maswali

 1. GENTAMYCINE

  Natumai wote tumeshamaliza 'Kuushangaa' Utezi wa Mama, sasa kama JF 'Great Thinkers' jibuni Maswali yangu haya....

  1. Je, Heshima ya Cheo cha Ukuu wa Wilaya imepanda au imeshuka? 2. Je, mwenye Umri wa Miaka kuanzia 45 au 50 anastahili kuitwa Kijana? 3. Je, Kuteua Makundi Maalum Kiuweledi ( Professionally ) kuwa Wakuu wa Wilaya ni Political Failure au Political Success? 4. Je, ni kweli kwamba kila Mtu tu (...
 2. M

  Maswali yanayohusu kabila na dini kwenye vyombo vya dola yanaashiria ubaguzi

  Maswali unapoenda polisi una shida labda umepoteza vitambulisho au shida nyingine tu, unaulizwa eti kabila gani, dini gani maswali hayo ameyatilia shaka kuwa yana viashiria vya ubaguzi. Hata Mimi sioni kama yana tija badala yake naona wangehoji eneo analotoka mteja wao ili kuweka takwimu...
 3. RRONDO

  Najiuliza maswali sipati majibu!

  Kila nikimuona huyu mtu najiuliza maswali sipati majibu. Nilianza kumuona siku za mwisho za Hayati akiwa na bango kama hilo likimsifia Hayati. Sasa hivi namuona na bango la Mama.
 4. ROBERT HERIEL

  Kauli za Chalamila zinazua maswali mengi

  CHALAMILA KAULI ZAKE ZINAZUA MASWALI MENGI. Na Robert Heriel. Nani aliyemuambia wananchi wa Mwanza Wanakinyongo na Kifo cha Magufuli? Chalamila hajamaliza hata wiki mbili tangu awe Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, sasa je aliwezaje kuzipata taarifa za Wakazi wa Mwanza kwa muda mfupi tuu kuwa watu...
 5. F

  Mwanamke jiulize haya maswali kabla hujafunga ndoa?

  Mwanaume kwenye ndoa ama mahusiano serious anawajibika kumfanyia mwanamke mambo mengi, mwanamke jiulize kitu gani uta offer in return tofauti na papuchi? Mwanaume anapaswa kufanya mengi yakiyomo haya. 1. Kumlisha mke wake ama mpenzi. 2. Kumtibia mke wake ama kuwajibika kumlipia huduma ya afya...
 6. meningitis

  Maswali muhimu kwa chanjo ya COVID-19

  Yapo maswali muhimu ya kuendelea kujuliza kuhusu chanjo ya kirusi cha corona. Ieleweke kuwa jamii ya virusi vya mafua imekuwepo nchini Tanzania kwa muda mrefu. Hakuna mtanzania ambaye hajawahi kuugua mafua japo mara mbili kila mwaka. Ni ukweli usio shaka kwamba Tanzania na dunia imekuwa...
 7. Z

  Michango ya Wabunge, maswali na majibu ya Mawaziri ubora wake uko chini kabisa

  Sielewi ni kwa sababu gani hali iko hivi, lakini ni wazi kwamba ubora wa walioko mjengoni uko chini. Watu wanashindwa hata kuunda maswali yanayostahili kuulizwa bungeni. Maswali mengi ni ya kuulizia miradi ya shule, urefu wa barabara, visima vya maji, n.k. vya kiwango cha wilaya na majimbo...
 8. kavulata

  Maswali ya Muungano yanayokosa majibu ya kweli kwa vijana

  Maswali ya Muungano ambayo vijana wetu wa sasa wanakosa majibu yanayowatosheleza kutoka kwa wazazi wao ni haya: 1. Kwanini Tanganyika haipo lakini Zanzibar ipo? 2. Kwanini kuna Rais wa Tanzania na Rais wa Zanzibar lakini hakuna Rais wa Tanganyika? 3. Kwanini Zanzibar wana ligi yao na hawamo...
 9. J

  Unaumizwa na matarajio yasipotimia? Jiulize maswali yafuatayo

  Hicho ulichokikosa kitakuwa na maana ndani ya miaka 10 ijayo? Kitu hicho kina umuhimu gani ukilinganisha na vitu vingine kwenye maisha yako? Ni funzo gani umepata kutokana na kuumizwa? Utagundua kuna vitu vingi vya kukupa furaha ukivitumia ipasavyo hivyo maisha ni lazima yaendelee...
 10. Kinoamiguu

  Kipindi cha Dakika 45 ITV: Wakati umefikia sasa kuruhusu maswali kwa wageni waalikwa

  Wanajanvi. Hiki ni kipindi kizuri sana. Ni kipindi cha muda mrefu na maarufu hapo ITV. Wanaalikwa watu wazito wenye maslahi kwa umma! Mwandaaji wa kipindi bi Farhia anajitahidi sana kauliza maswali fikirishi kwa wageni wake. Hata hivyo kipindi kinakosa mvuto. Ni cha upande mmoja. Muulizwa...
 11. beth

  Spika Ndugai: Jimbo la Hai limepata Mbunge, aliyekuwepo kabla alikuwa anazurura, haulizi maswali Bungeni

  Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema Jimbo la Hai limepata Mbunge hivi sasa, akiongeza aliyekuwepo kabla ya hapo alikuwa anazurura kila mahali. Akiwa Bungeni Dodoma leo, Ndugai amesema, "Alikuwa haulizi maswali Bungeni, haeleweki. Lakini sasa Mbunge mnaye kabisa". Kauli yake imekuja...
 12. winnerian

  Siasa za "wafu" na "vipofu" zikikoma tunaweza kujiuliza maswali kama haya

  "Je! Unafikiri China inasubiri kuwekeza katika miundombinu yake ya dijiti au utafiti na maendeleo? Ninawaahidi, hawasubiri," Bwana Biden alisema katika hotuba yake Jumatano. Bwana Biden alisema Uchina na ulimwengu wote "wanakimbia mbele yetu katika uwekezaji walionao siku za usoni". "Do you...
 13. Full charge

  Maoni na maswali yangu kwa TCRA

  Poleni na majukumu ndugu zangu wana jamvi. (a)Kwanini kusiwe na namba ya huduma ya TCRA? [emoji117] Yaani mteja wa mtandao husika anaponunua kifurushi kikaisha kabla ya muda wake apige simu TCRA ili wahoji au kuchunguza uhalali wa matumizi. Hapa ikibainika mtandao umefanya wizi umrudishie mteja...
 14. Y

  Waliowahi kuitwa written interview Utumishi, ni maswali gani huulizwa?

  Samahani wakuu, naomba waliowahi kufanya Interview ya Accountant Assistant utumishi wanipe dondoo Kuhusu maswali Yao
 15. Krav Maga

  TCRA na Waziri Ndugulile, wanyonge mliotuumiza jana tunahitaji tu kupata majibu ya haya maswali yetu

  1. Baada ya Kuamuru jana kuwa Vifurushi vya zamani virejeshwe na viendelee je, ni Saa ngapi hilo litafanyika kwani mpaka sasa bado havijabadilika? 2. Je, wale ambao Jana walinunua Vifurushi vyenu vya Ukatili na Kutukomoa mtawasaidiaje na kuwafidia kutokana na Upuuzi wenu? 3. Ni saa ngapi...
 16. K

  Maswali magumu: Utetezi wa Jakaya Kikwete dhidi ya tuhuma za chuki binafsi dhidi ya Hayati Magufuli msibani

  JK leo tumekusikia ukijitetea kuwa watu wameanza kuzusha mitandaoni eti wewe ulikuwa unamchukia JPM na pengine ukawa mmoja wa maadui zake wakati wa utawala wake. Majibu yako yalikuwa mepesi mno kama kawaida yako "Mswahili" nanukuu "Eti kama kweli ningekuwa namchukia JPM nisingeweza kupitisha...
 17. Mzee Mwanakijiji

  Hoja dhidi ya Hoja: Maswali Sahihi Huleta Majibu Sahihi: Tatizo la Kudhania Kutoonekana kwa Magufuli

  MASWALI YASIYO SAHIHI HULETA MAJIBU YASIYOSAHIHI: TATIZO LA KUDHANIA Na. M. M. Mwanakijiji Katika hoja yangu ya wiki iliyopita nilijikuta nami nimechokosa udhanifu (assumptions) katika kujenga hoja hiyo na hivyo kuingia kwenye mtego wa maswali yasiyo sahihi. Mtu anapouliza kitu anafanya hivyo...
 18. Krav Maga

  Ina maana maswali haya kuntu ya Mchambuzi ' Neutral ' Shaffih Dauda hatujayasikia au katupiga Ngumi ya Uso?

  1. Injinia Hersi alikuwa wapi tokea zamani kuja Kuipigania Yanga SC? 2. Injinia Hersi ni nani ndani ya Management ya Yanga SC hadi amekuwa ndiyo kila Kitu? 3. Injinia Hersi ni nani hadi kujua Uwezo wa Kocha Msaidizi na Mchezaji Mwandamizi Nizar Khalfan kiasi cha Kuchochea nae afukuzwe tena...
 19. Wizara Katiba Na Sheria

  Wizara ya Katiba na Sheria Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

  Ndugu wana JamiiForums, Tunashukuru kwa maoni yenu na mijadala inayoendelea hapa kila siku kuhusu masuala ya Katiba na Sheria za nchi yetu. Aidha kuhusu haki za binadamu, rushwa, utawala wa sheria na mengineyo. Kupitia thread hii maalum; tutapokea maoni, ushauri na hata malalamiko yenu...
 20. R

  Maswali kuhusu matumizi ya stendi mpya ya mabasi Mbezi (so-called Magufuli)

  Kuna tangazo linasema safari zote zote, zitaanzia stend mpya MAGUFULI. Tangazo linazidi kusema Mabasi makubwa wakodishe mini bus kuwasafirisha abiria kuwaleta stend mpya au wawaelekeze abiria kuja Mbezi. Sasa swali: 1. Anayekwenda Mtwara na yuko Mbagala, naye aje Mbezi? maana tangazo linasema...
Top Bottom