mizigo

 1. Hata Sina kinyongo

  Pamoja na makubaliano ya awali, ngoma bado nzito! Madereva wa Tanzania wamegoma kupeleka mizigo Rwanda

  Hali ya ubabe inaendelea mpaka wa Rwanda na Tanzania huku madereva wa Tanzania wakigomea kuingia Rwanda kwa sababu ya kunyanyapaliwa. Pamoja na jitihada za kuwabembeleza zinazofanywa na maafisa wa Rwanda kwa kuwaahidi hali itakuwa tofauti na awali lakini bado madereva wamesimamia kile...
 2. Hata Sina kinyongo

  Baada ya Zambia kuufunga mpaka wa Tunduma na mizigo mingi ya Congo kukawia kufika Congo wajibu mapigo;wawakatia umeme Wazambia!

  Inaitwa man to man! Congo wamekata umeme wao wanaowazalishia Wazambia hiyo ni kwa hatua ya kujibu mapigo kwa sababu ya Zambia kufunga mpaka wa Tunduma na kupelekea mizigo wa Congo kuchelewa kufika kwa wakati na hali hiyo imepelekea wafanyabiashara wa Congo kuingia hasara kubwa! Chanzo ni...
 3. G Sam

  RC Kilimanjaro: Malori ya mizigo kutoka Kenya hayataruhusiwa kuvuka mipaka ya Holili na Taveta

  Haya kuna hii tena nayo kanusheni. ======= RC MGHWIRA AWASHAURI MADEREVA WA TANZANIA KUTOTUMIA MPAKA WA HOLILI KWENDA KENYA Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira amesema kama Kenya wamefunga mpaka wakidai Tanzania kuna #CoronaVirus basi wasije nchini na kuwaambia kuwa watafanya biashara...
 4. idawa

  Virusi vya corona: Anna Mghwira atangaza malori ya Kenya kutovuka mpaka wa Tanzania wa Holili

  Virusi vya corona: Anna Mghwira atangaza malori ya Kenya kutovuka mpaka wa Holili 17 Mei 2020 Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghwira amesema kwamba malori ya mizigo kutoka Kenya hayataruhusiwa kupita katika mpaka wa Holili. Katika muongozo mpya unaolenga malori ya mizigo ya mataifa mengine...
 5. J

  David Silinde: Ili kuwakomesha Zambia kwa kutufungia mpaka, Serikali yetu iwaongezee Tozo kwenye mizigo yao iliyopo bandarini Dsm

  Mbunge wa Chadema mh Silinde ameitaka serikali kuiongezea Tozo mizigo ya Zambia iliyoko bandarini kama majibu kwa wao kutufungia mpaka. Silinde amesema hayo wakati akichangia hotuba ya makadirio ya wizara ya mambo ya nje na kutoa mfano kuwa hata Marekani na China hulipana visasi kwenye vita vya...
 6. Analogia Malenga

  Uganda: Madereva wa magari ya mizigo kupata majibu ya #covid 19 ndani ya dk 45

  Serikali ya Uganda imeanza kutumia mashine za GeneXpert mipakani, ili kuwapima madereva wa magari ya mizigo kabla ya kuingia nchini humo Taarifa kutoka Wizara ya Afya imesema kumekuwa na ongezeko la maambukizi kutoka kwa madereva wa magari ya mizigo Taasisi ya Utafiti wa Virusi ya Uganda...
 7. simplemind

  Hatimaye nchi jiarani kupokea mizigo /transhipment Naivasha

  Nchi jirani za Uganda ,Rwanda ,Burundi, Sudan Kusini, Congo zitapokea mizigo Naivasha inland container depot baada ya kusafirishwa zaidi ya 600 km kwa SGR kutoka Mombasa. Mtihani mkubwa kwa bandari ya Dar es Saalam. ====== SGR moves regional cargo to Naivasha Kenya has launched direct SGR...
 8. Return Of Undertaker

  Rasmi sasa Madereva wa malori wa Tanzania wanaishia mpakani, magari yanapulizwa dawa anachukua dereva wa Rwanda. Hatuaminiki tena

  HALI ILIVYO RWANDA: Dereva wa Lori kutoka #Tanzania haruhusiwi kuvuka Mpaka wa Rusumo ili kuepuka kuingiza Corona nchini humo. Badala yake; akifika kituo cha Kiyanzi, mzigo wote utapuliziwa dawa kisha atakabidhi Lori kwa dereva wa Rwanda ambaye atalipeleka hadi kituo cha mwisho. Serengeti Post...
 9. Majaribu2013

  Kusudio la Kuwashitaki DHL TANZANIA kwa ucheleweshaji wa kutoa mizigo uliokubuhu

  Wadau, Nahitaji mawazo na ushauri wa kisheria nataka niwashitaki DHL TANZANIA kwa kuchelewesha kutoa mizigo yangu ambayo ilifika Dar es slaam tangu tarehe 8 April, 2020 lakini hadi leo tunaongea hakuna mzigo uliotoka. Kwanza kabisa hawakunijulisha taarifa za mzigo kuwa umefika mpaka siku saba...
 10. Kafrican

  KQ Yaamua Kung'oa Viti na Kugeuza Dreamliner Zake Kuwa Ndege za Mizigo

  Ndege za mizigo hazijapigwa ban na bado zinaruhusiwa kufanya kazi kimataifa, mwanzo wakati huu wa corona ambapo kila nchi inaagizia vifaa na madawa yanayohitaka kwa haraka, kuna demand kubwa sana ya safari za charterd cargo flights . KQ inazo ndege ambazo ni spesheli za cargo lakini kwavile...
 11. J

  Tanzania haitasita kuizuia Zambia kupitishia mizigo yao hapa nchini

  Waziri wa biashara mh Bashunga amesema Zambia inafanya faulo katika biashara ya mahindi kwenye soko la DRC. Mh Bashunga amesema kama Zambia wataendelea na faulo zao japo wote tuko kwenye SADC basi serikali haitasita kuizuia kupitishia mizigo yao hapa nchini. Source ITV habari!
 12. elivina shambuni

  Serikali kununua ndege kubwa ya kubeba mizigo

  Serikali imesema inapanga kununua ndege ya mizigo itakayosafirisha shehena ya bidhaa za maua na mbogamboga kwa lengo la kuongeza fursa za uwekezaji na biashara kwa wakulima nchini . Mapango huo unaokusudia kuongeza na kuimarisha sekta ya usafirishaji kwa njia ya anga ndani na nje ya Tanzania...
 13. M

  Msaada Injini ya GX 100 Inaweza kutumika kwenye gari gani nyingine Hasa ya Mizigo (CARGO)

  Habari ndugu zangu nina gari yangu Cresta ina Injini ya GX 100 ambayo bado mpya ila bodi limechoka,nataka kubadili matumizi iwe ya mizigo je ni bodi la gari gani inaweza kuingiliana na injini hiyo? Gari ni automatic.
 14. elivina shambuni

  TRC: Treni moja ya mizigo itakuwa sawa na malori 500

 15. Ndama dume

  Nahitaji kampuni la usafirishaji mizigo

  Wanajamvi habarini za mchana, kama ambavyo kichwa cha mada hii kinasomeka hapo naomba kufahamu au mtu ambaye analijuwa kampuni lolote linaloweza kunisafirishia mzigo kutoka kwenye mataifa haya China na Marekani kuja Tanzania. Naombeni na ushauri pia kwa wale wanaonunua bidhaa mtandaoni hasa kwa...
 16. beth

  Serikali kukodi ndege ya mizigo kupeleka maua, samaki nje

  Serikali imesema itakodi ndege kupeleka matunda na mbogamboga nje ya nchi kutoka katika viwanja vya ndege vya Songwe na Mwanza, wakati huu ikijiandaa kununua ndege ya mizigo kwa kazi hiyo. Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwelwe alisema hayo wakati akijibu swali la nyongeza la...
 17. miss zomboko

  Serikali yaanza mazungumzo kwa ajili ya kununua ndege nyingine ya mizigo

  Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwelwe amesema serikali imeshaanza mazungumzo ya namna ya kupata ndege ya mizigo kwaajili ya kubeba mazao ya mbogamboja kuyepaleka nje ili kuwasaidia wakula. Ametoa kauli hiyo bungeni leo Jumatano Novemba 13, alipokuwa akijibu swali la Mbunge...
 18. diana chumbikino

  Shehena za mizigo zinavyozidi kumiminika bandari Mtwara

 19. tutafikatu

  Watanzania wanaosafirisha mizigo toka Ujerumani

  Ndugu yangu anauliza kama kuna watanzania au wana East Africa ambao wanasafirisha mizigo toka Germany hadi Arusha, Tanzania. Anataka kusafirisha rims ambazo kwa usafiri wa kampuni kama DHL au Fedex au EMS utagharimu sana. Msaada tutani.
Top Bottom