laana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Majaji msikubali laana ya milele. Tendeni haki, muda wa kuishi ni mdogo uliobaki, mtumikie Mungu

    6.11.2026 Bold Judges vs Shyster/Timorous Judges Bold Judges 1. Mwalusanya 2. Lugakingira. 3. Katiti 4. Mlay 5. Kalegeya 6................. Shyster Judges 1. 2. A bold judge is a progressive, principled jurist who interprets the constitution as a living document to protect human rights and...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Kwa waislam msalaba ni alama ya laana tuangalie namna unavyotugusa

    Ukisimama au kulala chali na kunyosha mikono yako, unatengeneza msalaba. Ndege zinazotumika kwenda hija ni alama ya msalaba Mitaa tunayokazita kadhilika Nyumba tuishimo mapaa yake yamejaa alama hii Makutano yote yana alama hii Ongeza alama yako ya msalaba halafu tuangalie kweli kama imani hii...
  3. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Siasa za chadema zimekaa ki laana laana sana

    Wafuasi wa chadema wanafanya mambo ambayo hata ambaye hakwenda shule hawezi kufanya ni siasa za kipumbavu na za hovyo kuwahi kutokea nchini zilifanywa na Hilda newton ambaye ni kiongozi wa chadema....huwezi kupata kura kwa kuwatukana na kuwadhalilisha wengine ni utahira tupu. Nawashauri wafuasi...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Mambo yanayoleta laana

    Laana ni nguvu ya kiroho inayoandama maisha ya mtu asifanikiwe kwenye maisha na kuwa na maisha magumu kupititiza.Kuna vyanzo mbali mbali vinavyoleta laana kwenyeaisha ya watu duniani,nitaorodhesha hapa chini kama ifuatavyo. 1.Kumwasi Mungu.Na kutumikia miungu mingine kwenye maisha yako ili...
  5. Z

    JamiiForums Tanzania UKAME vs EL NINO;Je ni mabadiliko ya tabianchi au laana...?

    Kuna watu wanajiita (watabiri wa hali ya hewa) ukishajua maana ya utabiri/mtabiri basi utajua wale ni watu wa aina gani. Dunia ya leo,ukiwa na makaratasi yaliyoandikwa (certificate) unaonekana ni msomi sana hata kama bado ujinga flan kichwani. Kuna taarifa kuhusu el Nino kila kona ya dunia .na...
  6. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Uwezo Wako: Baraka au Laana?

    Dunia ina idadi kubwa ya watu wasio na shida na wewe, na wala hawana mpango wa kugombana na wewe, ikiwa utawahakikishia kuwa wewe ni wa kawaida, mnyonge, huna mbele wala nyuma na mwenendo wa mambo unaonesha kuwa utaendelea kuwa chini. Katika biblia, kwa mfano, tunasoma habari za Yusufu mwana wa...
  7. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Wafuasi wa chadema badilikeni utu ni muhimu kuliko siasa kwahiyo watu wasishiriki misiba nyie ni watu wa ajabu sana

    Chadema hakuna wazee wa kuwashauri wote wamewakimbia kwasababu wanasiasa zisizo jari utu wa watu wengine, chadema wanafanya siasa za kimihemko sana, Inakuwaje wasitake watu wahudhurie misiba? Misiba inahusiana vipi na siasa? Kwahyo mtakuwa mnahudhuria misiba ya chadema tu? Mnajiona mpo sawa...
  8. Diaspora Messenger

    JamiiForums Tanzania Karma ingekuwa ipo na inafanya kazi ingewapata wanasiasa ila hakuna kitu kinatokea

    Tazama , wanasiasa wanavyofanya manipulation Wanaua , wanatesa but nothing is happen to them Kama umri wanaishi miaka mingi na wanazidi kuwa na maisha mazuri wao na vizazi vyao .
  9. Diaspora Messenger

    JamiiForums Tanzania Hapa duniani hakuna laana au baraka mambo yote yapo kama yalivyo.

    Hapa Duniani hakuna baraka wala laana mambo yote hayana maana ni wewe ndo unayapa maana. Jambo unaloliita laana kwa mwingine ni baraka na jambo unaloona kama baraka kwa mwingine ni laana So , mambo yapo kama hivyo
  10. CARIFONIA

    JamiiForums Tanzania Laana ya shamba

    LAANA YA SHAMBA Palikuwa na shamba moja kubwa, zuri na lenye rutuba ya ajabu. 🌿 Shamba lile lilikuwa na kila aina ya mazao ya thamani. Udongo wake ulikuwa wenye nguvu, na kila aliyelima ndani yake alijua kuwa alikuwa sehemu ya shamba lenye uwezo mkubwa wa kutoa mavuno. Kulikuwa na wafanyakazi...
  11. Etwege

    JamiiForums Tanzania Nimejiridhisha laana ya damu ya Humphrey Polepole na Mdude Nyagali ni kali

    Kwa yanayoukuta utawala wa awamu ya pili wa Rais Samia ni balaa . 1. Rais Samia alijigamba kuifungua nchi lakini amekuja kuifunga kuliko Rais yoyote tangu uhuru. 2. Serikali ya Samia imetengwa kutoka ndani ya nchi hadi nje ya nchi, Rais Samia amepigwa marufuku ziara za Ulaya na America 3...
  12. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuandamwa na mikosi ya kisiasa na kiuchumi isiyokoma ni ishara ya wazi kua huenda kuna laana ndani ya chama hicho cha siasa nchini

    Kwa mfano we cheki, mwenyekiti wake taifa kukutwa ana kesi ya kujibu tofauti na walivyotarajia kwa kujiiga kifua sana tu kwamba hakuna lolote n.k, na kwahivyo wameumbuka hadharani na hiyo maana yake mwenyekiti huyo ataendelea kusota korokoroni. Huenda mkosi huu unatokana na utamaduni wa kiburi...
  13. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kizazi cha Kanaani bado kinaendelea kuathiriwa na laana ya Nuhu mpaka leo?

    Kulingana na maandiko ya Biblia kati ya Watoto wa watatu wa Nuhu mmoja alilaaniwa vibaya sana na baba yake. Mtoto aliyelaaniwa bado kizazi chake kinaendelea kuishi chini ya laana? Wazao wake Kaanani leo hii ni wapi ? Mwanzo 9: 25-27 25: Alaaniwe Kanaani; Atakuwa mtumwa kabisa kwa ndugu zake...
  14. Nguva Jike

    JamiiForums Tanzania Chama cha walimu Kilindi laana ya dua mbaya iwe juu yenu

    Habari za mchana. Malengo ya chama cha walimu ni kuwatetea na kupigania haki za walimu kwa mwajiri.Chama cha walimu Kilindi Tanga hamjali shida za walimu kabisa mnajali kulinda vyeo vyenu laana iwe juu yenu katika kila jambo katika maisha yenu.Ameen. Walimu wanakatwa pesa za likizo bila huruma...
  15. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Kipaji Chake Kilikuwa Laana na Mkosi Kwake, Usagaji, Maisha, Mafanikio na Kifo cha Brenda Fassie

    Brenda Nokuzola Fassie (anayejulikana kama MaBrrr) alikuwa nguli wa muziki kutoka Afrika Kusini, mtunzi, na mwanaharakati aliyetawala sanaa ya muziki kama "Malkia wa Pop wa Kiafrika". Maisha yake yalijaa mafanikio makubwa ya kimuziki lakini pia yalikumbwa na dhoruba kali za kashfa, matumizi ya...
  16. Red black

    JamiiForums Tanzania hakuna kitu kinaitwa laana,Ona hizi fix.

    Mara ooh mama yako akikwambia maneno mabaya utateseka sana kwenye hii Dunia , uongo Baba yako akivua ngua akanyoosha uume juu huku akisema kama kweli wewe ni mwanangu nimekuzaa ufe ahivi unakufa hapohapo , uongo Dada yako akikasirika akavua chupi akakupiga nayo utateseka maisha yako yote...
  17. KanyeWest_Tz

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania tuko hivi? Ni laana gani?

    Ila aisee kwanini sisi watanzania tuko hivi? Ni laana gani tuliyo nayo sisi? Katika pita pita mitandaoni nimejikuta nashangaa why! Watu wana make fun of juma jux. Ndo hao hao walomcheka akiwa haijawa na ndoa, ila leo kaingia kwenye ndo kawa kituko tena? Hii ndo sababu watu hawakai kwenye ndoa...
  18. John Sin

    JamiiForums Tanzania Ni laana kulea mtoto wa mwanaume mwenzio anaepumua kwa bondi ya mbunye kutoka kwa mamaake

    Bora ukaathiri yatima Hela zako bora unywe pombe Ukishindwa kabsa kampe mwamposa Ukzidiwa sana nenda riverside Kama vipi bora humchangie kanji ujenzi wake kule Mumbai Lakn kulea mtoto wa mwanaume mwenzio ambae bado anavuta oxygen hapa dunian ni ulofa wa kiwango cha lami
  19. K

    JamiiForums Tanzania Tumuombe Mungu: CCM ni kama laana kwa Tanzania

    Tujifikirishe kidogo kwa nini Tanzania ni nchi masikini kwa kiasi hiki kuliko hata Kenya pamoja na rasilimali zake zote hizi. Tatizo ni utaratibu mbovu wa utawala wetu aka katiba mbaya. Katiba mbaya ni kwasababu ya CCM na walarushwa! Sasa mnao unga mkono huu mfumo ni sawa na watumwa wanao...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Kazi ya Polisi Ilistahili Kuwa Takatifu, Lakini Ilipobadilishwa na Kuwa Ya Kuwalinda Watawala Katili, Imekuwa Kazi ya Laana.

    Kazi ya polisi kiasili ilitakiwa kuwa kazi takatifu. Kazi ya kuwalinda wanadamu wenzako na mali zao, kazi inayokufanya uteseke, usilale, ili wanadamu wenzako na mali zao, viwe salama, hakika ni kazi ilistahili kuwa takatifu. Kwa sababu umejitoa kuteseka ili wanadamu wenzako wawe salama. Lakini...
Back
Top Bottom