Ihefu FC wamefanya kosa gani kwa kuwafunga Yanga SC hadi walaaniwe na wakamiwe kushushwa daraja?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,694
109,128
Msifungwe nyie nani? Wapuuzi wakubwa. Inafungwa Simba SC inayowazudi Kimafanikio kwa Kimataifa, inafungwa Real Madrid FC na hata PSG FC sembuse nyie Washamba ( Wagaigai ) tukuka wa Jangwani na Kigamboni?

Sasa kwa taarifa yenu Ihefu FC ipo pamoja na Mwenyezi Mungu, itakuwepo na atailinda dhidi ya Ukatili na Roho zenu mbaya Wanafiki na Wapuuzi Waandamizi nyie.

Mijitu mizima lakini hamna Akili. Hivi ukiwa na Spirit of Sportsmanship unaweza kweli Kuchukia au kutotaka Kufungwa?

Kumbe ndiyo maana Haji Manara aliwahi kusema kuwa huko Klabuni kwenu wenye AKILI KUBWA na TIMAMU ni Wawili tu Baba yake Mzazi Mzee Manara na Rais Mstaafu Kikwete na Wengine wote Dr Matola PhD ( akiwemo ) hawana Akili yaani ni Mazuzu ( Dimwits ) tupu.

Ila siwashangai sana kwani hata wakati wa Sakata lenu na Mchezaji Feisal Salum "Fei Toto' huku kwa Upumbavu wenu mkiwa hamna Ushahidi mlikurupuka kama hivi na kusema kuwa eti mtagomea kununua Bidhaa za Azam / Bakhressa Company hadi kutotizama Mpira kupitia Azam Tv.

Kudadadeki zenu hivi kwa huu Umasikini mkubwa tulionao Watanzania Wengi ( GENTAMYCINE nikiwemo ) kuna mwana Yanga SC ambaye tokea akiamka Asubuhi hadi Usiku akienda Kulala hatumii / hanunui Product yoyote ile ya Azam / Bakhressa?

Hivi kuna Watu na Mibichwa yao mikubwa na Macho yao makubwa wanapenda kutizama Azam Tv hasa Mipira ( Ligi Kuu ya Tanzania ya NBC ) kama Mashabiki wa Yanga SC?

Hovyo kabisa nyie.....!!

Mimi ni Bahari huwa sikai na Uchafu!!
 
Naona mgonjwa wetu anakaribia sasa kwenda Lutindi kuchukua dawa zake. Michango yenu ni muhimu sana ndugu zangu ili kufanikisha safari ya huyu kijana wetu.

Kwa wale wote wenye mapenzi mema, tumeni michango yenu kwenye namba hii hapa ya mhusika +259000786. Jina litasoma Popoma Mbobevu.
 
AISEE...

Hivi mtu MZIMA kabisa unakuja KUANIKA ma UPUMBAVU yako kiasi hiki kwenye mitandao ya kijamii Huwa HUONI AIBU???????

We jamaa ni waajabu sana yanii!!!!!!!!
 
Kila mara huwa nauliza vitu vitatu vinavyomuhusu huyu jamaa.

1.Elimu yake na aina ya malezi yake.

2.kazi yake,je ni labour? Casual labour au yupo upande upi?

3.Familia,
Kwa maana ya mke na watoto
Kama ni hivyo, anawezaje kuwa kichwa cha familia.

Lakini pia kama ana msongo wa mawazo kwanini watu wa karibu wasimsaidie,

Mambo ya usalama yeye.

Mambo ya mademu yeye,

Mambo ya kisiasa na mwenendo wa taifa hili anajua yeye

Mambo ya michezo ni kama jamii forum ni ya kwake.

Hakuna kitu hakijui huyu mkuu

Halafu alishanitukana humu ,sikumjibu ila napenda kama tungeonana ana kwa ana.
Ili nione ni Giant wa namna gani.
 
Msifungwe nyie nani? Wapuuzi wakubwa. Inafungwa Simba SC inayowazudi Kimafanikio kwa Kimataifa, inafungwa Real Madrid FC na hata PSG FC sembuse nyie Washamba ( Wagaigai ) tukuka wa Jangwani na Kigamboni?

Sasa kwa taarifa yenu Ihefu FC ipo pamoja na Mwenyezi Mungu, itakuwepo na atailinda dhidi ya Ukatili na Roho zenu mbaya Wanafiki na Wapuuzi Waandamizi nyie.

Mijitu mizima lakini hamna Akili. Hivi ukiwa na Spirit of Sportsmanship unaweza kweli Kuchukia au kutotaka Kufungwa?

Kumbe ndiyo maana Haji Manara aliwahi kusema kuwa huko Klabuni kwenu wenye AKILI KUBWA na TIMAMU ni Wawili tu Baba yake Mzazi Mzee Manara na Rais Mstaafu Kikwete na Wengine wote Dr Matola PhD ( akiwemo ) hawana Akili yaani ni Mazuzu ( Dimwits ) tupu.

Ila siwashangai sana kwani hata wakati wa Sakata lenu na Mchezaji Feisal Salum "Fei Toto' huku kwa Upumbavu wenu mkiwa hamna Ushahidi mlikurupuka kama hivi na kusema kuwa eti mtagomea kununua Bidhaa za Azam / Bakhressa Company hadi kutotizama Mpira kupitia Azam Tv.

Kudadadeki zenu hivi kwa huu Umasikini mkubwa tulionao Watanzania Wengi ( GENTAMYCINE nikiwemo ) kuna mwana Yanga SC ambaye tokea akiamka Asubuhi hadi Usiku akienda Kulala hatumii / hanunui Product yoyote ile ya Azam / Bakhressa?

Hivi kuna Watu na Mibichwa yao mikubwa na Macho yao makubwa wanapenda kutizama Azam Tv hasa Mipira ( Ligi Kuu ya Tanzania ya NBC ) kama Mashabiki wa Yanga SC?

Hovyo kabisa nyie.....!!

Mimi ni Bahari huwa sikai na Uchafu!!
Hebu punguza jaziba kwanza mkuu, hebu njoo hapa Stand uangalie IPhone 15 Pro max used kutoka Dubai tayari zimeshafika
 
Back
Top Bottom