wakili msomi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Msanii

    Video: Wakili Msomi Mwabukusi ana hoja. Haya yalianzia enzi za Kikwete

    Nchi ya one man show. Haya yalianzia kwa Kikwete, akaja Magu akayapalilia, na sasa Mama ndo imekuwa mwongozo rasmi. Hakuna anayeheshimi Katiba na Sheria tena. Rais amekuwa ndiye Katiba, Sheria na Utawala Bora. Tafakari Chukua hatua...
  2. Burkinabe

    Wakili Msomi Boniface Mwabukusi; Rais mtarajiwa toka Busokelo

    Leo katika kufuatilia habari, nimeshangzwa sana na mapokezi ya Wakili Msomi Boniface Mwabukusi huko kwao Busokelo. Pamoja na Mkutano wake kupigwa "stop" na jeshi Polisi, bado wananchi wengi walikuwa na hamu kubwa ya kumsikiliza shujaa huyu wa Taifa letu kwa sasa huku wakimshangilia na kumwita...
  3. Burkinabe

    Utabiri: Wakili Msomi Boniface Mwabukusi ndiye yule ajaye

    Wapendwa wana JF, ni matumaini yangu mko vizuri. Nimeota mara kadhaa kwamba Wakili Msomi Mwabukusi atakuja kuwa kiongozi mkubwa kabisa katika nchi yetu. Atakuwa ni Rais mpole na mnyenyekevu kuliko wote waliomtangulia. Lakini wakati huo huo, atakuwa ni Rais mkali zaidi kuwahi kutokea...
  4. Burkinabe

    Wakili Msomi Mwabukusi ni Mbadala wa Hayati Magufuli

    Habari wana JF. Huyu wakili msomi Mwabukusi namwona kama mbadala wa Hayati JPM. Japo tofauti na Magufuli, Mwabukusi ni mkali zaidi halafu wakati huo huo ni mpole, mnyenyekevu na mwenye huruma zaidi kulinganisha na Hayati JPM! Ili tuendelee kama nchi, tunawahitaji sana viongozi wa Kaliba hii...
  5. Burkinabe

    Wakili Msomi Mwabukusi; Je, ndiye 'Daudi' wa Tanzania au tumtazamie mwingine?

    Nawasalimu kwa jina la Bwana. Leo nimekumbuka kisa kilichoandikwa kwenye Biblia, 1 Samweli 17. Sura hii kwa ufupi inahusu kisa cha kijana mdogo Daudi na Goliathi. Daudi alikuwa ni mchunga kondoo ambaye hakuwa na uzoefu katika masuala ya vita ilhali Goliathi alikuwa ni mpiganaji mwenye uzoefu...
  6. K

    Ushauri kwa Wakili Msomi Mwabukusi

    Sote tunatambua ujasiri wako. Unaitetea Taifa kwa nguvu zako zote tunakushukuru sana LAKINI acha kusema sana na nenda pole pole sote tumekuelewa unasimamia rasilmali ya nchi hii.
  7. Carlos The Jackal

    Wakili Msomi Pascal Mayalla, umemsikia Prof. Shivji? Bado unatuita watanzania Wajinga?

    Pengine Prof. Tibaijuka unaona labda anazeeka haraka, Pengine Lissu unamuita Mwanaharakati, Pengine Mbowe unamuona asiye na taaluma ya Sheria na wewe tu ndio mwanasheria, pengine Akina Dr Nshala, Akina TEC na Watanzania hawa mtaani ambao sass wanaamini Nchi imeuzwa, wanahoji kwanini Mkataba...
  8. OKW BOBAN SUNZU

    Wakili Msomi: Yanga wamefanya uzembe kwa Feisal

    Wakili na mwanamichezo mzoefu nchini, Aloyce Komba ametoa ufafanuzi juu ya dili la Fei Toto kutua Azam akisema: . “Yanga wamefanya uzembe wenyewe na wasije wakathubutu kukimbilia Fifa kama walivyofanya kwa Bernard Morrison itakula kwao. Waangalie vizuri mkataba wa mchezaji unaeleza nini...
  9. Suley2019

    Kesi ya wabunge 19 wa viti maalum waliofukuzwa CHADEMA, Wakili Kibatala aanza kuwahoji mahakamani

    Dar es Salaam. Kesi ya wabunge wa viti maalumu waliofukuzwa uanachama katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Halima Mdee na wenzake 18 dhidi ya chama chao hicho cha zamani imeanza kuunguruma mahakamani, baada ya kukwama mara tatu. Mdee ambaye alikuwa mwenyekiti wa Baraza la...
  10. M

    OMBI: Rais Samia mteue Wakili msomi Peter Kibatala kuwa Jaji

    Nchi yetu ina wasomi wengi ila wasomi wanaotendea haki taaluma zao ni wachache sana. Peter Kibatala ni mmoja wao Hii nchi ni yetu sote kama asali kila mtu anataka kulamba. Kuna viongozi lukuki sana wapo serikalini na walikuwa upinzani na majority wanafanya vizuri sana Sifa ya kuwa Jaji ni...
  11. C

    Bado mnamwita Wakili msomi?

    Naomba kuwauliza makolo, hivi lile jina pendwa la 'wakili msomi' mlilompatia BM bado mnaendelea kulienzi?
  12. Nigrastratatract nerve

    Robert Kidando, Wakili Msomi wa Serikali ambaye hupewa kazi ya kusimamia kesi nzito nzito na hajawahi kushindwa, na hii kesi ya Mbowe lazima ashinde

    Robert Kidando Wakili Msomi mtoto wa Daktari Mstaafu Mzee Kidando ni Wakili mtata msomi mwenye kipaji huwa hashindwi kwa kesi zozote Ni mwadilifu sana namtabiria baada ya kesi hii atapewa Ujaji.
  13. K

    Kwanini Yanga Walifika CAS Dhidi Ya Morrison..? Leo Wakili MSOMI Katoa Majibu...!

    Majibu Ya Kesi Yanga Dhidi Ya Morrison CAS tuliyasikia. Leo Tumepata Majibu Ya BM Juu Ya kwanini Utopolo Walifika hadi CAS..! Kwa Kiwango Kile Alichoonesha dhidi Red Allows Ya Zambia.Hakika Yanga walistahili Kufika Pale Walipofika japo Waliangukia Pua.! Zipo nyakati duniani ...jambo moja...
  14. jMali

    Utambulisho wa "Wakili Msomi" kwa Mawakili au wanaSheria

    "Wakili msomi" ina maana gani? Je kuna wakili "asiye msomi"? inamaanisha nini? Msaada tafadhali.
  15. Tusker Bariiiidi

    TANZIA Wakili Msomi Dkt. Kibuta Ongwamuhana afariki Dunia

    Wakili Msomi Kibuta Ongwamuhana amefariki akiwa anapatiwa Matibabu Nchini Afrika ya Kusini. Katika Wanasheria walioisumbua Serikali ya Tanzania kipindi cha miaka mitano iliyopita ni Mzee Kibuta ..huyu Mzee alikuwa mtata sana PROFILE YA WAKILI MSOMI KIBUTA DR. KIBUTA Chairman Dr. Kibuta...
  16. BAK

    Jinsi wakili msomi Dickson Matata alivyompeleka puta mtoto wa IGP Mahita

    Jinsi wakili msomi Dickson Matata alivyompeleka puta mtoto wa IGP Mahita. MATATA: Nikumbushe Majina yako. SHAHIDI: Naitwa Inspector Mahita Omary Mahita. MATATA: nitakuwa Sahihi nikisema wewe ni Mtoto wa IGP mstaafu Omary Mahita. SHAHIDI: Upo sahihi MATATA: Wakati Baba yako akiwa IGP wewe...
  17. BAK

    Ahsante sana Wakili Msomi Peter Kibatala

    "Ahsante sana Askofu! Wamewaruhusu [watu] hatimaye [kuingia Mahakamani] baada ya jitihada kubwa. Tunaanza sasa kuendelea na Kesi, Tuombeeni - Peter Kibatala" Ujumbe huo ni wa Wakili Msomi Peter Kibatala (pichani) ukionyesha kuwa zuio la Polisi na Mahakama kutaka watu wasiingie Mahakamani na...
  18. N

    Wakili Msomi, Naibu Spika, Mhadhiri Mwandamizi na Daktari wa Falsafa wa Sheria, Tulia Ackson awa tishio kwa Spika Job Ndugai

    Katika kuunda Timu yake ya kuhakikisha anazidi kubaki madarakani - Mh. Spika, Ndugu Job Ndugai amegundua tishio au threat (kwa kimombo) kubwa kwake ni Naibu wake. Huyu bwana mambo mengi amekuwa akiyafanya kwa kutumia vitisho vitisho tu akiachana kabisa na ule utaratibu wa kidemokrasia wa...
Back
Top Bottom