kesi ya mbowe

No Wikipedia entry exists for this tag
 1. S

  Zitto: Hata kesi ya Mbowe ni jumba bovu kwa awamu ya 6. IFUTWE!

 2. B

  Kesi ya Mbowe: Commando Mhina, Shahidi Mwaminifu na Rafiki wa Kweli

  Komando Mhina popote pale alipo na apokee salamu za kheri kutoka kwetu tunaoyaishi machungu yao. Akiwa mtu huru, Commando Mhina alifika mahakamani kufanya sehemu yake ya kuuanika ukweli. "Kwani nani anapenda kufika kwa ridhaa yake polisi au katika mahakama zinazosifika kwa dhuluma?" "Kwa...
 3. R

  Magaidi yatakapoitumia vibaya kesi ya Mbowe. Je, Serikali imejiandaa?

  Kudhalilishwa kwa makomando kama kunavojiri mahakamani kwenye hii kesi katika ushahidi wake !kunanipa maswali mengi kichwani kama haya:- 1. Komando ni nani hasa? 2. Makomando wangapi wapo mtaani na hawana ajira? 3. Ikitokea magaidi wakatumia mwanya wa kuwafuta machozi hawa makomando na kuwapa...
 4. CCM Music

  Kesi ya akina Mbowe ina manufaa gani kwetu CCM, mbona haitupi any political mileage?

  Wana CCM mliopo mtandaoni. Ni kweli wapinzani hawana ajenda na bawajawahi kuwa nayo zaidi ya blah blah tu. Lakini, nasema lakini sisi wana CCM kupitia CCM Maslahi ndio tunawapa hawa wapinzani cha kutusumbua nacho. Mfano: Hii kesi ya kijinga ya Mbowe ina manufaa gani sasa ki siasa kwetu CCM...
 5. Namichiga

  Kwa kesi hii ya ugaidi ya akina Mbowe: Je, Kitengo cha propaganda ndani ya Serikali wamefaulu au wamefeli?

  Ndugu wana jukwaa, kwenye kichwa cha habari hilo ni swali, hivyo katika kutoa hoja naomba kwanza tutangulize kwanza kujibu na baadae ndio zifuatie hoja za uchambuzi. Katika maswala mazima ya mifumo ya kiutawala katika nchi za Kiafrika, hili neno la propanda linapewa kipaumbele kikubwa pindi...
 6. IKUNGURU IJIRU CHUKU

  NINA MTIZAMO TOFAUTI KABISA NA MNAO FUATILIA KESI YA MBOWE NA WENZAKE

  Kwanini nimesema hivyo. Watu WOTE wanailaumu TAASISI ya Polisi,lakini si kweli. Polisi hawezi kufanywa Jambo la kujiunga NAMNA hii. Kwanini !!Haiingii Akilini,Askari Kama si wanne NI watatu,wakamate watuhumiwa ,Moshi. Ili Hali waosio Polisi WA Moshi,Wana vituo vyao vya kazi. Wawende Tabora...
 7. Sijali

  Kesi ya Mbowe: umejifunza nini kipya?

  Naanza uzi huu kufuatia maelezo ya wale waliofuatia kesi hii kwa karibu kwamba wamejifunza/gundua mengi ambayo hawakuwa hapo mwanzo wanayajua. Sasa ili kuwadirikisha wale wasioifuatia, au waliokuwa na gap ya kufuatia, tupe uliloligundua kwa sharti ueleze shahidi nani alilisema, hoji hilo. Hii...
 8. B

  Kesi ya Mbowe: Yatokanayo, yasipuuziwe

  Kesi ya Mbowe ingali ikirindima. Hata hivyo tayari kuna ambayo hatukuyajua ambayo leo tunayajua zaidi. Kumbe pana Makomando wengi wanaweza kuwa walipotea baina 2015 - 2021. Nani ajuaye huenda wanaendelea kupotea leo. Hawa ni watanzania, wananchi na binadamu wenzetu wenye haki zao za msingi...
 9. VUTA-NKUVUTE

  Jenerali Mabeyo, unayasikia yasemwayo na makomandoo wetu mahakamani kwenye kesi ya Mbowe?

  Mtani wangu na mkuu wangu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali Venance Mabeyo, nakusalimu na kukutakia kazi njema. Nakuuliza tu kizalendo: unayasikia au kuyasoma maneno yasemwayo na makomandoo wetu walio washtakiwa na mashahidi kwenye kesi ya ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake...
 10. seedfarm

  Bila kufuta kesi ya Mbowe, Siri za Serikali na Mambo ya ulinzi yanatufikia Raia hata tusiojua kusoma alama za nyakati

  Ni vyema kesi ya Mbowe ikafutwa, Kuna mambo ya ulinzi mazito na siri yanaongelewa mahakamani ambayo wengi hatukufahamu Ushahidi unaonyesha maisha ya Askari wetu na haki zao zilivyo, Mambo ya dhuluma, Mateso na Sera za kustaafu au kufukuzwa kwa haki au kutokufuata haki zinatufikia hata...
 11. B

  Kesi ya Mbowe: Miito ya Haki Kutendeka inaposikika Mahakamani

  Ni jambo la kheri sana neno haki kuendelea kusikika na kwa msisitizo, hasa mahakamani. Shahidi Lembrus Mchome hakuwa mchoyo wa neno hilo: Kwa hakika Lembrus Mchome ameliwasilisha neno hili kwa mheshimiwa Jaji katika namna ya kupigiwa mfano. Kudos Lembrus Mchome umetuwakilisha wengi kwani...
 12. comte

  Kesi ya Mbowe na wenzake:Kama serikali imepumba mashaidi na ushahidi basi upande wa utetezi kwa shahidi huyu wameiga na kupitiliza

  WS: kuanzia Siku ya Jana Mpaka Leo Hii hakuna Sehemu yoyote Uliyo eleza Kwamba Uliwasiliana na Mohammed Ling'wenya Shahidi: Ni sahihi WS: Ni sahihi Mahakama Haijaonyesha Kwamba Mohammed ana ufahamu wako wewe Kuwepo Mahakamani Shahidi: Ndiyo WS: Kwa hiyo nitakuwa nakosea Nikisema Wewe...
 13. B

  Kesi ya Mbowe: Kutoridhika kwa Watu kusipuuzwe

  Kupuuza kutoridhika (resentments) kwa watu si jambo la afya. Yamesemwa mengi, au labda wakuu hawafikishiwi? Misahafu inasema, ukweli usiposemwa itafika wakati hata mawe nayo yataongea. Hatimaye mawakili wa serikali wameyatamka mahakamani wao wenyewe: Bila shaka sasa habari hii itakuwa...
 14. The Sheriff

  Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na wenzake - Desemba 1, 2021. Shahidi asimulia alivyowekwa chumba cha mateso gerezani. Uamuzi kusomwa Desemba 14, 2021

  Leo tarehe 1/12/2021 kesi ya Mwenyekiti wa CHEDEMA Freeman Mbowe na wenzake inaendelea baada ya kuahirishwa siku ya Jumanne, tarehe 30 Novemba, 2021. Kujua kesi ilipoishia, soma: Yaliyojiri Mahakama Kuu divisheni ya Makosa ya Uhujumu Uchumi na Rushwa, kesi ya Mbowe na wenzake - 30 Nov 2021...
 15. Replica

  Yaliyojiri Mahakama Kuu divisheni ya Makosa ya Uhujumu Uchumi na Rushwa, kesi ya Mbowe na wenzake - 30 Nov 2021

  Kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3 inaendelea mahakamani leo Novemba 30, 2021 ======= Wakili wa Serikali: Mheshimiwa Jaji Shauri limekuja kwa ajili ya Kusikilizwa, Naomba tupatiwe Nyaraka ilikuweza Kuzikagua. Wamekabidhiwa Nyaraka na Kuanza Kukagua Moja baada ya Nyingine. Wakili wa...
 16. B

  Kesi ya Mbowe: Mchezo wa Paka na Panya kwa Maslahi ya nani?

  Ni mshangao mkubwa haya kutokea kwa upande wa serikali yenye kupaswa kuupata uhalali wake kutokea kwa wananchi wanaoilipa kodi. Ni mshangao mkubwa zaidi kuwa walioko huko serikalini tunaowalipa mishahara na marupurupu wanaweza kufikia kucheza na haki za wananchi kwa kiwango hiki. Kwamba...
 17. S

  Kesi ya Mbowe: Watanzania hatuhoji uhalali au uwezo wa Mahakama, bali uwezo wa Majaji - Msimamizi uko wapi- Kwanini mnaichosha Mahakama ya Rufaa?

  Vyovyote iwavyo: 1. Majaji wote wa kesi hii mpaka sasa Pigia mstari Mpaka sasa- wameonesha uwezo hafifu sana wa kutafsiri sheria zetu. 2. Uwezo wa msimamizi wa hawa majaji nao uko kikaangoni. 3. Mwalimu wa majaji hawa ni nani haswa ili tujue uwezo wake au labda na yeye ana elimu ya kuunga...
 18. Kurunzi

  Umuhimu wa Maamuzi ya leo kwenye kesi ya Mbowe na wenzake

  Msingi wa Ling’wenya na wakili wake kuandika barua kwa RPC Ilala kuomba nyaraka za uthibitisho dhidi ya shahidhi wa pili wa upande wa mashtaka katika kesi hiyo ndogo ni kwamba shahidi huyo hakuwa Central Dar es Salaam, mwaka 2020. Hivyo kama mahakama itatupilia mbali pingamizi la Serikali, na...
 19. B

  Kesi ya Mbowe: Kufanana na Kutofautiana kwa Barua ya Ling'wenya na DR ya Msemwa

  Kesho ni kesho asiye na mwana na akaeleke jiwe. Kesho Mh. Jaji Tiganga atatoa hukumu yake kuihusu barua ya Mohammed Ling'wenya. Kama ilivyokuwa kwa DR na shahidi Jumanne, ilipingwa mahakamani. Hukumu ya Jaji ikaonyesha nini kilitakiwa kifanyike ili iweze kukubalika. Bila ya ajizi WS Chavula...
 20. B

  Yanayojiri Kesi ya Mbowe na Kauli tata za Serikali - Katiba Mpya ni Hitaji la Dharura sana

  Kauli hii ni rasmi ya serikali: Ukichanganya na mfano wa kauli kama hizi (kwenye kesi ya Mbowe) zenye kutokea upande wa serikali: 1. Mahakama si mama yako, 2. Waraka wa mshitakiwa kama nyenzo yake kujitetea ni "takataka," 3. Mtake msitake mawakili wa serikali ni mawakili wa mahakama, 4...
Top Bottom