uhuru wa mahakama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Miss Zomboko

    Uhuru wa Mahakama unadhihirika pale kila Jaji anapoweza kujitegemea katika kufanya Maamuzi ya kesi kwa Haki, bila upendeleo wala kushawishiwa

    Tafiti mbalimbali za Kimataifa zinaonesha Mahakama ni moja ya Taasisi zinazoongoza kwa vitendo vya Rushwa katika nchi za Afrika na Amerika ya Kusini. Ingawa dhana hii inaweza kubadilika, haipaswi kupuuzwa kwani Rushwa Mahakamani hupelekea kukosekana kwa Haki na hivyo kuharibu Imani ya Umma...
  2. chiembe

    Kwanini Chadema/BAWACHA wanaingilia Uhuru wa mahakama suala la akina Mdee? Hawa ndio wanaimba utawala wa sheria?

    Chadema ni wazi kwamba wanajinasibu kwamba wanapenda saaana katiba na utawala wa sheria, na wamekaza shingo na meno wakitaka katiba mpya. Kwa nini wanataka kuingilia Uhuru wa mahakama inayosikiliza kesi ya akina Mdee na kushinikiza wao ndio wawe washindi? Yaani ili haki iwe haki basi inabidi...
  3. TheForgotten Genious

    SoC03 Rais kuteua Majaji kunaathiri Uhuru wa Mahakama

    UTANGULIZI Kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ibara ya 109, majaji wote wanateuliwa na Rais ambaye ni kiongozi mkuu wa Serikali na kiongozi mkuu wa chama dola, serikali na Mahakama ni miongoni mwa mihimili mitatu ya serikali bila kulisaghau Bunge, mihimili hii kila mmoja...
  4. Sildenafil Citrate

    Gavana wa zamani wa Kaunti ya Laikipia hatiani kwa kukiuka amri ya Mahakama

    Ndiritu Muriithi, Gavana wa zamani wa Kaunti ya Laikipia anaweza kupata adhabu ya kifungo cha hadi miezi 6 jela pamoja na wenzake 13 waliokuwa wafanyakazi wa Tume ya Utumishi wa kaunti hiyo kwa kukiuka amri ya mahakama iliyowataka kuwarejesha kazini madaktari 33 waliokuwa wameondolewa miezi 40...
  5. C

    Kuwe na Uhuru wa Mahakama katika masuala ya Kidemokrasia

    Kama wote tutakuwa sawa chini ya sheria na hakuna hata mmoja atakayekuwa juu ya sheria hiyo ndiyo itakapokuwa nchi yenye misingi ya kisheria. Sheria inatakiwa imuhusishe kila mtu ndani yake ukiingiza na serikali ndani yake kwani serikali pia imebeba watu inaowatumikia katika kufanya kazi katika...
  6. Erythrocyte

    Viongozi wa dini waliokutana Rais Samia Wamemshauri kuifuta kesi ya Mbowe

    Hivi ndivyo Mwananchi walivyoeleza kwenye tovuti yao jioni hii . Hoja hiyo iliwasilishwa mbele ya Rais na Shehe Mkuu (BAKWATA) Mufti Aboubakar Zuberi ======= VIONGOZI WA DINI: BUSARA ITUMIKE KUMALIZA KESI YA MBOWE Viongozi hao wameomba Mamlaka husika kutumia busara na kuangalia namna ya...
  7. dubu

    Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro adaiwa kuingilia Uhuru wa Mahakama, aamrisha watu kuwekwa Korokoroni hata siku tano bila kusikilizwa

    Salaam Wakuu, Nimeshangaa na sikuamini Kusikikia Stephen Kagaigai kabadilika kawa mbabe kiasi kwamba sasa hivi anawekwa kundi moja na Wakina Sabaya, Mnyeti. Huyu Mzee kabla ya kuwa Mkuu wa Mkoa, alikuwa Katibu wa Bunge akifanya kazi na Ndugai. Au ni Msongo wa Mawazo baada ya Kutolewa Kwenye...
  8. B

    Athari za kiuchumi zitokanazo na nchi kuwa na mfumo mbovu wa utoaji haki ikiwemo ukosefu wa Uhuru wa Mahakama

    Nitaandika kidogo lakini kwa mwandiko uliokolea , nitaandika Kwa ajili ya watu wenye akili zakupambanua mambo na siyo kwa wanaosubiri siku zipite wazeeke. Naandika kwa watu wenye macho ya ujasusi wa kidiplomasia na siyo wenye ujasusi wa jinai unaoongozwa na nguvu nyingi akili kisoda. Twende KAZI...
  9. Analogia Malenga

    Tundu Lissu: Kufuta kesi ya Mbowe sio kuingilia Uhuru wa Mahakama

    Makamu Mwenyekiti wa chama cha CHADEMA nchini Tanzania Tundu Lissu anayeishi uhamishoni Ubelgiji ameeleza azma yake ya kurudi nchini Tanzania wakati wowote. Lissu alisema hayo katika mahojiano maalum na VOA baada ya kukutana na rais wa Tanzania Samia suluhu mjini Brussels Jumanne. Akizungumzia...
  10. Kamanda Asiyechoka

    CHADEMA hii ndio dhana nzima ya uhuru wa mahakama. Tumeshuhudia Mahita akipigwa maswali, tusipanic

    Mahakama ndio chombo huru ambacho kinatoa haki hapa nchini kwetu. Tuondoe ile dhana potofu kuwa kuna mkono wa Ccm kwenye kesi ya Mbowe. Tunaona mashahidi wakipigwa maswali mpaka wanaomba po. Kwa namna wanavyotepeta basi tuamini kuwa msingi wa uhuru wa mahakama upo kwa kasi ya 4g hapa Tanzania.
  11. Mwanahabari wa Taifa

    Shaka Hamdu Shaka aisifu mahakama ya Tanzania kesi ya Freeman Mbowe

    Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi CCM-Taifa Mhe Shaka Hamdu Shaka aisifu Mahakama kesi ya Freeman Mbowe, asisitiza Serikali ya Rais Samia ni ya kidemokrasia na inajali Uhuru wa Mahakama "Hakuna kama Samia" "Nimeona vibwagizo vya wenzetu huko mitandaoni kuwa wameruhusiwa kuingia mahakamani na...
  12. mshale21

    Tundu Lissu: Mahakama ya gizani sio Mahakama huru au ya haki, Haki haiwezi kufanyika gizani na ikaonekana imefanyika

    Mh. Tundu Lissu, baada ya kupewa taarifa juu ya ukandamizwaji wa haki za wasikilizaji na wafuatiliaji wa case ameandika; "Nimetaarifiwa kwamba Polisi na/au Mahakama wanazuia watu kuingia na simu mahakamani ili kudhibiti utoaji wa taarifa za yanayoendelea kwenye kesi ya uongo dhidi ya Mwenyekiti...
  13. OKW BOBAN SUNZU

    Kesi ya Mbowe na Wenzake: Polisi Wazuia watu kuingia kufuatilia, Mawakili wa Utetezi watoka nje. Kesi yarejea na kuahirishwa mpaka 17 Sept

    Freeman Mbowe na wenzake wameletwa tayari. Lakini ulinzi mkali umeimarishwa. Askari wengi. Pia kuna zuio la watu kuingia ndani ya mahakama. Wanasema ni mawakili 20 tu, wanahabari 10 (leo wameruhusiwa), ndugu 5, Viongozi 5, lakini simu marufuku. Askari magereza wanalalamika kwamba jana tumefanya...
  14. H

    Uteuzi wa Jaji kuwa Mwanasheria Mkuu na Uhuru wa Mahakama

    Katiba ya JMT ibara ya 109 (2) inampa Rais mamlaka ya kuteua Jaji Kiongozi na Majaji wengine wa Mahakama kuu, Muhimili huu wa utoaji haki unatakiwa kuwa huru katika kutekeleza shughuli zake hiyo ibara ya 107B imetamka bayana kuwa mahakama zote zitakuwa huru pasipo kuingiliwa na muhimili wowote...
  15. J

    Shaka: Mnyika kuingilia Uhuru wa Mahakama inaonesha alivyo na papara na jabza

    Tunaitaka Chadema kubadilika na kuanza kufanya siasa za hoja, zenye kutoa kipaumbele maendeleo ya wananchi na Taifa badala ya siasa hizi za kuhimiza ghasia, vurugu na kueneza uongo na chuki nchini. Kadhalika Mnyika aache upotoshaji na kumlisha maneno Rais Samia ambayo hakuyasema au kuingilia...
  16. B

    Rais Samia umedanganywa Mbowe alitoroka nchi ukakubali au umeamua kuruhusu utetezi wako kukosolewa?

    Mhe. Rais ameiambia Dunia kwamba Freman Mbowe amekamatwa na Jeshi la Polisi baada ya kutoroka nchi mwaka 2020. Nakosa maneno mazuri yakukosoa kauli hii ila naomba nitumie busara kusema si maneno sahihi ya utetezi yaliyopaswa kutolewa na Mhe. Rais. Ni kauli inayodhihirisha wazi kwamba Mbowe...
  17. n00b

    Rais Samia: Mashtaka dhidi ya Mbowe sidhani kama yamechochewa kisiasa. Natamani kukutana na Wapinzani

    Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema hawezi kuzungumzia kesi ya kiongozi wa chama kikuu cha upinzani- Chadema- Freeman Mbowe ambaye anakabiliwa na mashtaka ya ugaidi. Katika mahojiano maalum na mwandishi wa BBC Salim Kikeke, Rais Samia amesema ana imani sheria itachukua mkondo wake...
Back
Top Bottom