Kuna wanawake Tanzania hasa mishangazi huwa wananepeana vibaya sana. Unakuta mkono wa mmama ni mkubwa kama paja la ng'ombe,mashavu kama anapuliza moto, tumbo kubwa kiuno kimeunganika mgongo na makalio huwezi kuona tofauti yoyote, shingo ina pingili kama matairi mengi ya baiskeli yamepangwa...
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Handeni, Maryam Ukwaju, anatumia vibaya madaraka yeke kujiamlia mambo
Hali ilivyo katika Halmashauri ya Mji Handeni, ikiwa itaendelea bila mamlaka za juu kuchukua hatua stahiki, inaweza kusababisha matokeo hasi yatakayoathiri utendaji na utoaji wa huduma ndani...
Ndugu zangu Watanzania,
Napenda kuwaambieni na Kuwakumbusheni Ya Kuwa Mwamba Mwenyewe Field Marshall Paul Makonda Hajawahi kushindwa vita yoyote ile katika vita zote alizowahi kupigana . Mwamba hajawahi kupoteza wala kuweka silaha chini katika Uwanja wa Vita .
Mwamba hajawahi kurudi nyuma ...
Usiku wa kuamkia leo, Ukraine imefanikiwa kufanya shambulizi kubwa la drones na kufanikiwa kupiga mitambo ya nishati ya mafuta katika jiji la Moscow, ndio sijakosea jiji la Moscow?
Mimi binafsi sikuwahi kufikiria kuwa tutafika huku kwenye hii vita
Kwasasa Putin ana machaguo mawili tu, chaguo...
Mzee Edwin Mtei na Mzee Bob Makani walikuwa ni watu makini, wasomi wa uchumi na wenye heshima na hekima nyingi waliolitumikia taifa lao kwa uaminifu mkubwa katika ngazi ya juu katiba kitaifa ya Ugavana wa benki kuu.
Walianzisha CHADEMA lakini sidhani kama walikuwa wanajua kuwa iko siku chama...
Binafsi sidhani kama mwanamke wa kiislamu mjane na ambaye inasemekana ni rais akumbatiwe namna hii.
Kwa maoni yangu ninavyoona sio sahihi.
Jamaa ukumbatiiaji umevuka mipaka.
Mtendaji wa Kijiji cha Ukingwaminzi, Kata ya Mwamapuli, Wilaya ya Mpimbwe, Mkoa wa Katavi, amekuwa akifanya maamuzi ya kibaguzi na ya upendeleo dhidi ya wananchi wa kijiji hicho wanapowasilisha shida zao, hasa zinazohusu migogoro.
Kuhusu ujenzi wa vibanda vya biashara pembezoni mwa barabara...
Anonymous
Thread
katavi
kijiji
madaraka
mpimbwe
mtendaji wa kijiji
vibaya
wilaya
Nilimsikia Mh. Lissu kwenye moja ya majibu yake mahakamani akisema na kukubali kuwa yeye ni mtu anaehishimika sana ndani na nje ya nchi kiasi cha jumuiya za kimataifa kumtambua na kumheshimisha kwa kumpatia tuzo.
Kama Lissu mwenyewewe anakili kuwa yeye ni mtu muhimu na anaekubalika nchini na...
Wakuu mko poa,
Kipindi cha nyuma nadhani 2016 wakati Muhongo akiwa waziri aliwahi kupiga marufuku matumizi ya mafuta ya transfoma kwa mapishi ya chips, wakati huo zilikua ni tetesi tu kua kuna wauza chips wasio waaminifu wanatumia mafuta ya transfoma.
Sasa leo nimekutana na video ya simulizi...
Kumekuwa na kasumba kwamba kila jambo linaloonekana kutrending ambalo halitokani na siasa Mange Kimambi amekuwa akisema Serikali ndio wamebuni huo mpango hili ni lakishamba na kijinga na hii kauli ninaiona kwa katibu mkuu wa CHADEMA John Heche akiingilia mambo ya mpira kwamba yanatumika ili...
Hawa jamaa leo wameniathiri vibaya kwa kukoso huduma fulani katika benki yao kutokana na mtandao wao kuwa down.
Nimepoteza hela na nimeopoteza fursa.
Inakera sana!
Ndugu zangu Watanzania,
Nimeona tangazo la Mwenyekiti Wa BAVICHA Taifa Deogratias Mahinyila Akisema watakuwa na mkusanyiko wa vijana utakaofanyika pale Dodoma wakitaka ama wakiwa na ajenda za kutaka Katiba mpya na kuzungumza mambo mengine ya kisiasa .
Sasa kwa jicho la kijasusi na jicho la...
Kuna filosofia kayika mahusiano ya wanadamu inayosema "ikibidi ua ili uokoe". Hii ni filosofia ambayo katika mazingira fulani inaonekana ni muhimu ili kulinda haki za mwanadamu, lakini pia inatumika sana na watu katika matakwa yao binafsi. Filosofia ya "ikibidi ua ili uokoe" inatumika mara...
Masikini wengi wakiwaongelea vibaya matajiri uwa wanapata auheni ya kisaikolojia hii ni ngumu kumeza ndio maana weng waliofanikiwa wanaongozwa kusemwa vibaya sana
Bou Nako, mmoja wa waanzilishi wa Nako 2 Nako, alikuwa moja ya walengwa wakuu katika beef hiyo kubwa.
Kuna hadithi kwamba aliumizwa vibaya sana wakati wa shambulio lililohusishwa na upande wa Kikosi cha Mizinga, na ilisemekana kuwa karibu na kifo. Haruna Moshi “Boban” aliripotiwa kumsaidia...
Mjumbe wa Baraza la Uongozi Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) na Chama cha Wanasheria Zanzibar (ZLS), Barnabas Nyalusi, ameeleza jinsi dhana ya uanaharakati inavyopotoshwa na kukandamizwa nchini, akibainisha kuwa vijana wengi wa kizazi cha Gen Z wameaminishwa kwamba kuwa mwanaharakati ni...
Kwanza sipo hapa kukubeza au kukutukana bali kukumbushana kama wanaume Tegemewa wa leo na kesho pia nataka kujua hasa uwezo wako wa akili upo kiasi gani kichwani mwako!
Ni kweli una elimu Ni kweli mfumo wetu wa Elimu una mjenga msomi kuwa tegemezi wa ajira tu hilo sipingi lakini bado haiindoi...
Uu, sio udini jamani narudia tena sio udini wakatoliki tunashambiliwa mno na tupo kimnya,
Faza kitima alishambuliwa hatukuchukua HATUA na mpaka Leo hakuna TAARIFA yoyote iliyotolewa dhidi shambulio ilo sio jeshi la polisi, sio uchunguzi wa kanisa sio uchunguzi wa chombo chochote ili maana yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.