CHADEMA hii ndio dhana nzima ya uhuru wa mahakama. Tumeshuhudia Mahita akipigwa maswali, tusipanic

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Sep 13, 2020
3,166
4,581
Mahakama ndio chombo huru ambacho kinatoa haki hapa nchini kwetu.

Tuondoe ile dhana potofu kuwa kuna mkono wa Ccm kwenye kesi ya Mbowe.

Tunaona mashahidi wakipigwa maswali mpaka wanaomba po.

Kwa namna wanavyotepeta basi tuamini kuwa msingi wa uhuru wa mahakama upo kwa kasi ya 4g hapa Tanzania.
 
Mahita jembe naona mechi bila bila pale
 
Mahakama ndio chombo huru ambacho kinatoa haki hapa nchini kwetu.

Tuondoe ile dhana potofu kuwa kuna mkono wa Ccm kwenye kesi ya Mbowe.

Tunaona mashahidi wakipigwa maswali mpaka wanaomba po.

Kwa namna wanavyotepeta basi tuamini kuwa msingi wa uhuru wa mahakama upo kwa kasi ya 4g hapa Tanzania.
Una ugonjwa wa akili unaojulikana Kama personality disorder! Muone therapist kabla haujakomaa na kuwa sugu! Haiwezekani uukombie upande unayoiabudu na kuusujudu yaani kule Kwa mbogamboga kisa mmeanza kuona movie yenu mliyocheza inafanya vibaya sokoni! Kazeni shingo TU Kama mlivyozoea mwishoni zitavunjika!
 
Yaani wewe jamaa bana

Hakunaga anaekuchukulia serious hata maana ni mzandiki sana

Wewe ni mwana CCM cha ajabu unaogopa kujisema hivyo unajificha nyuma ya logo ya Chadema kuiongelea vibaya

Mkono upo wa CCM sema tu mahakama inaonea aibu ya macho ya dunia yanawaaangalia

CCM ni kaka yake na shetani,thats a fact
Zaidi yafaa kujua Mungu hana upendeleo.
 
Nchi ya ajabu sana hii.
Kama kafanya ugaidi kweli si mumpe miaka tu,hajafanya muachieni.
Kesi nenda rudi zimezidi upumbavu mtupu na hela lazima zinapigwa tu hapo.
Hamna kesi
 
Mahakama ndio chombo huru ambacho kinatoa haki hapa nchini kwetu.

Tuondoe ile dhana potofu kuwa kuna mkono wa Ccm kwenye kesi ya Mbowe.

Tunaona mashahidi wakipigwa maswali mpaka wanaomba po.

Kwa namna wanavyotepeta basi tuamini kuwa msingi wa uhuru wa mahakama upo kwa kasi ya 4g hapa Tanzania.
Sasa kama hakuna kuna nn,,
 
Mkuu Unataka kusema hapo ndiyo mwisho wa uwezo wako wa kufikili??
 
Back
Top Bottom