya miaka 18 wanaweza pia kusajiliwa rasmi.
Agizo hilo lilitolewa na Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba mnamo Septemba 16, 2026, wakati wa kilele...
Katika taarifa zetu tulizozipata Toka kwa wadau wetu ni kuwa takribani wiki mbili Sasa tangu CIVILIAN-COIN awasilishe Nyaraka za kubadili jina la kwanza kwenye NIDA iliyopo. Nyaraka tulizoziona ni Deedpol ya kiapo Cha mahakama ya Wilaya Kahama, affidavit of signature, Gazeti la Serikali la...
Kumekuwa na taarifa na mjadala kuhusu wananchi ambao vitambulisho vyao vya NIDA vimekwishaandaliwa lakini bado hawajavichukua.
Hoja yangu ni moja: kama NIDA tayari inajua kitambulisho cha mwananchi kimekamilika, kwa nini isiwasiliane moja kwa moja na mwananchi huyo kwa simu au SMS?
Wakati wa...
●Awasihi Watanzania kuchukua Vitambulisho vyao vya Uraia.
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema Serikali kupitia Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) itaanza kuchukua hatua za kuwasajili na kuwatambua watoto walio chini ya umri wa miaka 18, ikiwa ni sehemu ya kuimarisha mfumo wa...
Wakuu salama,
Kuna changamoto inamkabili ndugu yangu mmoja hapa naomba mniongezee mwanga au kama kuna mtu amewahi kukutana nayo atupe uzoefu wake.
Huyu ndugu yangu wakati anaajiriwa na kusajiliwa NSSF, alitumia Paspoti ya Kusafiria (Passport) kama kitambulisho chake rasmi na akasajiliwa bila...
Utekelezaji wa kampeni hii, kwa sisi hapa Tanzania, tumeamua tuje na kaulimbiu inayosema "Kipo, Kichukue, Kamilisha Safari Yako."
Lengo letu kubwa ni kuwakumbusha wananchi wote waliosajiliwa kwenda kuchukua vitambulisho vyao.
Tunayo changamoto, kama nilivyosema kwenye takwimu, tumesajili...
ni ofisi inayohusika na ukopeshaji wa simu za smartphone..wameniomba wanipe posho kidogo wamsajilie mtu simu ya mkopo vipi mnaojua huwa kuna risk au side effect yoyote kwa namba yangu kutumika?
Kwa heshima na taadhima, napenda kuwasilisha malalamiko yangu kuhusu changamoto ninayokutana nayo katika mchakato wa kupata huduma ya Kitambulisho cha Taifa kupitia mfumo wa NIDA Online katika Ofisi ya NIDA Tarime.
Niliwasilisha maombi yangu kupitia mfumo wa NIDA Online kwa kujaza taarifa...
Nilijiandikisha NIDA Mwaka 2019 nikiwa nafanya kazi Ifakara, sijapata kitambulisho mpaka leo (Julai 2026), nimefuatilia kila mara naambiwa kipo achived sasa sielewi, mpaka namba yangu ya NIDA imefungwa siwezi kufanya huduma yoyote.
Walisema kinaonekana kimetoka lakini hakipo achieved, hiyo...
Naomba suala hili lifanyiwe uchunguzi.
Watumishi wa Ofisi ya NIDA Nzega pamoja na kiongozi wao wanadaiwa kutoa huduma zisizoridhisha kwa wananchi. Baadhi ya wahudumu wana kauli zisizo za kiungwana, huku wananchi wakidai kuwa bila kutoa rushwa ni vigumu kupata huduma.
Pia, kiongozi wa ofisi...
Habari Jf. Kuna kesi ya mwanafunzi mwenye miaka 17 anayepaswa kujiunga na Chuo Kikuu mwaka huu. Nashindwa kusajili namba yake ya NAPA. Msaada tafadhali
Mimi ni mkazi wa Wilaya ya Magu.
Nimefuatilia marekebisho ya herufi moja kwenye jina langu la mwanzo katika kitambulisho changu cha NIDA. Nimekamilisha taratibu zote nilizoelekezwa, ikiwemo kulipa shilingi 20,000 kupitia control number kwa ajili ya marekebisho ya taarifa zangu.
Kwa kuwa...
Sheria za NIDA zinamruhusu Civilian-Coin kubadili jina Moja lakini NIDA wamemuwekea vikwazo.
Kitambulisho Cha NIDA no. 19800628-33116-00002-22. Jina: Deogratius Nalimi Kisandu Ndicho kinachotakiwa kuhaririwa jina Moja, kutoka jina la ubatizo la kwanza "Deogratius" na kuweka jina jipya maarufu...
Tarehe 30 Juni 2026, Ikulu ya Dar es Salaam ilishuhudia hafla ya kila mwaka ya upokeaji wa gawio na michango ya taasisi za umma. Miongoni mwa waliopanda jukwaani ni Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa, NIDA. Cheki kubwa ilikabidhiwa mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan. Thamani yake: zaidi ya...
It's me JamiiForums member: Nina Akili Ndogo Sana.
Kama kadi ya gari inapigwa photocopy pamoja na kuwekwa muhuri (stamp duty) ya TRA, kwanini kitambulisho cha NIDA kisipigwe photocopy na kuwekwa muhuri wa serikali ya mtaa kwa gharama ya 1,000 TZS pekee ili mtu atembee na copy pekee??
Mtu...
Mi ni mmoja wa wananchi tuliotekeleza maelekezo ya National Identification Authority (NIDA) ya kurudisha vitambulisho vya Taifa vilivyokuwa na tatizo la kufutika kwa majina au namba ili vibadilishwe na kutolewa vingine visivyo na changamoto hiyo.
Nilirudisha kitambulisho changu tangu mwezi...
Dar es Salaam, 1 Julai 2026
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) inapenda kuufahamisha Umma wa Watanzania kuwa tarehe 30 Juni 2026, imekabidhi Serikalini mchango wa TZS 61,053,535,363 ikiwa ni fedha za makusanyo yake katika kuunga mkono jitihada za Serikali ya Jamuhuriy a Muungano wa...
Waziri katambi alipootoa agizo la NIDA Jumapili alijitokeza Lucas kulalamika sana.
Tokea hapo Jumapili hakuna mada zake tena.
Wana JF kapatwa na nini huyu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.