Kwa Askari kujaa ndani ya mahakama kuzuia raia kukai haiwezi ukawa mtego wa wao kusababisha taaruki wapate sababu yakusema raia wamefanya fujo?

kifupi kirefu

JF-Expert Member
Oct 29, 2018
539
3,507
Katika zama hizi tunapaswa kuwa makini Sana na ila za movu shetani kupitia akili za wanadamu wenye madaraka. Mahakama ya mafisadi katika kesi ya Mbowe na wenzake naona kuna Askari wamewahi ndani kukaa raia wasipate nafasi za kukaa, wanaulizwa wanadai Wana haki yakusikiliza kesi na raia wasipangie mahakama Nani ashiriki kusikiliza kesi. .Kwa kuwa hila hizi zilianza jana wananchi wameombwa watumie busara lakini Askari wanajibu wananchi kama kuwaprovoke . Je hii haiwezi kuwa njia ya Askari Hawa kuwatoa wananchi mahakamani kwamba wanafanya fujo?

Wananchi tulieni, nendeni nao kwa akili maana wanaowatuma misheni zikifeli niwepesi Sana kumpongeza bosi wa juu na zikifaulu niwepesi Sana kutumia gia ya vurugu kutimiza lengo lao. Shetani ashindwe
 
Back
Top Bottom