ihefu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kalisheshe

    Elvis rupia wa ihefu kawazidi mbali fred na jobe wa simba sc

    Huu ndio ukweli Fred na jobe wanaigharimu sana timu, Najiuliza tu Hivi wanaosajiri hawakumuona elvis rupia?
  2. Heparin

    Ihefu SC VS Simba SC | NBC League | CCM Liti Stadium, Singida | Aprili 12, 2024

    Ihefu SC VS Simba SC | NBC League | CCM Liti Stadium, Singida | Aprili 12, 2024
  3. baba aura

    FT | Ihefu SC 1 - 1 Simba SC | NBC Premier League | Liti stadium | Aprili 13, 2024

    Ihefu sc vs Simba sc saa 10:00 jioni CCM Liti stadium NBC premier league Leo wanasingida watakuwa wanashudia mtanange mkali baina ya mwenyeji ihefu vs simba sc, wakiendelea kusaka pointi muhimu za kuamua nani bingwa msimu huu. Tukutane hapa kwa update. KIKOSI CHA SIMBA KIKOSI CHA IHEFU
  4. THE FIRST BORN

    Simba Tunaanza kujadili saa ngapi Magoli ya Yanga dhidi ya IHEFU?

    Imekua ni utaratibu kwa Mashabiki wa Simba kuwa na wivu wakiona Team za Ligi kuu zinafungwa kama wao. Yani wanatamani sana zile 5 walifungwa wao zibaki wao tu wawe wa kipekeee. Saiv najua bado Mapopoma yapo huko yanamalizia kuoga yaanze kutiririka hapa Mara goli za offside mara goli la 5...
  5. Vincenzo Jr

    FT: Yanga SC 5 - 0 Ihefu SC | NBC Premier League | Azam Complex | 11.03.2024

    🔰𝐍𝐄𝐗𝐓 𝐔𝐏🔰 🏆 #NBCPremierLeague ⚽️ Young Africans SC🆚Ihefu FC 📆 11.03.2024 🏟 Azam Complex 🕖 12:00 Jioni Kikosi kinachoanza dhidi ya Ihefu SC Mpira umeanza Dakika ya 5 Yanga SC 0-0 Ihefu SC Dakika ya 10 GOAAAAAAL Pacomeeeee Dakika ya 15 Yanga SC 1-0 Ihefu SC Dakika ya 19 Yanga SC wanakosa...
  6. Suley2019

    Ihefu yauchagua kutumia uwanja wa CCM Liti wa Singida kwa mechi zao za nyumbani

    RASMI Ihefu SC imehamia mkoani Singida baada ya kuuchagua uwanja wa CCM Liti kama uwanja wao wa nyumbani kwa msimu mzima. Leo watendaji wote wa timu za ligi kuu wametumiwa taarifa rasmi ya kuwa michezo yote ya nyumbani ya Ihefu SC itachezwa CCM Liti, Singida. Nini kimejificha kwenye sakata la...
  7. Tate Mkuu

    FT. Dodoma Jiji Fc 1, Ihefu Fc 0

    Hivi hawa Ihefu ndiyo wale wale walio wafunga kweli Yanga goli 2-1 kule Highland Estate!! Mpira umemalizika muda si mrefu leo tarehe 18/12/2023 kwenye uwanya wa Jamhuri Dodoma. Yaani msimu mzima wanajiandaa kwa ajili ya kuifunga Yanga tu kwenye uwanja wao wa nyumbani, halafu baada ya hapo...
  8. kavulata

    Ihefu iwe makini kucheza na Yanga, itashuka daraja

    Ihefu inatumia nguvu nyingi sana inayoweza kutumika kucheza mechi Saba na timu nyingine ndogo za ligi. Wanaingia uchovu wa kudumu baada ya kulazimisha kuifunga Yanga au Simba unasababisha kupoteza mechi 7 baada ya mechi na Yanga. Baada ya kuifunga Yanga wanaendelea kufurahi na kushangilia kwa...
  9. Beberu

    Live Ihefu 1 - 3 Azam Fc, 05/11/2023

    Wakuu match hii inachezwa katika uwanja wa Highland Estates, Imeanza saa 10, Hadi sasa ni dakika ya 20 na matokeo ni 0-0 endeleeni kuwa karibu nami ili kuendelea kuwapa Updates Full time 1-3 in favor of Team bora sana ya Azam Fc
  10. GENTAMYCINE

    Nini kinaendelea? Ihefu FC waliofungwa wamekubali ila wengine ndio wanaumia!

    Sijajua Simba SC mchezo ujao anacheza na nani ila namuonea huruma kwani ule mpira nilioucheza dhidi ya Al Ahly FC kwao na Waarabu kuutafuta muda mwingi kwao (hao nitakaokutana nao NBC Premier League) baada ya jana kumfunga mbabe wake mtu naenda kuucheza maradufu yake na nikimsamehe sana napiga...
  11. Kitambi chakufutia tachi

    FT | Simba SC 2-1 Ihefu FC | Uwanja wa Benjamin Mkapa | Saa 1:00 Usiku| Oktoba 28, 2023

    Salaam wakuu. Mshikemshike wa ligi ya NBC PL kuendelea leo ambapo mnyama mkali na mafundi kandanda Simba sc a.k.a WANALUNYASI watakipiga dhidi ya timu ngumu ya IHEFU FC kutoka Mbeya. Simba wanaenda kwenye mchezo huu wakiwa nafasi ya pili na alama 15 baada ya kucheza michezo 5 akishinda yote...
  12. Petro E. Mselewa

    Epuka porojo, zijue takwimu za Yanga na Ihefu. Yanga iko juu!

    Tafadhali mfuatiliaji na mpenzi wa soka, epuka porojo. Puuza upuuzi unaoenezwa kuwa Yanga, bingwa mtetezi wa Tanzania, ni kibonde wa Ihefu FC ya kule Mbarali Mbeya. Tangu Ihefu ipande Ligi Kuu, imecheza na Yanga mara tano. Kati ya hizo, Yanga imeshinda mara tatu. Ihefu imeshinda mara mbili...
  13. GENTAMYCINE

    Ni Ihefu FC peke yake ndiyo imealikwa na Simba SC kwa Mkapa tarehe 20 Oktoba, 2023

    Kwa Tanzania hii Timu ambayo angalau inakaribia Hadhi ya Simba SC ni Ihefu FC kutoka Highland Estates Mbarali Mkoani Mbeya. Hivyo kwa Kulitambua hilo na Kuitambua Uongozi wa Simba SC umeamua Kuialika Ihefu FC peke yake na kutozialika Timu zingine Tatu ambazo zina Urafiki wa Kinafiki wa...
  14. GENTAMYCINE

    Pole sana Kocha Mkweli, Mweledi na usiyepokea Rushwa Zuberi Katwila, tulijua tu usingedumu Ihefu FC kwa Kuchukiwa na Uliowaadhibu mara mbili Mbarali

    Uwezo wako tunaujua ni mkubwa mno na sababu kuwa Umeondoshwa Ihefu FC kama Kocha Mkuu na Kurithiwa na Mganda Kocha Moses Basena leo kutokana na Poor Performance ya Timu ya Ihefu FC ni Uwongo na GENTAMYCINE sikubaliani nayo. Kocha Zuberi Katwila ( Legend wa Msasani Magunia ) ukiwa na Maswahiba...
  15. GENTAMYCINE

    Ihefu FC wamefanya kosa gani kwa kuwafunga Yanga SC hadi walaaniwe na wakamiwe kushushwa daraja?

    Msifungwe nyie nani? Wapuuzi wakubwa. Inafungwa Simba SC inayowazudi Kimafanikio kwa Kimataifa, inafungwa Real Madrid FC na hata PSG FC sembuse nyie Washamba ( Wagaigai ) tukuka wa Jangwani na Kigamboni? Sasa kwa taarifa yenu Ihefu FC ipo pamoja na Mwenyezi Mungu, itakuwepo na atailinda dhidi...
  16. GENTAMYCINE

    Tulioshangilia na tunaoshangilia Yanga SC Kufungwa na Ihefu FC jana nasi tukifungwa leo tutafute kwa Kujificha hapa JamiiForums

    Na najua ninayeviziwa na kukamiwa vilivyo na nitakoma kama siyo Kuwakoma ni Mimi GENTAMYCINE na baadhi. Ewe Mola bariki Prisons FC afungwe!!
  17. OKW BOBAN SUNZU

    GSM aiwekea Prisons milioni 25 dhidi ya Simba

    GSM akishirikiana na uongozi wa Prisons umetoa motisha katika timu yao ili kuepuka kichapo leo dhidi ya Simba. Katika kikao kilichofanyia viongozi pamoja na wadau wametoa ahadi ya sh 25milioni kwa wachezaji endapo watapata Ushindi dhidi ya Simba.
  18. GENTAMYCINE

    Kwanini tumeamua kurejea Dar saa 7 za usiku kutokea tulikofungwa na Ihefu FC jana, wakati awali tulipanga kurejea 'Kimadaha' saa 4 asubuhi leo?

    Sasa na wale Waandishi wa Habari na Mashabiki wenu mliokuwa mmewaandaa (kwa Kuwalipa kama kawaida yenu) mkiamini kuwa Jana mngevunja mwiko pale Highland Estates Mbarali mmewapa au mtawapa majibu gani? Hatutakatai kuwa katika Mpira Kufungwa ni Jambo la Kawaida ila GENTAMYCINE na Wadau wengine wa...
  19. S

    Matokeo ya mechi ya Yanga na Ihefu, yalikuwa yamepangwa?

    Nashauri uchunguzi ufanyike kuhusu hii mechi kwani staki kuamini kuwa iliocheza ndio Yanga hii ya sasa. Timu kubwa kufungwa na timu ndogo, sio jambo la ajabu kwani mpira ni mchezo wa makosa na hivyo mkubwa ukifanya kosa, basi unaweza adhibiwa na ukapoteza mchezo. Kwa mechi ya leo, ukiacha...
Back
Top Bottom