Mungu wetu ni mwema sana!
tunakuomba Rehema na utukufu wako,utulinde na Kila baya, na Kila adui,na Kila maradhi , na Kila madhila ya Dunia hii!
Tunakuomba ututendee miujiza kwenye Nchi yetu,tutakalo na tuombalo litimie kwa uwezo wako,
Tuponyeshee wagonjwa wetu twakuomba! Tuondolee pepo la...