wamama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. matunduizi

    Kwanini wamama wa siku hizi wamepoteza utisho wa kianamke

    Wamama wa miaka ya 90 kurudi nyuma walikuwa vyuma kwelikweli. Walikuwa na uwezo wa kukuchapa na kukunyoosha kwa macho tu. Nakumbuka siku nilipotoroka nyumbani kwenda na magenge ya watoto mitaani kutembea. Bahati mbaya nikakutana naye amekaa katikati ya kundi la kinamama kuna jicho alinikata...
  2. Moto wa volcano

    Wamama wananguvu kubwa ya ushawishi kwa watoto, kuwa makini kama umezaa na mwanamke ambaye hauishinaye

    Kwa wewe ambaye umezaa na wanawake/ mwanamke ambaye hauishinaye inakupaswa ufahamu wamama wananguvu kubwa ya ushawishi kwa watoto kuliko wababa. Kama hauna maelewano mazuri na huyo mwanamke uliyezaanaye usitegemee watoto watakuja kukutambua. Nafahamu sio wababa wote ambao hawatoi huduma...
  3. U

    Kinamama waache kuendekeza kisingizio cha "Baba yako alitutelekeza", si kila baba alitelekeza mtoto

    1. Mwanamke kapigwa mimba na mwanaume X anaenda kumtegeshea mimba Mwanaume Y, hapo unakuta Mwanaume Y kategeshewa sababu anajiweza kiuchumi, Mwanaume Y anakuja kugundua mchezo anaachana na mwanamke aliebeba mtoto ambae si wake, wala sio kutelekeza mtoto, ajabu ni kwamba mama anaona aibu...
  4. Mbogo_beichee

    Ifike kipindi mabinti na wamama mpunguze ubinafsi, tumewachoka

    Poleni na majukum watanzania wenzangu, Natumai wote tuko poa na tunaendelea kulisukuma hili gurudum la maisha ya kila siku. Leo nimeona niwape makavu yao baadhi ya mabinti na wamama ambao wana tabia za kibinafsi tena ubinafsi wa maisha. Yaani unakuta Mtu mwenye jinsia ya kike, akizaliwa...
  5. Abu Ubaidah Commando

    Kwa hiki wanachokifanya Israel dhidi ya watoto, wamama na wazee 👇

    Kwa hiki kinachoendelea kwa Wazayuni laanatullah alayhim dhidi ya ndugu zetu Palestina, je! Nitaachaje kuungana na Freedom Fighters/Hamas na kuwauwa hao makafiri wa kizayuni! Nitaachaje kupigania uhuru wa nchi yangu dhidi ya makafiri hao!! Ewe Mwenyezi Mungu, wanusuru hawa ndugu zetu wa...
  6. Restless Hustler

    Wanaouza mihogo wanajiita wajarisiamali

    Tafsiri ya neno ujasiriamali ni kitendo Cha kuumiza akili(brainstorming) na kubuni jambo ambalo halijawahi kuwepo kwa lengo la kuisaidia jamii. Mfano wa ujasiriamali ni kama vile ugunduzi za engine, kompyuta na n.k. Sasa sikuhizi unakutana na mama muuza mihogo ya kukaangwa au mchicha anajiita...
  7. Crocodiletooth

    Dkt. Ananilea Nkya: IGP kusema Rais atapinduliwa ni kutweza utu wa Rais, kuonesha jeshi limeshindwa kumlinda

    Ipo script inazunguka mitandaoni inayojaribu kuonyesha waliokamatwa hawana tuhuma zenye kuhatarisha usalama wa serekali yetu. Nimeshindwa kuwaelewa zaidi pale wanapoona mtu / watu wanakamatwa kwa kauli zenye utata na hatari kwa taifa letu, Wao kazi yao huwa ni kukemea vikali waachiwe...
  8. Clepatina

    Kuwa single mother siyo laana, msiwaseme vibaya

    Shaloom, Dada mmoja aliamini kuwa mtu pekee anayestahili kuitoa bikra yake ni mwanaume atakayemuoa. Huu msimamo wa bibie ulifanya apoteze wachumba wengi kwani walipoambiwa hawataonja asali mpaka waingie ndoani walisepa. Miaka ikaenda, umri wa dada ukazidi kusogea ila bibie hakubadili msimamo...
Back
Top Bottom