wamefanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania WAAJEMI WAMEFANYA ASKARI WA MAREKANI KUWEUKA NA KUKENGEUKA

    The deployment has reportedly been plagued by supply and maintenance issues, including shortages of food and basic supplies, a lack of hot and potable water, and plumbing problems. Crew members’ families have raised alarm over what they described as collapsing morale, burnout, and mental health...
  2. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Leo asubuhi wazee niliokuwa nawaheshimu sana hapa Kijijini wamefanya jambo la hovyo sana; wameshindana kutangaza msiba. 🤔

    Wakuu, Leo asubuhi nimekaa juu ya jiwe lililoko nyuma ya nyumba yangu naota jua la saa nne. Ghafla nikaona Mzee mmoja anatokea upande wa mashariki (alikuwa anatembea taratibu), nikaangalia kusini nikamuona Mzee mwingine anakuja (huyu alikuwa amenikaribia). Yule Mzee aliyekuwa anatokea...
  3. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Taarifa ya madai ya udanganyifu wa mitihani na tuhuma za rushwa katika Murgwanza Institute

    Mdau, kuna madai mazito yanayohusu Murgwanza Institute, chuo cha elimu ya kati kinachomilikiwa na Kanisa la Anglikana, Dayosisi ya Kagera, kilichopo Wilaya ya Ngara. Inadaiwa kuwa wakati wa mitihani ya Supplementary End Semester II ya mwezi Desemba 2025, iliyofanyika katika Taasisi ya Rubya...
  4. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Mcheza kwao Hutunzwa? G. Russell, L. Hamilton na L. Norris Wamefanya vizuri sana kwenye F1 British GP Leo!

    Kama kawaida Leo tena British GP imetawaliwa sana na Waingereza. P1 ingawa imechukuliwa na mtoto wa Monaco ila Waingereza wamefanya vizuri sana. Ingawa bado game mwanzo, tushashuhudia 8 GP bado 14 tu tukamilishe mwaka. Matokeo bado yanamfeva Kimi wa Mercedes. Dogo ataweza kuhold moto?
  5. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Waasisi wa Taifa letu waliwafukuza mabeberu ili ku-mantain Tanzania's sovereignty leo chadema wanawatumia mabeberu ili kuhujumu Tanzania's sovereignty

    Chadema haikuanzishwa ili kupingapa na dhamira ya waasisi wa Taifa letu ya ku-mantain national sovereignty. Nashangaa kuona Leo hii chadema wanafanya siasa kwa mgongo wa mabeberu hii ni aibu na ni ujinga mkubwa. Chadema haikuanzishwa ili kuirudisha nchi kwenye utawala wa mabeberu, chadema...
  6. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania PSG Wamefanya Historia Tena✍️🏆

    👉 Tarehe 30 Mei 2026 itabaki kuwa siku ya kukumbukwa kwa mashabiki wa Paris Saint-Germain baada ya kutwaa ubingwa wa UEFA Champions League kwa mara nyingine mbele ya Arsenal katika fainali iliyokuwa na presha kubwa. PSG walionyesha moyo wa kishujaa, utulivu na uzoefu wa mabingwa hadi kufikia...
  7. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Shujaa Lissu achangiwe tena. Waliokwapua fedha zake wamefanya vibaya sana.

    Watanzania mil 7 kila mmoja akitoa bukubuku inatosha kabisa kupata fedha za kumashika mkono Shujaa Lissu ambae yupo gerezani kawa bila makosa
  8. Fbn

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kuna katabia ka mabalozi kuvizia viongozi wakubwa kupiga nao picha kisha kuaminisha wamefanya mazungumzo

    Hii tabia tulikuwa tujaishtukia ila sasa wameshtuka hawa viongozi mnaowasema kuwa wana wanonea wivu. Mnazunguka nchi zao kuomba mazungumzo wakiwagomea mnawadanganya kuomba picha ya pamoja kawasilisha kwa binti msumi. kumbe mnaenda kwenye magazeti na media uchwara kuhadaa watu sijui mumeongea...
  9. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM imefanya maendeleo makubwa hatuwezi kuiondoa madarakani

    Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Alliance for Africa Farmers Party (AAFP), Said Soud Said amesema hawawezi kuungana kukiondoa Chama cha Mapinduzi (CCM) madarakani kwa sababu maendeleo yaliyofanya na CCM ni makubwa. 🗣"ni kwamba niliandaa mimi mwenye binafsi utaratibu wa kuhakikisha...
  10. McLaren

    JamiiForums Tanzania Instagram wamefanya update. Wameongeza feature ya "repost" kama Tiktok na features nyingine 2

    Wakuu, Instagram imeendelea ku-copy features za mitandao mingine. Naona kwenye hii update yao mpya wameongeza sehemu ya REPOSTS kama ambavyo ipo kule tiktok Yaani hapa ukisha-REPOST kitu basi after sometime pia kinaonekana kwenye akaunti yako. Kwa hiyo sasa hivi kuna options kama 4 ambazo ni...
  11. funaku

    JamiiForums Tanzania Bila Shaka wajumbe wa CCM wamefanya kazi kubwa kwa niaba ya watanzania!

    Nikiri katika mwaka huu wa kiuchaguzi wajumbe wa CCM wenye mamlaka ya kuchuja na kupendekeza majina ya wagombea ambao hatimaye ndio huchaguliwa kuwa wawakilishi wetu wamefanya kazi kubwa sana na ya kizalendo mno. Nawashukuru!
  12. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania SIMBA wamefanya utoto sana kwa hili na kipigo kwao hakikwepeki

    I salute you kinsmen Hii team yenu ya simba imejaa utoto Walifanya kukaa kimya eti ili yanga wakose mapato. Nani kawadanganya kuwa watu hawataoingia?? Msipoingia basi wanayanga wataujaza na hivi wana ugwadu na nyie Mkiingia tu tunafunga mageti hatutaki mkimbie tena. Hamna tofauti na malaya...
  13. enzo1988

    JamiiForums Tanzania Unaikumbuka Prison Break?? Wana wamefanya kweli huko Marekani!

    Jamaa badala ya kuigiza wenyewe wamefanya uhalisia! 1) Wametumia choo! flee the jail on Friday through a hole behind a toilet and scale a wall 2) Walinzi wanakuja kustuka baada ya masaa saba! The absence of the men went unnoticed for more than seven hours - 3) Mbuzi wa kafara lazima...
  14. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Leo Askari kanzu wengi wamefanya Ibada bila kusinzia

    Ni jambo jema watu kufanya ibada na kumkumbuka mungu wetu anayetupa pumzi na kila lililojema.
  15. ngara23

    JamiiForums Tanzania Simba wamefanya rotation ya wachezaji 6, na hakuna aliyelalamika

    Wachambuzi uchwara na mashabiki wa Simba walilamika ati Singida walipanga matokeo na wachambuzi wakaenda mbali ati TAKUKURU waingilie kati Jana wachambuzi wakaja juu eti Yanga wamefanya rotation ya wachezaji kwakuwa ana uhakika wa kushinda Kwa kuwa GSM ni mdhamini wa Pamba Jiji. Soma Pia: FT |...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Limenijia tu kichwani, waliomuua Mzee Kibao wamefanya dhambi kubwa sana!Hamtakuwa salama milele,

    Hamtakaa muwe salama ndani ya mioyo yenu. Na kumbuka THE EVILS THAT MEN DO LIVE AFTER THEM! by Marc Antony
  17. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Hawa watu wanastahili wamefanya kazi kubwa na ngumu kweli kweli

    Hawa watu wameacha alama isiyofutika katika mataifa yao. Maana kazi waliyofanya ilikuwa ngumu na kubwa haswa. Vita ya kupambana dhidi ya umasikini ni vita ngumu inahitaji viongozi wenye akili ya kuwaonea huruma watu wake na kuwatoa walipo pasipo kujali njia gani kutumika bali matokeo ya njia...
  18. Msitari wa pambizo

    JamiiForums Tanzania Clouds Media katika mahojiano yake na Israel Mbonyi wamefanya vitu unprofessional, unethical na vitu vya kijinga na kuliabisha taifa

    Leo katika mahojiano yao na mwimbaji wa injili kutoka Rwanda Israel Mbonyi kuna mtangazaji ( Nadhani ni Sudi Brown) wakati Israel akijibu swali kuhusu kama ana mahusiano ama la (japo nalo sikuona kama ni swali la msingi) baada ya Israel kujibu kwamba hana mke ndipo Sudi akachomokea kwamba...
  19. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Press ya Wazee wa Simba Imeniumiza sana kama Taifa tuna safari ndefu

    Habari kiukweli tuna safari ndefu kama Taifa. Juzijuzi yameitishwa Maandamano hakuna alietokeo Maandamano ambayo Lengo kubwa lilikua ustawi wa watu ambao ni Watanzania. Leo hii Team imefungwa imeitisha press na inatoa Tamko😂😂 wakaongeza Kuna watu walikua wamekasirika wanataka kuandamana kisa...
  20. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Haki kisha kabla mtoto wako hajafika chuo wamefanya hili

    Hakikisha Angalau amesafiri nje ya nchi Angalau nchi mbili. Elimu matembezi ( exposure) ndio elimu kubwa kuliko elimu ya chuo. Vyuo sasa ni vyanzo vya mapato vya wamiliki sio vyanzo vya elimu. Ndio maana bado shahada na stashshada za elimu Zina Endelea kutolewa wakati kunamafuriko ya walimu...
Back
Top Bottom