kutisha

Kutisha (Russian: Кутиша) is a rural locality (a selo) in Levashinsky District, Republic of Dagestan, Russia. The population was 1,922 as of 2010. There are 22 streets.

View More On Wikipedia.org
  1. figganigga

    JamiiForums Tanzania Hivi Mbeya ni Tanzania? Nimekuta Vumbi la kutisha kama Jehanamu. Narudi Iringa

    Eti ndo jiji lilitoa Spika wa Tanzania 🤣🤣🤣 Siwezi kulala Mbeya... Usiku huu Nageuza Iringa.. Ntalala mbele kwa mbele japo hata Makambako.. CCM mumelaaniwa.. Kwanini huyu Mzanzibari Samia anawadhalilisha Mbeya? Wamemkosea nini? Halafu vumbi la Mbeya likaa kwenye Kope na mabegani.. Mbeya...
  2. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Inasemekana huyu mwamba ni tapeli wa kutisha, kuna yeyote anamfahamu?

    Wana jf habari zenu? Huyu mwamba hapo pichani inadaiwa ni tapeli wa kutisha picha zake zimezagaa sana mitandaoni. Inasemekana mwamba hukodi magari na kufoji kadi kisha kuyauza kwa bei chee kisha kumuachia msala mnunuaji, hizi shutuma nimezioma hata kwa watu maarufu wakidai kutapeliwa na huyu...
  3. Am the One

    JamiiForums Tanzania TUSIPOJITUMA TUTATUMWA: Ukweli Mchungu Kuhusu Mustakabali wa Afrika

    TUSIPOJITUMA TUTATUMWA: Ukweli Mchungu Kuhusu Mustakabali wa Afrika. Kuna jambo la kutisha linaloendelea sasa hivi: Vijana wa Kitanzania na Waafrika kwa ujumla wanalegezwa taratibu na mambo yasiyo na tija. Kamari, uraibu wa michezo bila uzalishaji, na anasa za muda mfupi zimekuwa kipaumbele...
  4. VERIFY

    JamiiForums Tanzania Kisa cha kikatili na kutisha

    Miaka kadhaa iliyopita taklibani miaka mitatu , katika moja ya maeneo ya kanda za kusini, kulikuwa na familia iliyotazamwa na wengi kama familia ya mfano mume na mke waliishi pamoja na watoto wao wawili katika nyumba nzuri iliyozungukwa na uzio mkubwa walikuwa na biashara iliyokuwa ikienda...
  5. loose Nut

    JamiiForums Tanzania Nimefarijika Kumbe Elon Musk hana utajiri wa kutisha kama tunavyodhani

    Nilikuwa(ga) naumia, kumchukia na kumuonea wivu bure Elon Musk eti tajiri namba moja duniani. Kumbe hela ambayo anayo mkononi cash ni ya kawaida tu hata haipiti billion 2 USD. Kumbe utajiri wake unathaminishwa na stocks. The vast majority of his fortune is illiquid, tied up in stock and...
  6. Mshana Jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchumba hasomeshwi? Simulizi ya kutisha na kuumiza

    Patrick Oita Nyapara, ambaye ni police nchini Kenya alimuua mpenzi wake kwa kumtandika Risasi 47 baada ya binti huyo kumkataa, pindi alipomaliza masomo Chuo Kikuu. Kwa maelezo ya Patrick ni kwamba alimchukua mdada huyo aliyejulikana kwa jina la Christine Maonga kutoka katika familia duni...
  7. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Ipi ni njia nzuri kwako kujilinda kati ya deterrence (ulinzi wa kutisha) na concealment/ low-profile defense (ulinzi wa siri)

    Je, unaonesha nguvu kama kinga yaani unafanya deterrence/intimidation strategy ili watu wasikusogelee, ama unafanya concealment/low profile defense ili adui akija kichwa kichwa umfanyie kitu kibaya? Wanajeshi wa JWTZ hupendelea intimidation strategy. Wamepasua sana tofauli kwa nyundo kwenye...
  8. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Zanzibar Hustler ni Kitabu Cha Kutisha

    ZANZIBAR HUSTLER NI KITABU CHA KUTISHA Kiasi cha miaka miwili iliyopita nilikuwa nakisoma kitabu cha Khamis Abdalla Ameir, "Maisha Yangu." Sikufika mbali mwanzo tu wa kitabu nikaamua kuanza kuwaeleza wasomaji wangu wanaonisoma kuwa kitabu cha Khamis Abdalla Ameir ni kitabu cha kutisha sana...
  9. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania The black death:Kifo Cheusi: Safari ya Kutisha ya Tauni (1347–1351)

    ●Kutoka katika kalamu ya Chriss Gabriel Mwaluko huu ni uchambuzi wa kina wa The Black Death. Hii si hadithi tu ya ugonjwa, bali ni ushahidi wa kipindi ambacho dunia iligubikwa na giza, hofu, na mabadiliko makubwa yaliyozaliwa ndani ya maumivu Kifo Cheusi: Safari ya Kutisha ya Tauni (1347–1351)...
  10. Mvinyo mpya

    JamiiForums Tanzania Niliyoyashuhudia mkesha wa mwaka mpya Arusha: Ufuska wa kutisha, anasa, ulevi, matusi, na hekaheka zingine

    Tarehe 1 Jan 2026 (yaani Leo) nimesafiri kuja DSM, ninapoishi, kwa gari la KLM. Kabla ya hii safari nilichukua lodge uchwara karibu na ofisi za Kilimanjaro hotel (bei elf 20). Wakati naenda kuchukua lodge ilikua majira ya saa kumi na mbili jioni. Nikapumzika mpaka saa tano, ilivyofika saa tano...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Uropokaji Ni Sifa Negative Kwa Kiongozi. Sasa Tuna Mropokaji wa Kutisha

    Haijawahi kutokea nchi kuwa na kiongozi mropokaji kama huyu wa sasa. Huyu mtu ni mropokaji na mwongo wa kutisha. Anawadanganya wajinga eti Tanzania inaongoza kwa uwingi wa uranium. Haelewi hata tofauti ya proved, indicated na proble reserves. Anasema eti Tanzania ina reserve ya tani laki 8! Huo...
  12. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Watu mbalimbali duniani wanasema hawaamini kama Tanzania ingefikia hatua hii ya kutisha na mauwaji yanayoendelea hovyo

    Watu mbalimbali duniani wanasema hawaamini kama Tanzania ingefikia hatua hii ya kutisha na mauwaji yanayoendelea hovyo. Wanahoji je nchi haina jeshi, inamaana jeshi lililo uwa watanzania ni hili hili la Tanzania, kwenye baadhi ya mijadala watu wanasema jeshi lilikuwa lockdown, na kulikuwa na...
  13. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Redcross kuvujisha video za kutisha mpaka tarehe 25

    Nye mwalia mbona bado. Nyie kuna video za kikatili nye. Bado za kuzika maiti na kuchoma zaja. Kaeni kwa kutulia. Wao waua walidhani waficha siye tutafichua. Kuna kubwa lake. Hiyo ni rasharasha. Nye Nye Nye watu wabaya nye. Wachoma maiti nye nye kama ndafu nye. Na bado. Nyumbu mwaka wenyu huu...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hizi videos zinatolewa kimkakati sana, kuna videos za kutisha zaidi zimeminywa hazitoki mpaka December

    Nilichogundua kuna videos nyingi sana, lakini zinatolewa kwa mkakati maalum. Kila wiki, video itatolewa kulingana na ukubwa wa athari inazoweza kuleta kwa hisia za watazamaji, kufikia December zitaanza kupandishwa videos zisizotazamika mara mbili.
  15. Busu la Kenge

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Video nyingi za kutisha zitazidi kuwekwa wazi

    Huko Tunduma kuna miili zaidi ya mia 3 ililundikwa kwenye godown tarehe 30 October na baadaye kwenda kuzikwa kwenye makaburi ya halaiki. Waliotumiwa kusaidia kuzika nao waliuwawa kabla ya kufukiwa kuficha ushahidi. Watu walichukua video na picha. Nimetonywa na vijana wangu wataziachia ila...
  16. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Kwa mauwaji ya kutisha yaliyofanyika hata Kikwete na CCM wanamshangaa huyu mama haijawai tokea

    Kikwete alishawai kuwa raisi sizani kama anahusika na mauwaji haya bali at as kuwa katika mshangao mkubwa vile nchi inavyoenda. Wasanii nao walikuwa ni mama mama na wanashangaa yanayoendelea huyu mama ni laana mlifanya makosa makubwa sana kumuunga mkono. Kwa mauwaji ya kutisha yaliyofanyika...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi aeleza hali ya mauaji ya kutisha yaliyotokea nchini

    Huyu dada kaeleza kwa kirefu na kwa kina sana maiaji ya kutisha ya wananchi kutokama na maandamano ya kupinga uchaguzi usio huru, usio wa haki na dhulma nyingine zinazofanyika nchini hasa utekaji watu. Msikilize hapa. https://m.youtube.com/watch?v=MP6X79ezJJA&pp=QAFIAQ%3D%3D
  18. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Mussa, Daudi, Yesu na Wayahudi wengine wengi wa kwenye Biblia walikuwa Waislamu!

    Ad-Darr” (ٱلضَّارّ) ni moja ya majina 99 ya Allah (Asmaul Husna). 🔹 Maana yake: “Yule Mwenye Kudhuru” au “Mleta Madhara.”
  19. Yoda

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nyuzi mfululizo za kubeza, kutisha na kukatisha watu tamaa dhidi ya kutoka badala ya kutiki Oct 29 zinachefua na kukera sana

    Wiki ya pili sasa kuelekea October 29 kumeibuka mfululizo wa nyuzi nying za ajabu ajabu za watu wanaojiona ni wazee wa busara wakibeza, kutisha na kukatisha tamaa raia wanaopanga au kuhamasisha kutoka na kupaza sauti kwa maandamano dhidi ya mfumo dhalimu na kandamizi wa haki. Utitiri wa hizi...
  20. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Ni Usiku wa manane nchi ikiwa kwenye majozi na giza nene kuhusiana na matukio ya kutisha

    Ni Usiku wa manane nchi ikiwa kwenye majozi na giza nene kuhusiana na matukio ya kutisha.
Back
Top Bottom