Huyu bwana ni mauti yanayotembea
Kuwapo kwake kwa muda mrefu ni kutokana na kutengeneza network ya kuua upinzani.
Amehusika na muaji ya watu wengi huko syria na kurd
Sasa anataka akawaue na wa israel
Habari za majukumu wana-JF (JamiiForums),
Heshima kwenu wakuu wote wa jukwaa hili adimu na huru la kutoa maoni. Natumai mko salama na mnaendelea kujenga taifa. Leo nimeona nije hapa jukwaani tushirikishane mawazo na kufanya uchambuzi wa kina kuhusu mwelekeo wa sasa wa utoaji haki na usawa wa...
Picha lina anza mhadhiri wa UDOM anakamatwa na vyombo vya dola kisha kushtakiwa kwa kosa la ugaidi. Je huyo mhadhiri ametenda kosa la ugaidi? Mimi sio mwanasheria ila najua kuwa this case is Res Sub Judice, and therefore very little to comment about that. Hukumu ya Mahakama ndio itakayo tupa...
Balozi wa Marekani nchini Israel, Mike Huckabee, amewalaani walowezi wanaowashikilia familia tatu katika kijiji cha Qusra kinachokaliwa kwa mabavu, karibu na Nablus, kama "magaidi wa Israeli".
Kuzingirwa huku kunakuja huku jeshi la Israel likifanya uvamizi huko Jenin, na kuzuia upatikanaji wa...
Waziri Mkuu na Jaji mstaafu, Joseph Sinde Warioba, ameelezea kushangazwa na kuumizwa na wimbi jipya la ukamataji wa raia, wakiwemo wasomi, ambao wengine hufunguliwa mashtaka ya ugaidi mara tu wanapopata dhamana katika makosa ya awali.
Akizungumza katika mahojiano maalumu na tovuti ya The...
Serikali imeona njia pekee ya kupambana na upinzani ni kuwapa lesi za ugaidi na uhaini nadhani wana hamu sana na ugaidi wenyewe na inaonekana wanautamani sana
Kwa kile kinacho onekana kuendelea kukomoa raia yeyote anae enda kinyuma na usawa na haki , Mhimili wa Dola , Mahakama na Polisi wameamua kufungulia kesi za Ugaidi wote watakaoisema serikali ya Samia vibaya. Huku Jeshi la Polisi likiwa kinara kupin point anaefuata wa kupewa kesi ya Ugaidi jambo...
Katibu Mkuu wa UDASA, Dk. Dominicus Makukula, amesema wakati alipomtembelea Dk. Melikisedeki Kaijage, Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) anayekabiliwa na kesi ya ugaidi, alitoa ujumbe mmoja muhimu.
Kwa mujibu wa Dk. Makukula, Dk. Kaijage alisema: “Mkipata nafasi, msaidieni mke wangu.”...
"Mimi pia maneno yale, nilikuwa wakili wa kwanza kufanya kesi ya ugaidi mahakamani kuwatetea watu, mashehe wa Arusha, waliokaa gerezani kwa miaka tisa. Halafu baadaye mahakama ikathibitisha haukuwa ugaidi. Kwa hiyo haya ni makosa ambayo yanatumiwa kuwaumiza watu, na sijui kwa faida ya nani kwa...
..kuliita genge hili " wasiojulikana, " badala ya magaidi, sio kumung'unya maneno ndugu zangu?
..matendo yao ya kuteka, kutesa, kujeruhi, na kuuwa, yana tofauti gani na matendo ya magaidi wa Mkiru?
..kama wanaharakati wananasibishwa na magaidi, kuna uhalali gani kutowanasibisha wasiojulikana...
Sheikh Lema ahukumiwa kunyongwa☝️
Ajumuishwa na Mashekh wengine watano
Ameandika...Bakari Mwakangwale
SHEIKH Jafari Lema ambaye alikuwa Imam wa Masjid Quba Jijini Arusha, na wenzake watano, wamehukumiwa kunyongwa hadi kufa na Mahakama ya Rufaa Arusha.
Mahakama imetoa hukumu hiyo Jumatatu ya...
Ndugu zangu Watanzania, kutokana na magaidi kadhaa ya CHADEMA kuendelea kukamatwa, nivema tuwajulishe CAF kuwa Tanzania si nchi salama tena kwa maandalizi ya AFCON.
Magaidi ya CHADEMA yanaweza kulipua timu zitakazokuja na wageni wengine waalikwa.
Tumia Email hii kuwaandikia CAF, attach...
Prof Issa Shivji ameandika makala muhimu sana ambayo kwangu mimi ninaiona kama ni Lecture kwa wanafunzi wa sheria.
Amezungumzia masuala ya msingi sana namna mtu anavyopaswa kukamatwa kushitakiwa na hata kushitakiwa mahakamani.
Makala ina kichwa cha habari terrorising academic in Tanzania. Ni...
Akizungumza katika mahojiano na Crown Media Julai 30, 2029, Wakili Peter Madelekea amedai kuwa nchini kuna aina ya "ugaidi wa kisiasa" ambao unatumika kimkakati ili kutengeneza mazingira ya kulazimisha maridhiano ya kisiasa.
Madelekea ametolea mfano Mwenyekiti wa zamani wa CHADEMA, Freeman...
Kwa kipindi sasa, Serikali imekuwa ikieleza kuwa nchini kuna vitisho vya ugaidi na kwamba vyombo vya ulinzi na usalama vinaendelea kuchukua hatua za kuzuia na kukabiliana navyo. Wakati huohuo, Serikali imeendelea kuwahakikishia Watanzania, wageni na mashirikisho ya soka kuwa Tanzania iko salama...
Walipigwa wakateswa wakaandika uongo kujinusuru. Angali kesi hii ilivyoamuliwa . Ni kesi ya kutupa Bomu kule Arusha kwenye uzinduzi wa parokia ya katoliki mwaka 2013
afcon
afcon 2027
caf
chadema
dalili
evarist chahali
fifa
gani
hii
iko
jasusi
kushindwa
kuu
kwao
maana
msigwa
peter msigwa
political
poor
salama
samia
strategy
ugaidi
ujumbe
wanajua
wenzake
Kwa hili niwape kongole wazee wa geti jeusi wale wazee wa kitengo, huo ushauri mlioupa imekaa vizuri sana, maana Dunia haituelewi hadi muda huu, hata wafanyabiashara wa sekta ya utalii hawaelewi Nini kimetokea.
Embassies na High Commission zote nchini, tayari wameshatuma salamu kwenye nchi zao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.