P Funk na Seven Mosha wamefanya kamati ya tuzo za TMA kuwa batili. Waondolewe au tuzo zitakosa maana

sinza pazuri

JF-Expert Member
Aug 16, 2014
2,525
7,377
Seven Mosha na P Funk wanaondoa uhalali wa kamati ya kusimamia tuzo za TMA Tanzania Music Awards. Sababu kubwa wana maslahi binafsi na kitu kinachoenda kukisimamia au tuseme conflict of interest.

P Funk ni msanii, anasimamia wasanii wanaoenda kushindana pia ana upande wa muziki anaupiga vita. Juzi tu hapa ametoka kutoa album yake how come aweke kusimamia ushindani ulio sawa. Hafai kazibatilisha tuzo mapema kabisa.

Seven Mosha ana kampuni inayosimamia wasanii kama Abby Chams, Lunya nk hivyo ana maslahi ya moja kwa moja.

Ili kurudisha heshima ya tuzo muwaondoe mapema au tuzo zitakosa maana siku zote.

Kuna watu mbona wengi wenye experience na wanaoijua game ya muziki kina bro John Dilinga, sista Carola Kinasha, Zavara, Sebastian Maganga nk.

TMA mpaka sasa imeshafeli kwa kuweka watu wenye maslahi ya moja kwa moja na wenye visirani binafsi.

20231120_145900.jpg
 
Actually una point,bt seven Kawa nyuma ya hizi tuzo tangu nazifahamu na Nina uhakika,so kama kupigwa tulishapigwa tuendelee kupigwa and just maybe hawanaga upendeleo
 
Marioo anamnyandua mtoto wa P funk,Ray vanny alikuwa anamnyandua mtoto wa P funk,Harmonise alikuwa anakula mzazi mwenzie na P funk. Sijajua urafiki wa Seven na Ali kiba uliishia vipi. Nakubaliana na wewe mtoa mada.
 
Watafute jina jingine,TMA Tanzania zimekuwa nyingi sana,tuna Tanzania Military Academy (TMA),tuna Tanzania Meteorological Agency(TMA) na sasa tena Tanzania Music Award(TMA),hii inaleta utata,kwanini hiyo tuzo isiitwe Hata MAT(Music Award for Tanzaniians)?
 
Si useme tu ukweli unahofia Salaam na chawa wa Diamond walivyomtukana P Funky?
Na ukaribu wa Kiba na Seven pia badala ya hivi vijisababu vya kuokoteza?
 
Marioo anamnyandua mtoto wa P funk,Ray vanny alikuwa anamnyandua mtoto wa P funk,Harmonise alikuwa anakula mzazi mwenzie na P funk. Sijajua urafiki wa Seven na Ali kiba uliishia vipi. Nakubaliana na wewe mtoa mada.
Alikibakuli alikuwa anammega seven

Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
 
Kamati isiwe wanao chagua. Wao wafanye maandalizi. Halafu wapiga Kura wawe wengineo...kuwe na voters ambao ni waandishi WA habari au wasanii ma legendary wa siku nyingi.
 
Si useme tu ukweli unahofia Salaam na chawa wa Diamond walivyomtukana P Funky?
Na ukaribu wa Kiba na Seven pia badala ya hivi vijisababu vya kuokoteza?
P Funk ana interest ya moja kwa moja na hizo tuzo kuwa kwenye mchakato tayari ni tatizo.

Lakini hii sio level yako ya kuelewa logic kama hii.
 
Back
Top Bottom