gaidi

Dhullu Gaidi is a village development committee in Baglung District in the Dhaulagiri Zone of central Nepal.

View More On Wikipedia.org
  1. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Aliyeridhi mikoba ya Marehemu Gaidi Abu Obaida abwabwaja!!

    Abu Obaida wa 2, msemaji wa tawi la kijeshi la Hamas, katika taarifa inayoashiria miaka 3 tangu mauaji ya Oktoba 7, anaelezea matumaini ya kufunguliwa kwa mstari wa magharibi dhidi ya Israeli: Miaka 3 imepita tangu kuvuka kitakatifu, siku ambayo silaha za wapiganaji zilivunja, mara moja na kwa...
  2. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ampongeza Rubani Smit Machchhar wa Flydubai aliyeharibu mpango wa Gaidi la kiarabu!!

    Israeli: Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu alimsifu rubani wa India Kapteni Smit Machchhar kwa ushujaa wake wakati wa shambulio la Flydubai, akisema aliwaokoa watu 174, wakiwemo raia wa Israeli na raia wengine. Kulingana na Netanyahu, Machchhar alidungwa kisu na kujeruhiwa vibaya lakini alipigana...
  3. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Gaidi Mwarabu-koko Sami Hassan Hussein Zawaida aangamizwa baada ya kutaka kufanya ugaidi huko Jenin Judaea & Samaria!!

    Vikosi vya IDF vilimpiga risasi na kumuua gaidi Mwarabu-koko Sami Hassan Hussein Zawaida, mwenye umri wa miaka 32 na kutoka kambi ya Jenin, baada ya kujaribu kufanya shambulio la kugonga kwa gari wanajeshi waliokuwa wakifanya operesheni katika eneo la Jenin, huko Yudea na Samaria (Ukingo wa...
  4. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Gaidi wa Hamas, Farah Hamed, aliangamizwa!!

    Gaidi wa Hamas, Farah Hamed, aliangamizwa jana. Hamed, ambaye aliachiliwa huru katika ubadilishanaji wa wafungwa wa Gilad Shalit mwaka wa 2011, baadaye akawa mtu mashuhuri katika makao makuu ya Hamas huko Gaza. Alikuwa mwanachama wa seli ya Silwad aliyehusika na mashambulizi yaliyowaua wanajeshi...
  5. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Gaidi aliyemchoma kisu raia na kutoroka na Gari anaswa na kuangamizwa huko Israel!!

    Leo kulikuwa na shambulio la kisu la Gaidi la kiarabu alimchoma kisu Myahudi wa Israeli. Mtu aliyechomwa kisu alikuwa Natanel Jacobs na hapa anaelezea jinsi alivyopigana na Gaidi Hilo baada ya kuchomwa kisu alipiga picha Gari la Gaidi huyo na kuwajulisha IDF ambao walilifuatilia gari hilo kwa...
  6. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mlinzi binafsi wa Gaidi Yahya Sinwar Yusuf Akili (Abu al-Walid) aangamizwa mchana kweupe!!

    Shambulio la Israeli kwenye gari karibu na Makutano ya Hamid katika kitongoji cha magharibi mwa Jiji la Gaza cha Al-Nasser lilimuua Yusuf Akila, anayejulikana kama Abu al-Walid, na binti yake Wafa, huku wengine 6 wakijeruhiwa. Akila alikuwa kamanda wa jeshi la Hamas na mlinzi wa zamani wa...
  7. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Gaidi Ahmed Yaqoub aangukia mikononi mwa IDF na kuangamizwa bila huruma!!

    Mmoja wa magaidi wengine (Ahmed Yaqoub) aliyeangamizwa katika shambulio lile lile la anga huko Jenin leo. Alikuwa njiani kuelekea kuwa kiongozi wa magaidi aliyefanikiwa kuwa toro ka Askari wa IDF Oct 07,2023 leo kajikuta yuko mikononi mwa majeshi ya ISRAEL na ameangamizwa bila huruma yoyote!!
  8. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Gaidi la kike lauwawa huko Gaza!!!!

    GAZA: Vyanzo vya kimatibabu vinaripoti kwamba idadi ya vifo kutokana na shambulio la hivi karibuni la IDF katika Jiji la Gaza imeongezeka hadi 9, huku idadi hiyo ikiwa bado haijakamilika, huku watu 15 wakijeruhiwa. Miongoni mwa waliouawa ni Faten Sakhr, kamanda wa polisi wa wanawake wa Hamas...
  9. tpaul

    JamiiForums Tanzania Kilichomponza mhadhiri ‘gaidi’ wa UDOM ni hiki hapa

    Habari za chinichini zinapenya kutoka viunga vya UDOM na mitandao ya kijamii kwamba kitu kilichomponza mhadhiri wa UDOM, Dr Kaijage, na kujikuta akipewa kesi ya ugaidi, ni ujasiri wake wa kusimamia taaluma kiuweledi bila kumuogopa mtu yeyote. Habari kamili zinadai wakati mhadhiri huyo akiendelea...
  10. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Gaidi Salem Jamal Abd al-Rahman Abu Labad AANGAMIZWA huko Gaza!!

    Jana IDF ilishambulia kusini mwa Gaza na kumuua gaidi Salem Jamal Abd al-Rahman Abu Labad, kamanda wa seli ya Hamas Nukhba. Gaidi huyo alijipenyeza Kibbutz Nir Oz wakati wa mauaji ya Oktoba 7. Katika shambulio la ziada mwishoni mwa wiki (Ijumaa), katikati mwa Gaza, IDF ilimuua gaidi Muhammad...
  11. ngara23

    JamiiForums Tanzania Lecturer wa UDOM ni gaidi ila Shehe Mwaipopo anayemiliki kundi la kukata vichwa sio gaidi

    DPP kuwa serious japo kidogo Huyu gaidi Mwaipopo anayemiliki kikundi cha msituni kama mbwa mwitu mnamchekea na kumkumbatia Lectures, vijana wa chuo na viongozi wa Chadema ndo magaidi
  12. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Inaumiza sana Gaidi na Mhaini Nchimbi yupo Uraiani na Hai hadi mda huu.

    Nashindwa kuwaelewa kabisa hivi vyombo vyetu vya ulinzi na Usalama viko wapi? Mtu anahamasisha watu wapiganie Katiba huu ni ugaidi na Uhaini wa wazi kabisa...Anataka kuiondoa serikali Tukufu iloyochaguliwa kwa Asilimia kubwa 98% Vyombo vya ulinzi vipo tu vinamuangalia huyu Mtu IGP, Mkuu wa...
  13. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Heko mkoloni kwa kutomuona Mwanaharakati Mwl. Nyerere ni gaidi

    Busara zenu na uungwana wenu ndio uliotuwezesha kupata uhuru, nyie mlimuona ni mwanaharakati wa kudai uhuru wa nchi yake na si gaidi na hamkuona sababu ya kumvamia kwenye kakibanda kake ka pale Mwitongo Butiama na Magomeni Mikumi ili auawe, heko kwa hilo.
  14. passioner255

    JamiiForums Tanzania Kati ya chama kilichowaua watu ,kufanya utekaji na anayedai haki nani ni Gaidi ?

    Kati ya chama kilichowaua watu ,kufanya utekaji na ulawiti wa watu na kuwapiga watu,kufanya ufisadi Nk na chama kingine kinachodai haki kipi ni chama gaidi? Nafikiri CCM mjirekebisheni kwa sababu Mungu anaweza kuzichoka tabia zenu na kuwaangusha.
  15. S.M.P2503

    JamiiForums Tanzania Mwanaharakati ni nani, je ni gaidi, kama inavyotajwa katika mikutano ya Umma? Maana, Sifa na Nafasi ya Mwanaharakati Katika Jamii

    Katika kila jamii duniani, maendeleo na mabadiliko makubwa hayaji bila watu wenye ujasiri wa kuuliza maswali, kusimamia haki, na kupigania kile wanachoamini kinaweza kuleta maisha bora kwa wengine. Watu hawa huitwa wanaharakati. Mwanaharakati ni mtu anayejitolea kusimamia, kutetea au kupigania...
  16. zitto junior

    JamiiForums Tanzania "Gaidi" wa jana anaweza kuwa shujaa wa leo? Historia ya Israel ambayo wengi hawaijui

    Kila mara tunaposikia kuhusu Mashariki ya Kati, jina la Hamas huibuka haraka na mara nyingi hufuatwa na neno ugaidi. Lakini historia ina ukurasa ambao watu wengi hawaujui au hawapendi kuuzungumzia. Kabla ya Israel kuzaliwa mwaka 1948, harakati za Kizayuni nazo zilikuwa na makundi ya "kigaidi"...
  17. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Gaidi wa Hamas, Hani Mohammed Abu Mohammed, aliangamizwa huko Gaza

    Gaidi wa Hamas, Hani Mohammed Abu Mohammed, aliangamizwa kabisa na IDF katika Ukanda wa Gaza. Wanazi hawacheki tena. Huko kuzimu wanakopata mates!!!
  18. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Gaidi Mohammed Odeh na familia yake wakienda kuzikwa huko Gaza!!

    Video zinazotoka Gaza zinaonyesha msafara wa mazishi ya kamanda wa tawi la kijeshi la Hamas Mohammed Odeh na wanafamilia wake kufuatia shambulio la Israel jana. Odeh, ambaye hivi karibuni aliteuliwa kuwa mkuu wa tawi la kijeshi la Hamas baada ya kuangamizwwa kwa Izz al-Din al-Haddad, alielezewa...
  19. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Mwili wa Gaidi Azam al-Hayya ukibebwa Mzobemzobe kwenda kuzikwa huko Gaza!!

    Mazishi ya Azam al-Hayya, mwana wa Khalil al-Hayya, kiongozi mpya wa Hamas, ambaye alikuwa gaidi hai wa Nukhba (kitengo cha wasomi), yanafanyika leo huko Gaza. Aliondolewa jana pamoja na magaidi wengine walioshiriki katika mauaji ya Oktoba 7.
  20. I

    JamiiForums Tanzania Kwanini Iran chini ya magaidi wa IRGC inafadhili ugaidi?

    Another top Hezbollah commander killed. Hussein Waheeb Yassin, field commander of the Majdal Silm area, was killed in IDF targeted attack tonight.
Back
Top Bottom