single mothers

A single parent is a person who lives with a child or children and who does not have a spouse or live-in partner. Reasons for becoming a single parent include divorce, break-up, abandonment, death of the other parent, childbirth by a single woman or single-person adoption. A single parent family is a family with children that is headed by a single parent.

View More On Wikipedia.org
  1. Hamissi Hamza Jr

    JamiiForums Tanzania Tuhuma kwa single mothers ziende sambamba na uwajibikaji

    Yamkini Ni Mwanaume na Una mtizamo wowote Juu ya Wanawake Wenye Watoto/Single Mothers Hili Linakuhusu, Tusilitizame tu kwa angle ya Sisi ni Wanaume,Tulitizame Hili pia kwenye angle na mtizamo kama Baba wa Mabinti na wanawake wa miaka ijayo, Kama hatutabadili Mtizamo kinzani na kuaandaa...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Marekani single mothers wanalipwa milioni 2.5 kwa mwezi, hela ya kujikimu, Tanzania tunawapiga vita

    Single mothers ni wahanga, sio wa kulaumiwa.! Single mothers ni wahanga wa kuachwa na wanaume wasiotaka kubeba majukumu yao, wapenda starehe bila gharama, wanaume Hawa ni mzigo kwa taifa Katika nchi zinazotambua hili, single mothers wamekuwa walipewa hela ya kujikimu kila mwezi, zaidi ya...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kuna Mwanamke alinikataa kabisa baada ya Mimi kijitambulisha kwake ni mwalimu

    Nilikuwa nimemwelewa single mother flani yupo tunduma, so mara kazaa nilikuwa napita mtaani kwake karibu na ofisi yake anakojumlisha viazi . Ukizingatia umri wangu umeenda soon naikuta 40, umri niliopanga kuoa ,nilitokea kuvutiwa na yule Binti ambaye age yake 25, basi nikaomba mahusiano ...
  4. Yoda

    JamiiForums Tanzania Inashangaza wanaoshambulia single mothers kumtetea Sheikh Walid kwa wivu mkubwa

    Binti anayedai sheikh ni mzazi mwenzake hataki kuwa single mother, anataka mtoto wake kulelewa na baba yake, kosa lake liko wapi hadi ashambuliwe?! Mnaomshambulia huyu binti leteni ushahidi kwamba amepangwa ndipo mueleweke kumtetea Sheikh wenu kipenzi.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha kuongezeka kwa talaka na single mothers ni wanawake kuwezeshwa? Je wanaume wabadilikie kuendana na mazingira?

    Kuwezeshwa kwa wanawake hapa inamaanisha wanawake kupewa kipaumbele kwenye elimu, ajira, utawala, pia mabadiliko ya sheria, pamoja na mabadiliko ya kiutamaduni Tafiti zinaonyesha kuwamkeuwa na ongezeko la talaka na akina dada wanaozaa watoto bila kuolewa, maarufu kama single mothers. Na...
  6. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

    Maana ya Ndoa Ndoa ni muunganiko kati ya mwanamume na mwanamke, walio amua kwa ridhaa yao wenyewe kuishi pamoja kama mke na mume mpaka mwisho wa maisha yao ya ndoa. Aina za ndoa kwa mujibu wa sheria Kuna aina mbili tu za ndoa zinazotambulika na sheria ya ndoa Tanzania Ndoa ya mke mmoja na mume...
  7. Abelaurent

    JamiiForums Tanzania Mkasa wangu kama 'Stepfather' baada ya kuwa na Single mother

    Mimi ni mdau katika jamii ya wapambanaji, mjasiriamali ile mbaya. Hata hivyo, kwa sasa naona kama nakata tamaa baada ya kukutana na mama mmoja hivi. Kiukweli, nilishawahi kumiliki biashara ndogo ndogo kama vile migahwa, duka, na baa. Bila kusahau ufugaji wa kuku wa kienyeji na broiler—hapa...
  8. O

    JamiiForums Tanzania Mnakutana Leo, Mnafanya Ngono Kesho, Halafu unataka akuoe akuoe? Helo Single Mothers, Hamjajifunza?

    Binafsi kuna jambo linanishangaza. Mtu alipitia maumivu ya kuachwa na mzigo wa kulea mtoto peke yake, lakini bado anakutana na mwanaume leo, kesho tayari wanafanya ngono. Je, kweli hapo kuna somo amejifunza? Ngono hata Kwa kinga hapana hapana. Kwangu mimi, ngono si jambo jepesi. Siwezi kukutana...
  9. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania DIVIDE AND RULE: Mbinu ya kimedani inayotumiwa na single mothers

    Single mother wote wakiingia kwenye mahusiano mapya huwa hawawaongelei vizuri wazazi wenzao. Hauwezi kusikia anasema "baba mtoto yupo anampenda na kumjali sana mwanae" . Mara zote utasikia "hata sijui yupo wapi. Atajua mwenyewe na maisha yake" Do you think that's coincidence? no, it's a...
  10. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Hii chuki dhidi ya ‘Single Mothers’ Inaweza Kubadilisha Mfumo wa Mahusiano ya hawa Gen Z wakagoma kabisa kushika mimba mpaka ndoa

    ni kweli vijana wengi wa sasa hawataki kuoa single mothers, hamuoni kwamba hali hiyo inaweza kuwafanya mabinti wa Gen Z ambao ndo wengi bado hawajazaa kuwa waangalifu kupita kiasi kuhusu kupata mtoto kabla ya ndoa? Msichana akiona kwamba dada zake waliizaa halafu wakaachwa soko linapungua...
  11. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wimbi la ‘single mothers’, wa kulaumiwa zaidi ni Wazazi na Serikali

    Siku za hivi karibuni single mothers wamekuwa wakilaumiwa, kukejiliwa na kurushiwa maneno mengi ila ukweli ni kwamba wao ni matokeo tu na sio sahihi kuwananga wao badala ya kuangalia chanzo. Ukweli ni kwamba chanzo kikubwa cha single mothers ni wazazi kushindwa kuwahudumia watoto wao wa kike na...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Single Mothers wana haki ya kuwasiliana na Wazazi wenza. Kama hutaki ungeoa asiye na Watoto

    SINGLE MOTHERS WANAHAKI YA KUWASILIANA NA WAZAZI WENZA. KAMA HUTAKI UNGEOA ASIYE NA WATOTO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Huyo mwanamke sio Wako peke yako. Hilo lifahamu. Sio wako peke yako kwa sababu ana mtoto na mwanaume mwingine. 2. Kabla yako alikuwepo mwanaume mwingine ambaye...
  13. RRONDO

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwenu Single Mothers

    Today I would like to celebrate single mothers. I may not have been raised by one but the burden of single motherhood is not lost on me. One of my ex is a single mother. She has one lovely boy! From what i see her go through, my admiration and respect for her goes higher each day. Single...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mzungu yupo mbele ya muda, maisha aliyoishi tutayakuta mbeleni, suala la watoto na wajukuu zetu kuoa single mothers halikwepeki

    Sikuhizi kumekuwa na ongezeko kubwa sana la single moms, tena sio ile ya zamani tuliyozoea ya mtoto moja, hii version mpya unamkuta binti ana 24 tayari ana watoto watatu. Kufikia 2040 hii rate ya single moms inaweza kuwa juu mno Wazazi na kina babu wa watoto zetu wa kiume, kwanza kabisa...
  15. Oscar Lyrics

    JamiiForums Tanzania Kwanini wimbi la Single Mothers linazidi kuongezeka?

    Habarini wanajamii Ni ukweli usiopingika kuwa Single mothers wanazidi kuongezeka katika jamii, tatizo ni nini hasa kinasababisha hali hii? -Je ni ugumu wa maisha unaosababisha wanaume kuogopa kuingia kwenye ndoa? -Au kubeba mimba bahati mbaya Tatizo ni nini hasa? Huko mtaani kila kona...
  16. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Kazi ya ubaamedi ni kwa ajiri ya single mothers?

    Nimegundua hii trend. Viwanja vyangu vyote vya kumwagilia moyo kila baamedi ninaepiga nae story ananiambia ana mtoto. Ukimuuliza baba mtoto yuko wapi analeta story za hapa na pale. Hii kazi ya ubaamedi ndio tayari ishakua maalumu kwa ajiri ya single mazas au vipi.
  17. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Asilimia kubwa ya vifo vilivyotoea Oct 29 ni vya vijana wa kiume (23-35's ndio wengi walikua mtaani) je tutarajie ongezeko la single mothers mtaani??

    Habari za jumapili Wana bodi! Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza nimejaribu kuwaza hivyo, je tutarajie jambo kama Hilo kwa miezi mitatu ijayo? Ipo wazi, impacts za Oct 29,2025 hazitoonekana kwa mwezi huu Wala ujao lakini baada ya miezi mitatu na kuendelea kuna mambo mengi sana yatajitokeza...
  18. Damaso

    JamiiForums Tanzania Big Yes ama Big No

    Huyu single mama amezidi sasa ni muda atafute bwana. Hii ni form ya child abuse na sexually abuse tu. Hii sio kazi wala jukumu la kijana wako. Loh bora hizo zingine hii ya fan big NO.
  19. B

    JamiiForums Tanzania Hali ni mbaya sana mtaani, siku hizi wadada wengi wa miaka 19-22 tayari ni single mothers

    Habarini, Unakutana na mdada unampenda, mnakua kwenye talking stage labda kwa miezi kadhaa, mnaongea vizuri tu mna click, unapenda tabia yake na muonekano wake, unaanza kusema huyu Mungu akipenda tutaishi kama wapendwa, unaanza ku-imagine future nae. Baada ya muda uhalisia unakupiga na kitu...
  20. Zemanda

    JamiiForums Tanzania Jinai ya kudanganya taarifa za Cheti cha kuzaliwa cha mtoto

    Ni muda muafaka sasa kwa jamii kuliona hili tatizo ambalo linakua kwa kasi na litakuja kuwa na madhara makubwa sana siku za baadae. Linapokuja swala la kukemea maovu tusiwe na double standards au kusema kuna uovu wenye nafuu na usio na nafuu, uovu ni uovu tu. Nazungumzia tabia ya wanawake wa...
Back
Top Bottom