Leo ngoja niwape madini ya kwa nini familia nyingi zinabaki masikini, tunajikwamua lakini bado tunarudi pale pale, unakuta Baba kapambana kapata vimali, lakini badae miaka mbeleni unakuta bado familia ina struggle pale pale kwenye umasikini.
Dhana kubwa hipo katika hoja ya "Ukajitegeme" au "...
NDUGU WATANZANIA HASA WANAUME NAOMBA TUBADILIKE.
HATA KAMA TUMEUMBIWA MATESO.KUNA VITU KAMA HESHIMA NA UTI USIPOKUWEPO AU KUUPATA KUTOKA KWA MWANAMKE HALI YA HEWA HUMO NDANI ITAKUWA YA MVUA ZA EL NINO.KUEPUSHA SHARI KAMILI PIGA CHINI MAPEMA.USIPUUZIE RED FLAGS🚩🚩🚩
HUNA UWEZO WALA KIPAWA CHA...
Tembelea anga zote za Tanganyika Chadema inakubalika kama chama ambacho kinaenda kuiondoa CCM ya mafisadi chini ya Samia na Kikwete ambao hawakuchaguliwa na wananchi.
Chadema chini ya Lissu na Heche kama viongozi ni mali ya Watanganyika wasiotaka utawawala wa vibaraka wa kiarabu.
Katika jamii za wamatumbi tuishiyo, kuna hii dhana kuwa mtu akiwa mdogo kiumri basi hata executive function yake na akili zake haiwezi kufanya makubwa.
Ila hii ni dhana mbaya sana, ambayo wamatumbi wengi wamekuwa nayo, hasa makazini. Ukienda kufanya kazi na ukawa mtu wa kutoa output ya kazi...
Hapo awali kulikuwepo na dhana potofu na kasumba kwamba Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini (Mbeya,Iringa,Njombe,Songwe,Ruvuma na Rukwa) kwamba ndio wazalishaji wakuu wa mahindi nao wakajisahau wakidhani wanategemewa saaana na Nchi kwamba Mikoa mingine ni walaji tuu.
Sasa hivi hii kasumba...
Kuna hii kitu inaitwa open relationship, yaani unakua na mtu wako ( tuseme mke au girlfriend) lakini anaruhusiwa kudinywa na mtu mwingine, vivyo hivyo wewe mwanaume unaweza kudinya demu mwingine!
Is it not good idea. Tuseme mkeo hapati mimba kwanini tuonane wivu? At the end of the day hakuna...
Tanzania tumeanza utamaduni mbaya sana siku hizi. Yeyote anayelisema zuri lolote la serikali anaitwa chawa, kibaraka na maneno mengine mengi ya hovyo hovyo.
Siku hizi ukweli hautokani tena na hali halisi, bali ni chochote kile kinachoonekana kimesemwa na mwenzetu. Jambo hili ni hatari sana...
Ukienda dubai utakutana matajiri wahindi wa kutosha (na bado wanaabudi miungu yao), utakutana na models wa kila aina ambao wanafanyika kama escorts wa wana wafalme wa qatar na UAE, sasa hivi wazungu wako lukuki huko saudia wanafanya projects za maendeleo
Utakutana na wayahudi wamefanya...
Natumai sote tumeshapitia zile ndoto zinazohusisha mapambano kama kupigana, kufukuzwa na mnyama, kujamiiana, kubishana nk.
Sasa kunakipindi mimi nilikuwa nashindwa kirahisi nikiwa napambana nikiwa ndotoni. Jambo hili huwa linaniumiza sana maana huwa sipendi kushinda, haijalishi ni wapi...
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda, amesisitiza kuwa dhana ya haki na amani haziwezi kutenganishwa katika ujenzi wa taifa imara, akizitaja kuwa ni pande mbili za sarafu moja.
Akizungumza jana, Machi 4, 2026, katika Maadhimisho ya Siku ya Maridhiano (Maridhiano Day) nchini Tanzania, Mtanda...
Dhana ya Uongo imekuwa ni maisha yetu ya kila siku japo si jambo linalojadiliwa kwa upana sana ila athari zake zipo kila sekunde!.
Katika jamii nyingi uongo si jambo linalopendwa na vyombo vya sheria humtia hatiani mtu yoyote atakaebainika kusema uongo!, Hata hivyo ukiuzungumzia uongo basi upo...
Ilianza kama utani mitandaoni lakini ni wazi ni kitu kinachojijenga katika uhalisia wake
TFF (Tanganyika Freedom Fighters) Wapigania Uhuru Tanganyika (WAUTA)
Mwansilishi halisi hajulikani mpaka sasa lakini ni wazi ni kundi lenye vinasaba vyote na Gen-Z hasa baada ya yote yaliyotokea 0ctober 29...
Nchi nyingi za Afrika zimejifunga kwenye dhana potofu kwamba ili mtu awe jasusi lazima awe na tabia njema, rekodi safi ya kisheria, asiwe na “makovu” ya maisha, na aonekane kama askari au mtumishi wa serikali wa mfano. Dhana hii si tu ya kizamani ni hatari kwa usalama wa taifa.
Ujasusi si...
Hamjambo!
1. Ingawaje ni Siku iliyobeba kumbukumbu zenye huzuni, maumivu na damu za watu. Lakini pia ilikuwa Siku muhimu kwa taifa letu.
2. Siku ambayo ilikuwa ikisubiriwa kwa miaka na miaka tangu mababu zetu. Walikuwa wakiisubiri Siku Ile ambayo ingefuta aibu, manyanyaso, kejeli na uteja...
Nchi iko gizani. Imevimba bado kupasuka. Washauri wake mshaurini as underate hí hali tuliyo nayo. Aifanyie kazi, aachane na mazoea ya business as usual.
Huko mbele kuna giza nene kwa kila Moja wetu!
Kwani Watanzania hawana akili za kujitegemea mpaka wawe wanafanya mambo kwa kutumwa ana kuchochewa na wengine?
Wao CCM huwa wanafanya mambo yao kwa kutumwa ama kuchochewa na nani?
Tangu tupate uhuru, Tanzania imeongozwa na viongozi sita toka dini kuu mbili za kikoloni yaani Ukristo na Uislam. Watatu walikuwa Wakristo yaani JK Nyerere, Ben Mkapa na JP Magufuli ilhali waislamu ni Ally Hassan Mwinyi, Jakaya Kikwete, na sasa Samia Suluhu Hassan.
Sikumbuki kuhisi udini katika...
Neno raisi mtarajiwa ni neno ambalo mara nyingi humaanisha mtu ambae kwa walo wengi wategemea yeye ndie awe raisi hivi karibuni, hata kama bado hajaapishwa au kuchukua majukumu ya kiofisi. Hiki si cheo rasmi lakini kisiasa au kiuandishi wa habari neno hili lina maana sana.
Baada ya uchaguzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.