mahita

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Teko Modise

    IGP Mstaafu Omary Mahita achechemea hapa msibani kwa Mwinyi

    Mnamkumbuka IGP mstaafu Omary Mahita enzi akiwa madarakani miaka ile? Mzee wa ngunguri! Alikuwa mwamba kwelikweli, IGP aliyekuwa na mamlaka haswaa, IGP mbabe na mwenye hulka ya aina yake. Namuona anachechemea huku anatembea na mkongojo, ama kweli nguvu ni kitu cha kuisha.
  2. O

    Kesi ya mauaji ya dada wa Bil. Msuya:Mkaguzi Mahita aeleza mbinu aliyotumia kumkamata mshtakiwa

    Dar es Salaam. Mkaguzi wa Polisi, Mahita Omari Mahita ameieleza Mahakama kuwa walifanikiwa kumtia mbaroni mshtakiwa wa pili, Revocatus Everist Muyella katika kesi ya mauaji ya Aneth Msuya, baada ya askari mmoja kumuomba lifti amkampeleka hadi kituo cha polisi. Mahita alieleza mbinu hiyo jana...
  3. MakinikiA

    Ni bora utumwani penye mahitaji muhimu kuliko uhuru pasipo na mahitaji muhimu

    Hata waisrael walifikia kipindi kuchoka na shida wanazopata safarini kuelekea kaanani walitamani Musa awarudishe Misri kwa farao utumwani walipata mahitaji muhimu.
  4. Bams

    Ni Vema Kingai, Jumanne, Goodluck na Mahita Wangekamatwa

    Kama uhai na utu wa mwanadamu una thamani Tanzania, ni vema hawa watu wanne, Kingai, Jumanne, Goodluck na Mahita, wangekamatwa kwaajili ya kuwafanyia uchunguzi wa kijanai kuhusiana na mazingira yanayowazunguka kuhusu kuwatesa watu, kuwateka, kuwapoteza na hata mauaji. Majina haya manne...
  5. IKUNGURU IJIRU CHUKU

    Mbona hawa Askari wanatamba nchi nzima?

    Hivi Kingai, Godluck, Mahita, D/C Msemwa, Afande Jumanne, Minja na Afande AZIZI, Hawa ni askari huru wa polisi wakuzunguka nchi nzima na kukamata? Maana hata wakuu wa Vituo wanakowapeleka hao walio kamatwa hawana sauti. Je, tuseme mikoa haijajitosheleza kuwa na askari wapelelezi? Mbona...
  6. V

    Angalia ujuzi wangu then naomba connection ya kazi

    Kwema wana jf taifa kubwa Naitwa makolelo Mkazi wa dar Elimu diploma Uzoefu Store keeper kampuni ya jiangxi Mwaka mmoja Shop manager fashion shop Revenue collector municipal Cashier Site foremen supervising 10 labour Natafuta kazi yoyote ya kuingiza riziki na nimuuguze mama angu Kitu hiki...
  7. K

    Taarifa za shahidi wa 7 wa Jamhuri ndugu Mahita kuondokewa na mtoto siku Moja baada ya kumaliza Ushahidi wake zina ukweli?

    Zipo Taarifa kwamba Mahita Junior amefiwa na mtoto Arusha na watazika Morogoro kesho, je Taarifa hizi Zina ukweli? Nini chanzo? If so,poleni familia
  8. Replica

    Yaliyojiri kesi ya Mbowe leo Novemba 05, 2021: Inspector Mahita Mohamed atoa ushahidi

    Baada ya jana kuahirishwa, Kesi ya mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe inaendelea kuunguruma leo mahakamani. Jana Mrakibu Mwandamizi wa Jeshi la Polisi, Sebastian Madembwe alitoa ushahidi wake. Jaji aliahirisha mpaka leo. Kuwa nami. ======= Jaji ameingia Mahakamani Kesi namba 16 ya Mwaka 2021...
  9. Prof Koboko

    Mahita na Kingai si Makada wa CCM kweli?

    Kwa Mlolongo wa kesi ya Mbowe na wenzake jinsi ambavyo imeibua hisia za watanzania kua iko siasa na chuki ndani yake, nimelazimika kuuliza maswali haya kwa sababu kadha wa kadha ikiwemo kuwapiga na kuwaumiza walinzi wa Mbowe na wenzinge haijulikani walipo hivi sasa. Najua kabisa bila shaka kua...
  10. Kamanda Asiyechoka

    Wana-CHADEMA cross examinationa ya Mahita Jr na Ramadhan Kingai yasitupe kiburi,kesi bado mbichi sana. Ushahidi ni ishu pana

    Kiuhalisia ni kuwa ushahidi lazima uwe na relevant fact juu tuhuma husika. Kwamba shahidi wa kwanza na wa pili wameonyesha kuchemka kwa kutokuwa na relevent facts, hii bado ni mbichi sana. Tuache kupiga kelele za kishamba. Ushahidi ni suala jumuishi, leo ushahidi wa shahidi namba moja mnaweza...
  11. Kamanda Asiyechoka

    CHADEMA hii ndio dhana nzima ya uhuru wa mahakama. Tumeshuhudia Mahita akipigwa maswali, tusipanic

    Mahakama ndio chombo huru ambacho kinatoa haki hapa nchini kwetu. Tuondoe ile dhana potofu kuwa kuna mkono wa Ccm kwenye kesi ya Mbowe. Tunaona mashahidi wakipigwa maswali mpaka wanaomba po. Kwa namna wanavyotepeta basi tuamini kuwa msingi wa uhuru wa mahakama upo kwa kasi ya 4g hapa Tanzania.
  12. BAK

    Wakili Msomi Peter Kibatala alivyomkaanga mtoto wa IGP Mahita kwenye kesi ya Mbowe

    Wakili msomi Peter Kibatala V/S Mtoto wa IGP Mahita. KIBATALA: Inspekta Mahita nimekufuatilia wewe ndiye ulikuwa arresting Officer? MAHITA: Sahihi. KIBATALA: Kazi ya Kingai ilikuwa nini? MAHITA: Alikua Mkuu wa Msafara. KIBATALA: Mkuu wa msafara ni role gani kwenye arresting? MAHITA: Kimya...
Back
Top Bottom