S-Adenosyl methionine (SAM-e) is a common cosubstrate involved in methyl group transfers, transsulfuration, and aminopropylation. Although these anabolic reactions occur throughout the body, most SAM-e is produced and consumed in the liver. More than 40 methyl transfers from SAM-e are known, to various substrates such as nucleic acids, proteins, lipids and secondary metabolites. It is made from adenosine triphosphate (ATP) and methionine by methionine adenosyltransferase. SAM-e was first discovered by Giulio Cantoni in 1952.In bacteria, SAM-e is bound by the SAM riboswitch, which regulates genes involved in methionine or cysteine biosynthesis. In eukaryotic cells, SAM-e serves as a regulator of a variety of processes including DNA, tRNA, and rRNA methylation; immune response; amino acid metabolism; transsulfuration; and more. In plants, SAM-e is crucial to the biosynthesis of ethylene, an important plant hormone and signaling molecule.Chemically, it is a sulfonium betaine which serves as a source of electrophilic methyl group or as a source of 5'-deoxyadenosyl radical.
Uganda's medical internship crisis has taken a new turn. The government has committed to funding allowances for state-sponsored intern doctors, while privately sponsored interns may be left with only lunch provisions — a move critics call reducing them to "feeding beneficiaries" rather than...
Rais wa Jamhuri ya Singapore, Mheshimiwa Tharman Shanmugaratnam, anatarajiwa kuwasili Tanzania jioni ya leo kwa ajili ya kuanza Ziara ya Kiserikali kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Kesho, Juni 9, 2026, Rais Shanmugaratnam atapokelewa rasmi Ikulu...
Wacha wenye hela waibiwe.
Kuna Youtuber anaitwa Matt Armstrong, amekua aki-rebuild magari mbalimbali ya kifahari yaliyopata ajali au kuharibika kisha kuyauza.
Amedeal na Ferrari, Lambo, Porsche, RR, etc na amekua akionyesha step kwa step, kwahiyo gari moja anaweza akatuwekea ata kwenye video...
Wanabodi,
Kumekuwa na matukio ya kusikitisha ya maporomoko ya udongo katika maeneo mbalimbali ya nchi yetu hasa kipindi cha mvua nyingi ikiwemo Manyara, Same (Mlima Kawetere) na sasa Rungwe (Mbeya).
Matukio haya yameleta madhara makubwa: vifo, uharibifu wa makazi, na kupotea kwa mali za...
Many entrepreneurs in East Africa struggle to sustain their businesses over the long term, high rent, debt, TRA and local government levies, among other pressures in Tanzania for example. But unfortunately, many have not realised that they are making strategic decisions using the wrong numbers...
Kenya Power has explained why some customers are now getting fewer electricity units for the same token amount.
If you buy tokens worth Ksh 3,000, up to 20% (about Ksh 600) may be automatically deducted to clear arrears, leaving less money to buy units.
Also, tariffs depend on your average...
Wanabodi,
Hii ni moja ya mada zangu za the voices from within ambazo ni abstract, za kufikirika tuu, sio lazima zitokee au hivi vitu ninavyo vizungumza humu, vitokee!.
Mada ya leo ni kuhusu mambo ya karma ya kila mtu kulipwa kwa matendo yake.
Kuna hii hoja ya kufanya kosa si kosa, kosa ni...
Viongozi wa madhehebu mbalimbali ya dini wamekutana wilaya ya Same, Mkoani Kilimanjaro kufanya ibada maalumu eneo kulikotokea ajali iliyoua watu 42 na wameiomba Serikali kuweka mnara wa kumbukumbu wenye majina ya waliofariki katika eneo hilo kama moja ya njia ya kuhifadhi historia
Wamesema...
Mgombea ubunge wa Jimbo la Same Magharibi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Fatuma Kange, amewataka wananchi wa jimbo hilo kufanya mabadiliko ya kihistoria kwa kumchagua mwanamke mwenye maono, uthubutu, na dhamira ya kweli ya kuleta maendeleo kwa watu wote.
Akizungumza katika mikutano ya...
Mali za Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Jimbo la Same zimetolewa nje katika iliyokuwa ofisi ya chama ya jimbo hilo kwa kile kilichoelezwa ni kutokulipwa kwa kodi kwa miezi sita.
Leo Julai 17, 2025 wameonekana mafundi wakipaka rangi na kufuta majina pamoja na rangi za CHADEMA ili...
1. If you read the Bible and Quran at the same time you will realize that God of the Bible is different from the god of Quran
2. Bible and Quran have different views about Jesus Christ. From Biblical perspective Jesus is the Son of the Living God while the Quran denies. There is a huge...
Idadi ya vifo vya waliofariki katika ajali ya gari iliyotokea eneo la Saba Saba barabara kuu ya Moshi-Tanga wilayani Same mkoani Kilimanjaro kwa kugongana uso kwa uso na kuungua moto imeongezeka na kufikia vifo 42 huku Serikali ikitarajia kesho kukabidhi miili ya wa marehemu hao katika Hospitali...
Nashangaa sana hii ni habari kubwa watu hamsini kufa Kwa ajali huko same na jamiiforums yote isijue sio kawaida. Naomba kama kuna Uzi wa hiyo ajali nijue maana Mimi ni mpare na same ni kwetu.
Nashangaa sana hii ni habari kubwa watu hamsini kufa Kwa ajali huko same na jamiiforums yote isijue sio kawaida. Naomba kama kuna Uzi wa hiyo ajali nijue maana Mimi ni mpare na same ni kwetu.
MBUNGE wa Jimbo la Same magharibi mkoani Kilimanjaro, Dkt. David Mathayo amechukua fomu ya kuwania Ubunge katika jimbo hilo kwa awamu nyingine.
Mbunge huyo ambaye ameongoza kwa vipindi 4 mfulizo amedai kuwa anataka kuendeleza alipoishia katika kuwaletea wananchi maendeleo.
Mathayo alifika...
DCEA yataja njia sahihi za kukabiliana na adhari zitokanazo na dawa za kulevya.
PCCB na Sekretariati ya MAADILI ya viongozi wa umma yasisitiza uwajibikaji kwa Watendaji na viongozi ngazi ya Wilaya hadi Vitongoji wa umma.
Halmashauri Same yaainisha mazao mbadala katika kukabiliana na kilimo cha...
Wadau nawasalimu
Ndugu zangu mimi nalitumikia taifa kwa kuwahudumia watanzania wenzangu kwenye moja ya kada yenye kugusa maisha ya kila mtu. Kwenye hili jukwaa siyo mgeni sana
Nimepata transfer ya kwenda ktk wilaya ya Same Kilimanjaro. Kwa nature ya kazi yangu eneo la kufanyia kazi itakuwa...
I Thought I Was Over My Ex Until THIS Happened (My Fiancé Had The Same Problem)
Two years into my engagement with John—the man of my dreams—I started having vivid nightmares about my ex, Mike. I'd wake up in cold sweats, heart racing, feeling an inexplicable pull toward a past I thought I'd...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.