vikao

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania EU hawana jeshi, madikiteita hawaogopi vikao! Madikiteita wanataka vitendo!

    Sawa ni kazi nzuri wanaifanya EU, lkn maneno maneno, vikao hawa watu hawayaogopi! Wanaogopa kufa ingawa wao wanaua! madikiteita wanataka vitendo. Madulo asingelitoka bila vitendo, maana USA imemesema sana....aiwadharau maana maneno hayaunguzi nyumba.
  2. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Uwezi niamini, lakini NAKWAMBIA ukweli vikao vingi vya Pole pole na Magufuli ikulu,Bashiru Ally kakuru alikuwepo. Ile Leo jamani.

    Nasema kweli maamuzi mengi ya Hayati magufuli yalijadiliwa vyema na Hawa watu watatu hapa ikulu 1. Magufuli mwenyewe 2. Bashiru Ally Kakuru 3. Pole pole. Nashindwa kuelewa Leo magufuli ni hayati,Bashiru ni Waziri, na polepole Katekwa na Bashiru yupo kimnya kabisa anavuta mpunga wa uwaziri...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Vikao vya Online hasa vya Serikali, Je usiri au Confidentiality, (information Protectionism ipo)

    Nimewaza sana matumizi ya Google Team, Zoom na Apps nyingine nisizo zifahamu zinazo tumika kuendesha vikao mbalimbali, na hata hutumika katika matumizi Serikalini. Je? Tuna uhakika na usalama wa taarifa zetu!? Maana Apps hizi ziko controlled na wao!!. Tumeweza ku develope emails na mengine...
  4. Mshana Jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpasuko wa Ndani: Jinsi Kitchen Party Gala na Vikao vya Wanaume Vinavyotumika Kama Mpango wa Siri wa Kusambaratisha Mshikamano wa Familia

    Taifa linaelekea wapi? Hivi hatuna watu wenye akili, hekima, busara, tafakuri na maono ya kukemea haya mambo? Tunataka tuwarithishe nini watoto wetu? Mshikamano au utengano? Hivi tunajua madhara yake kiroho na kijamii? Hivi mpaka viongozi wa kidini hawaoni kwamba nyuma ya pazia la sherehe za...
  5. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Kihongosi: Maamuzi ya vikao yaheshimiwe

    Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Kenani Kihongosi amesema msingi wa uhai na uimara wa chama ni kuheshimu vikao na maamuzi yake. Akizungumza Tarime, Kihongosi amesisitiza kuwa viongozi na wanachama walioiva kiitikadi hutambua kuwa maamuzi ya mwisho ya vikao ndiyo maamuzi...
  6. kavulata

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wakisusia maridhiano watasusia na vikao vya kuandika Katiba Mpya?

    Nilimsikia Rais Samia akisema ataunda tume ya maridhiano nchini ya kuwaleta watanzania pamoja kabla ya kuanza mchakato wa kuandika Katiba mpya. Nimewasikia chadema wakisema hawatahusika wala kushiriki kwenye maridhiano. Kwa maoni yangu sioni namna chadema itakavyoshirikishwa kwenye kuandika...
  7. greater than

    JamiiForums Tanzania Je, Kikatiba ni sawa kwa waziri wa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar kumuwakilisha waziri wa serikali ya Jamhuri katika vikao...?

    Wiki iliyopita kulikuwa na mkutano wa kukutanisha washika dau wa Benki ya dunia na mfuko wa kimataifa wa fedha. Lakini kupitia hapo Serikali ya Tanzania ilipata wasaa wa kukutana na wawakilishi wa Standard chartered Bank ili kuweza kuangalia vyanzo vya kifedha vya kufadhili mradi wa SGR...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Kila siku tunakaa vikao vya kisekta kuhakikisha mafuta yanakuwepo ili shughuli zisiathirike

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ameyasema haya leo Aprili 12, 2026 wakati akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Chamwino, Jimbo la Mvumi mkoani Dodoma
  9. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Tenda za Zabuni za Taka, Kata ya Miburani hazijafunguliwa toka Mwezi Oktoba 2025. Mkandarasi apewa mkataba kinyume na taratibu za vikao

    Mkandarasi mwenyewe wa TAKA Kata ya Miburani ameshindwa kufanya kazi na kuna Hatari ya Magonjwa ya Mlipuko. Mchakato wa tenda umeingiliwa na wanasiasa
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Wanaokaa vikao kwamba huyu tumfanyeje, niwaambie hamnifanyi kitu. Utotoni nishahangaika na simba na chui na hawakunifanya kitu

    Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba, ametoa onyo kali kwa baadhi ya watendaji wanaodaiwa kukaa vikao kupanga njama dhidi yake, akisisitiza kuwa hatishwi na vitisho vya aina yoyote. Akiongea Leo Machi 04, 2026 na wafanyabiashara wa Soko la Machinga, Jijini Dodoma, amesema kuwa maisha yake yamejengwa...
  11. Desierto

    JamiiForums Tanzania Vipi unahudhuriaga vikao au watakalopanga kwako ni sawa tu

    Kusema ukweli mm sipendi kuhudhuria vikao ila watakalopanga kwangu ni Hilo naruka nalo tu.
  12. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Nawaza kwa sauti kubwa juu ya huyo aliotoa wazo huko kwenye vikao vyao la kuteka na kuua watanganyika

    -Kuna kisa nimesikia titok vijana watatu walikamatwa mchana kweupe tarehe 4 December huko Tarime na wote kukutwa wameuawa baada ya kupotea kwa siku kadhaa wakiwa wamevunjwa shingo. What is this all about? Yote haya kwa ajili ya kulinda CCM isitoke madarakani kweli? Imagine mmoja wa hao vijana...
  13. Mbepo yamba

    JamiiForums Tanzania Bado hamjasema. Vikao mnafanyia hemani?

  14. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Za chini chini vikao vya viongozi wa kuu wa jeshi vinaendelea baada ya kauli za Tesha

    Za chini chini vikao vya viongozi wa kuu wa jeshi vinaendelea baada ya kauli za tesha. Kama makapteni watampigia kura nyingi kwenye kuunga mkono tamko la shujaa tesha mkuu wa majeshi wala raisi hawezi kuzuia. Tesha ameongelea mauwaji na utekaji, na ufisadi vitu ambavyo sio siasa kwa kweli bali...
  15. Idugunde

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM imeshatambua kuwa haikubaliki. Vikao vya ndani kila kona kuomba kura za huruma huku hakuna upinzani toka CHADEMA ya Lissu

    Hakuna upinzani madhubuti zaidi ya waigizaji waliopewa mashangingi yaliyopatikana kwa kodi za wananchi. CCM inatapatapa vikao vya ndani kuomba viongozi wa dini wasaidie kuomba kura Vikao vya ndani vya WanaCCM kwa wanaCCM...
  16. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Misiba ya sisi waafrika ndipo unapojua maisha ya upande wa nyuma ya marehemu na familia yake lakini pia ndipo vikao vikuu vya watu wambea na wanafiki

    Hapo ndipo utajua watoto wa nje wa baba na wale wanaosadikika kuwa ni wake kwa maana baba alipita na mke wa mtu, Utawajua wadeni wake kila mara wanakuwa karibu na mke wake au kaka zake marehemu, michepuko yake inakuwa around kama wataweza kugawiwa chochote. Kuna wale speculators: wanaomchukia...
  17. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini vikao vya kifamilia vya misiba ya kibongo lazima mizozano

    Kuna kitu huwa sikielewi labda kwa sababu bado mdogo ila baada ya kuzika kuna vile vikao vinafanyika wanandugu kufahamiana ila naonaga vyote NI mwendo wa Ku change ana Tu yaani fujofujo,kutoelewana,kurushiana maneno,kupeana lawama. Je ndo mambo ya desturi na Mila lazima iwe hivo au lengo la...
  18. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kila la kheri vikao vya kamati kuu ya halmashauri kuu ya CCM Taifa.

    Kwa unyenyekevu mkubwa niko tayari kuupokea kwa mikono miwili uamuzi wenu thabiti kwa ustawi na maslahi mapana ya chama cha mapinduzi. Hakuna cha kupoteza. Asante sana wa jumbe wa mikutano mikuu ya CCM katika kata zote zaidi ya 17 katika Jimbo langu, kwa imani na mapenzi yenu makubwa mno kwangu...
  19. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Mambo yanayotokea katika vikao vya CCM hayakuhusu.

    Kama upon mtafaruku,CCM watafanya Press Conference watasema kwamba wameshindwa kuelewana. Ya nini kuleta tetesi na uvumi? CCM wameshamchagua mgonbea na Nchimbi amepigilia msumari jana anasema mgonbea wa CCM ni Samia Suluhu.
  20. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania NUKUU: Vikao vianze tu hivyo hivyo, hata kama hayupo, amesusa au hajulikani alipo!

    "Hakuna haja ya kubembelezana tena, muda haurudi nyuma, mambo ni mengi na watu wamesafiri na kuacha shughuli zao binafsi kuja kufanya vikao ili mambo mengine yaendelee. Sasa kama hayupo, hajulikani alipo au amesusa, hilo ni lake binafsi, halituhusu moja kwa moja. Kwa kuwa wasaidizi wake rasmi...
Back
Top Bottom