mtego

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Mtego wa Misaada ya Afya na Mapinduzi ya Kulinda Data: Ndani ya Uamuzi wa Ghana Kuisikitisha Marekani na Mtihani wa Kiutawala wa Tanzania

    Habari Kuu: Ghana Yaupiga Chini Mkataba wa Dola Milioni 109 Serikali ya Ghana, chini ya Rais John Dramani Mahama, ilikataa rasmi mkataba wa afya wa miaka mitano wenye thamani ya dola milioni 109 (zaidi ya bilioni 300 za Kitanzania) uliopendekezwa na serikali ya Marekani. Uamuzi huo...
  2. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania CHADEMA msiingize kwenye mtego wa Machinga na CCM

    Hao watu wanajuana hadi kwenye uchaguzi wa mwaka 2025 walivalishana tisheti zilizokuwa zimeandikwa "Machinga na mama ni dam dam!" Leo wanatimuana wanahamasisha watu waandamane... Hiyo ni vita ya kifamilia kati yao, waachwe wasuluhishane wenyewe.
  3. ngara23

    JamiiForums Tanzania Lissu anajua sheria aisee, aeleza kuwaita Samia, Mpango na Majaliwa aliweka mtego

    Lissu shikamoo Wewe ni mwamba wa sheria nchini. Unaona vitu ambavyo akili yetu haijaviwaza Lissu ameeleza kuwa kwenye hati ya mashitaka haikuelezea na Kwa jinsi Gani serikali ilitishika hakuna huo ushahidi Lissu akaamua awaited viongozi wakuu wa serikali wake mahakamani wayhinitoshe...
  4. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Ndoa nyingine ni mtego: Mtu akistuka tusitie maneno zaidi

    Katika pitapita yangu leo nimekutana na andiko katika Biblia kitabu cha ; 1 Samweli 18:21 "Naye Sauli akasema moyoni, Mimi nitamwoza huyu, awe mtego kwake, tena kwamba mkono wa Wafilisti uwe juu yake. Basi Sauli akamwambia Daudi mara ya pili, Leo utakuwa mkwe wangu". Baada tu ya kusoma mstari...
  5. Ex Spy

    JamiiForums Tanzania Kutajwa kwa JWTZ kwenye Mzozo wa Mashariki mwa DRC – Je, Diplomasia yetu ya Kiulinzi inaiweka Tanzania kwenye Mtego wa Kijiografia?

    Nikiwa ninapitia mtandao wa X (zamani Twitter), nimekumbana na chapisho (tweet) la mwandishi wa habari Steve Wembi lililoniacha na maswali mengi sana kuliko majibu. Kama kuna jambo linalotakiwa kufuatiliwa kwa jicho la ziada na wadau wa usalama wa taifa na sera za kigeni hivi sasa, ni mtiririko...
  6. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania WANAYANGA MSIJE KUINGIA MTEGO WA MAKOLO KUHUSU MANQOBA MNGITHI, CHUKUA HII.!

    Wakuu I salute you kinsmen Imepita muda sasa sijaingia hapa lakini leo nimepata nafasi na sasa Acha niongelee jambo hili linalosumbua wanayanga ambalo kimsingi ni propaganda tu. Mosi Wakuu sioni tatizo la kocha wetu kabisa, bwana manqoba ni kocha mzuri ambaye tulisubiri muda mrefu. Tatizo ni...
  7. K

    JamiiForums Tanzania AFCON 2027 na Mkakati wa "Dada wa Taifa": Mtego wa Kidemokrasia Ambao Dola Haidumu Kuushinda

    Utangulizi: Sauti ya Mange Kimambi na Karata Mpya ya Mapambano Mange Kimambi amekuwa nguzo muhimu katika kuibua mijadala ya kijamii na kisiasa nchini Tanzania kutokea uhamishoni. Licha ya changamoto za kufungiwa kwa akaunti zake za Instagram na serikali kushinikiza masharti makali dhidi yake...
  8. K

    JamiiForums Tanzania MADA: Uchambuzi: Sakata la Godbless Lema na Onyo kwa CHADEMA Kuhusu Mtego wa "Siasa za Kutenganishwa," Wanaharakati Mamluki, na Mateka wa Kifedha

    Wana-JamiiForums, Hivi karibuni kumekuwa na mjadala mzito mtandaoni na kwenye ulingo wa kisiasa nchini unaomhusu Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema. Tuhuma za yeye "kulamba asali" zilizosambazwa mitandaoni baada ya yeye kuchapisha salamu za pole za Mwenyekiti Tundu Lissu kwenda kwa...
  9. Richard

    JamiiForums Tanzania Je, Watanzania wangapi wamehudhuria mkutano huu kupitia mtandao kama ulivyoitishwa na balozi wetu nchini Marekani?

    Huu mtego si sawa na ikiwezekana itabidi mbinu hizi DHS wataarifiwe. Hata kama balozi angeitisha mkutano huu 'live' bado wasiwasi ni mkubwa kuliko inavyodhaniwa. Nasikia watu walijipanga uzuri kusubiria lakini kimyaa! Nafikiri ntaeleweka.
  10. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Malisa, acha kubishana na hao ndugu, hawapendi! Ni mtego huo- jiondokee zako

    Sasa, unaweza uone unaweza kuwabishia hao Masadukayo. Lakini ukweli ni kwamba, umetegwa na wanajipanga kukuundia jambo Ondoka na rejea ulipokuwa kwa amani kabisa. Mshika mpini daima hupenda akuonyeshe kwamba, yeye ndiye na wewe siye Mwenye masikio na....
  11. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Yanga tusiingie kwenye mtego wa Simba. Selemani Mwalimu walikuwa wanamkarisha hadi dk za mwishoni. Sisi tunamweka bench?

    Matches 2 za Yanga Selemani Mwalimu hajacheza. Why? Why? Kocha una tatizo gani kumtumia Sele Gomez? Huyu tulimchukua kwa shangwe leo anachezea bench tu? Maana yake nini? Yeye alisema anaondoka Simba sababu hapewi nafasi kikosi cha kwanza. Anakuwa bench mpaka dk za mwishoni. Anakuja Yanga aanze...
  12. MSUKUMA02

    JamiiForums Tanzania Ndugu wanachama wa CDM msije kabisa kujaribu kuingia kwenye huu mtego

    Twende moja kwa moja kwenye hoja ya msingi maana muda mchache mambo ni mengi Ndugu wanachama wa CDM msije kabisa kujaribu kuingia kwenye huu mtego ambao mmewekea siku ya uzinduzi wa bwawa la Umeme kwa camera zote kummulika aliyekuwa mwenyekiti wenu MBOWE Hili jambo halijatokea kwa bahati mbaya...
  13. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu Umewekewa Mtego

    Nimeona Jamhuri katika Kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu Wamefunga Ushahidi, Kama majaji wakitoa ruling una kesi ya Kujibu kitu ambacho nadra kwa sababu elements za Kosa kwa kiasi kikubwa hazijawa Proved ili uchomoke faster jitetee tuu mambo ya kuanza kuwaita akina Samia, Mwigulu...
  14. a sinner saved by Christ

    JamiiForums Tanzania Mtego wa Siri wa Kinyongo na Kukwazika (Offense) Apostle *Miz Mzakweh Tancredi*

    Eneo kubwa la tahadhari katika ujumbe huu ni mtego wa kiroho wa kukwazika au kubeba kinyongo moyoni, ambao shetani anautumia kama silaha ya siri kuzuia baraka. Maana ya "Scandalon": Neno la Kigiriki la kukwazika (offense) ni scandalon, ambalo linamaanisha kichocheo au kifyatulio cha mtego wa...
  15. bless on

    JamiiForums Tanzania Kisa cha Mary J. Blige: Usaliti na Mtego wa Fedha

    Katika umri wa miaka 47, akiwa anatakiwa kupumzika na kufurahia matunda ya jasho lake la zaidi ya miaka 20 kwenye muziki, Malkia wa Hip-Hop Soul, Mary J. Blige, alipanda jukwaani usiku na mchana kufanya ziara (tours) za kimataifa bila kupumzika. Lakini safari hii, hakuwa anafanya shoo hizo kwa...
  16. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Ruhusa ya mikutano ni mtego kwa CHADEMA

    Ruhusa hii imetolewa na jeshi la polisi ambao hawakukataza mikutano! Mikutano ilikatazwa na waziri wa mambo ya ndani. Hivi sasa kuna ukamataji ambao huenda umelengwa kwa wafuasi wa Chadema, kinachokosekana ni viongozi wake na njia ya kuwapata ni kupitia majukwaa ya mikutano, hali ya kisiasa kwa...
  17. F

    JamiiForums Tanzania JE ni kweli ndoa za zama hizi ni kama mtego wa panya ?

  18. bless on

    JamiiForums Tanzania Furaha ni Mtego: Kwanini Inakudhoofisha na kufanya uwe mnyonge?

    Mtaani siku hizi kila mtu anakuambia "fanya kile kinachokupa furaha." Hii ni kauli ya uongo na mtego wa kisaikolojia uliotengenezwa kukufanya uwe mvivu, mnyonge, na mtu asiyeweza kuvumilia dhoruba za maisha. Ukifanya furaha kuwa dira yako ya kuchukua hatua, hutawahi kufanya jambo lolote la maana...
  19. Vien

    JamiiForums Tanzania Ukiingia kwenye mtego wa kukopesha ili tu kujenga mahusiano mazuri na wateja, ujue unachimbia shimo ambalo linaweza kuizika biashara yako.

    Wafanyabiashara wengi hawafi kwa kukosa wateja, wanafia kwenye madeni ya wateja wao 👇🏾 Kuna dhana imeenea sana kwenye biashara kwamba ukitaka kupata wateja wa kudumu lazima uwe mwepesi wa kuwakopesha. Wapo hata wataalamu wa biashara wanaoshauri kuwa kwa mazingira fulani kutoa bidhaa kwa mkopo...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Ushabiki wa Simba na Yanga Kila Wikiendi: Je, ni Upendo wa Mpira, Tiba ya Stress za Maisha, au ni Mtego wa Kisiasa na Kibepari Unaomnyonya Kijana?

    Wakuu, inakuwaje? Wikiendi hii jiji la Dar es Salaam limetawaliwa na kile kinachoweza kuitwa "vurugu za makombe mtaani." Kwanza tuliona Paredi la Yanga SC la kusherehekea Ubingwa wao, likiongozwa na Rais wao Eng. Hersi Said aliyeibuka juu ya gari la wazi akidunda na mataji mbele ya mitaa ya...
Back
Top Bottom