Mwandishi wa Habari Mwandamizi, Absalom Kibanda, akizungumza katika mdahalo wa “Kalamu za Waandishi Zinaandika Nini?” kupitia Stars TV, amesema kuwa ikiwa utawala wa sheria utazingatiwa, vyombo vya habari vitakuwa huru.
Soma Pia: Kibanda: Kuna 'Watu wasiojulikana' wanatisha Waandishi wa Habari
Tangu kuanzishwa kwa mfumo wa demokrasia ya vyama vingi nchini Tanzania, kumekuwepo na mageuzi na mabadiliko mengi sana makubwa ya kisiasa, kijamii, kiuchumi, kitaifa na kimataifa.
Kama mdau wa muhimu na wa heshima sana wa JF, unadhani ni upi mchango wa vyama vya siasa vya upinzani katika...
Kwanza kabisa niwatake radhi kwa kuchelewa kuandika huu uzi ambao ndo pia utatumika kama msimamo wa JF kwenye hili sakata la stendi ya mabasi Dar Es Salaam. Huko PM kumefurika messages nyingi sana za wanaJF wakitaka nitoe neno kwenye hii ishu. Bila kujali itikadi members wengi wamenisihi. Kuna...
Kama wahadhiri wanakamatwa kwa kuelezea namna uhuru wa kuandamana na kujieleza ulivyowekwa kwenye Katiba ya JMT.
Hii dira ya 2050 itatekelezwa kwa namna gani? Huku CCM hawataki taifa liwe na demokrasia, haki na uhuru wa kujieleza.
Kwenu Waheshimiwa wenye Mamlaka kwenye hii nchi
Asalaam aleykum?
Bwana Yesu asifiwe?
Kristu ?
Kwa heshima kubwa, naomba nitoe ushauri kama mwananchi mwenye nia njema kwa mustakabali wa nchi yetu.
Pengine umefika wakati wa kupanua wigo wa ushauri munaoupokea. Mbali na washauri waliopo ndani ya...
Kupitia kipindi cha One on One cha Wasafi TV, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amejibu hoja zinazodai kuwa Jeshi la Polisi limepoteza imani na kuaminika miongoni mwa wananchi
"Tumefika hapo kwa sababu ah moja tumekuwa na jamii sisi wengi hatufuati sheria na pili kwa sababu...
Mbunge Sigrada amesema kuwa Tanzania kwa sasa inaendeshwa kwa utawala wa matamko badala ya utawala wa sheria, akisisitiza kuwa misingi ya kisheria ndiyo inapaswa kuongoza maamuzi na utendaji wa taasisi za umma
Hakunanga utawala wa sheria. Tanzania tuna utawala wa matamko. Sheria zipo ila...
Patrobas Katambi amuweka Samia Suluhu kwenye minzani ya Utawala bora na Utawala wa Sheria.
Samia alijua atakuwa mtu wa kumsaidia kuwaunganisha watanzania.
Badala yake katambi kamvua nguo Samia hadharani.
Je, Matendo ya Katambi ni Maagizo ya Samia. Au kamuweka njia panda?
LHRC: KUREJEA KWA KASI KWA MATUKIO YA UTEKAJI NI TISHIO KWA UHURU WA RAIA NA UTAWALA WA SHERIA NCHINI
Tarehe 22 Mei 2026, Dar es Salaam
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kinalaani na kupinga vikali kurejea kwa kasi matukio yenye sura ya utekaji nchini. Katika siku za hivi karibuni...
Tumekubali Polepole alikua na makosa lakini solution ikawa ni kumteka na kumpoteza? Sote tunajua Polepole alikua anagusa meza za wakubwa wa nchi hii ambao wamejimilikisha kila kitu cha nchi hii ndo maana kila alipokua...
30 April 2026
Brenda Rupia Kamanda: Ukandamizaji na Upinzani wa Kisiasa: Utawala wa Sheria nchini Tanzania
https://m.youtube.com/watch?v=7iFw37GQQb4
Brenda Rupia Kamanda, msemaji wa chama kikuu cha upinzani, CHADEMA nchini Tanzania, yanaangazia uamuzi wa hivi karibuni wa mahakama ya rufaa...
Matajiri wote wanaopigania demokrasia maana yake wawe na uhuru wa kupanga bei za bidhaa bila hata kuangalia mnyororo wa udhalishaji. Moja wapo ya njia hizo ni kutengeneza cartels. Matajiri wanakubalia bei ya soko ili kusiwe na ushindani makampuni ya mtandao ya simu ni mfano mzuri.
Mkazi mmoja wa Maryland nchini Marekani anadaiwa kusubiri hadi wafanyakazi wahamiaji walipowasili kuanza ukarabati wa nyumba yake kabla ya kuwapigia simu maafisa wa Uhamiaji na Forodha (ICE).
Tukio hilo lililotokea mjini Cambridge lilirekodiwa na kusambazwa kwenye mitandao ya kijamii na...
Wangapi wanajua kuwa leo ni siku ya sheria?
Wachache maana hakuna mvuto kwa vile hapa tunaishi bila sheria. Sheria ni Samia, Mafwele, Mulilo na watu wao!
Kwamba muwekezaji Rashid ni mjinga aamke na kuanza kubomoa kama mwehu bila kuogopa mali za watu? Eneo ni mali ya CCM chama cha mafisadi nawezi.
Kwanini alipokuwa anabomoa hao CCM wapo kimya?
Serikali inaingilia vipi wakati hawana mkataba na Rashidi?
Rashid kwanini hukumpiga ngumi nzito...
Maelfu ya raia wa Bulgaria wamefanya maandamano jumatano kupinga Serikali inayomaliza muda wake ambapo waandamanaji hao wanadai uchaguzi wa haki na mabadiliko katika mfumo wa mahakama ili kupambana na rushwa iliyokithiri nchini humo.
Maandamano hayo yalifanyika katika mji mkuu sofia na miji...
Nimesoma HUKUMU ya Kesi ya THADEY KWEKA ambayo imetolewa jana kinyemela hata bila yeye mwenyewe kujitetea au kutetewa na Mawakili wake tangu kukamatwa kwake, Ninasikitika Kuona kwamba hata Mahakama kupitia Hakimu imejielekeza Vibaya Kutoa HUKUMU husika
Raia Wanategemea Mahakama itende Haki na...
Hivyo tu yaani. Maana kuna mambo yanatugharimu kama taifa kwa sasa. Hili lilikuwa ni chaguo lake kama running mate wa baba Jesy.. kumbe kete za draft zilikuwa zinapushiwa kuanzia 10 to 20 years kwa ajili ya kutengeneza mazingira...
Anyway siwezi kuwaambia kila kitu. Nyie ni watu wazima...
James Comey mkuu wa zamani wa FBI ambaye katika kipindi chake Trump alichaguliwa rais kwa mara ya kwanza sasa atafikishwa mahakamani baada ya muendesha mashitaka chawa wa Trump aliyepachikwa muda mfupi kukubali maelekezo kutoka juu kumfungulia kesi.
Muendesha mashitaka mwingine mzoefu wa muda...
GT
Naona kaamuamua kupiga dongo. Baadhi ya viongozi kiaina.. anasema hakuna maana yakuwa na ushirikiano na watu wakandamizaji wa demokrasia.
===
During the EALA games opening ceremony, Mombasa senator Omar Hassan took stage and urged East African leaders to fight for common standard and strive...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.