kesi ya ugaidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Tuendelee kujikumbusha kesi ya Ugaidi ya Mbowe baada ya Kibatala 'kumpelekea moto' Kingai

    WAKILI PETER KIBATALA Wakili Peter Kibatala: Utakasirika nikikuita kaka yangu? Kingai: Ni sahihi, sababu nimekuzidi umri. Wakili Peter Kibatala: Bila shaka hutakasirika nikitetea wateja wangu. Wakili Peter Kibatala anamkabidhi Kingai Kitabu cha PGO. Kingai: Ndiyo chenyewe. Jaji: Angalia...
  2. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe: Jinsi wakili msomi Dickson Matata alivyompeleka puta mtoto wa IGP Mahita, kwenye KESI ya UGAIDI ya MBOWE

    MATATA: Nikumbushe Majina yako. SHAHIDI: Naitwa Inspector Mahita Omary Mahita. MATATA: nitakuwa Sahihi nikisema wewe ni Mtoto wa IGP mstaafu Omary Mahita. SHAHIDI: Upo sahihi MATATA: Wakati Baba yako akiwa IGP wewe Ulikuwa wapi? SHAHIDI: Nilikuwa Chuo kikuu MATATA: Kwahiyo wakati Baba yako...
  3. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe; Kesi ya ugaidi Freeman Mbowe, Wakili Kibatala alivyomsulubu DCI Kingai

    Wakuu ! Tukiwa tunasubiri siku ya Ijumaa saa 8:30 mchana, ambapo Mh Tundu Lissu atakuwa anamuongoza DCI Kingai kwenye kesi inayomkabili Tundu Lissu nimeona niwaletee kumbukumbu ya Wakili Kibatala dhidi Ya DCI Kingai Kesi ya Mbowe na Wenzake: Maswali ya Mawakili na Majibu ya ACP Kingai...
  4. Giovanni Mugillanetza

    JamiiForums Tanzania Busara Binafsi dhidi ya Kesi ya Ugaidi

    Mtu anawezaje kutumia Busara zake nje ya Mfumo wa kimahakama kuamua au kutoa maamuzi juu ya Kesi ya Ugaidi inayomkabili mtu ? Nauliza anawezaje yaani ? Sisi wana HAI tunataka kesi irudi Mahakamani na iamuliwe kwa misingi ya utawala wa sheria na haki. Alamsikh.
  5. mirindimo

    JamiiForums Tanzania WAKILI MAARUFU MADELEKA KUPEWA KESI YA UGAIDI ?

    Kwa kile kinacho onekana kuendelea kukomoa raia yeyote anae enda kinyuma na usawa na haki , Mhimili wa Dola , Mahakama na Polisi wameamua kufungulia kesi za Ugaidi wote watakaoisema serikali ya Samia vibaya. Huku Jeshi la Polisi likiwa kinara kupin point anaefuata wa kupewa kesi ya Ugaidi jambo...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Katibu UDASA: Dkt. Kaijage aliniambia Mkipata nafasi msaidieni mke wangu

    Katibu Mkuu wa UDASA, Dk. Dominicus Makukula, amesema wakati alipomtembelea Dk. Melikisedeki Kaijage, Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) anayekabiliwa na kesi ya ugaidi, alitoa ujumbe mmoja muhimu. Kwa mujibu wa Dk. Makukula, Dk. Kaijage alisema: “Mkipata nafasi, msaidieni mke wangu.”...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Joseph Katooki, mkazi wa Kyela Mbeya. Amekamatwa na kupewa kesi ya ugaidi

    Huyu kijana anaitwa Joseph Katooki, mkazi wa Kyela Mbeya. Amekamatwa na kupewa kesi ya ugaidi. Amenyimwa dhamana na anashikiliwa katika gereza la Kyela. Nimesikiliza hii clip yake sijaona kosa lolote la jinai. Yani achilia mbali ugaidi, hata kosa la kutumia lugha mbaya sijaliona. Labda Mawakili...
  8. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Ugaidi ya Dkt. Kaijage yaahirishwa hadi Agosti 19, 2026

    Shauri la ugaidi linalomkabili mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Dk Melikisedeki Kaijage, limeahirishwa hadi Agosti 19, 2026 baada ya kutajwa Agosti 5, 2026 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma. Soma zaidi: Mhadhiri UDOM aliyepewa dhamana na Mahakama, sasa apewa shitaka la ugaidi...
  9. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Kesi ya ugaidi kwa viongozi 17 wa CHADEMA Shinyanga yaahirishwa hadi Agosti 17, 2026

    Kesi ya kupanga na kula njama za kufanya matendo ya ugaidi inayowakabili wanachama 17 wa CHADEMA, akiwamo Katibu wa chama hicho Kanda ya Serengeti, Jackson Mnyawami, imeshindwa kuendelea Agosti 4, 2026, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Shinyanga, baada ya upande Jamhuri kuieleza mahakama hiyo...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Katambi: Tanzania hakuna Ugaidi, kunaweza kuwa na viashiria

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema Tanzania haina ugaidi, huku akisisitiza kuwa hakuna mtu aliye juu ya sheria wala anayepaswa kupewa kinga kutokana na cheo, taaluma, dini au hadhi yake katika jamii. Soma pia Heche: Tutawaandikia barua FIFA na CAF kuwaeleza Serikali...
  11. Sprouts pre School

    JamiiForums Tanzania Ni kweli muhadhiri wa Udom aliyekamatwa kapewa kesi ya ugaidi?

    Nimeumia sana kusoma hii habari ya Mwalimu Melkisedeki Kitunzi Kaijage ambaye ni Mhadhiri Mwandamizi wa chuo kikuu UDOM. Kaijage anafundisha somo liitwalo Government and Politics in Tanzania (PO 123) ambalo linahusu serikali na siasa za Tanzania kuanzia uhuru hadi sasa. Kupitia somo hilo...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Ilemela-Mwanza: Watu 13 washatakiwa kwa kesi ya ugaidi kwa kushiriki kupanga kuchoma majengo ya serikali na kuzua taharuki Sabasaba

    Watu 13 wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mwanza leo, Julai 23, 2026, wakishtakiwa kwa kosa la kushiriki mikutano ya kigaidi, kinyume na Sheria ya Kuzuia Ugaidi pamoja na Sheria ya Kudhibiti Makosa ya Uhujumu Uchumi na Uhalifu wa Kupangwa. Kwa mujibu wa nyaraka za mahakama, inadai...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Nyamagana, Mwanza: Watu 10 washtakiwa kwa kesi ya ugaidi kwa kupanga njama Sabasaba

    Watu kumi wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mwanza wakikabiliwa na mashtaka mazito ya Ugaidi kwenye Kesi ya Kiuchumi Namba 1 ya mwaka 2026. Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP), Sylvester Anthony Mwakitalu, alitoa kibali cha kuwashtaki rasmi mnamo Julai 23, 2026, chini ya Sheria ya...
  14. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Mkakati wa uingiza CHADEMA kwenye maridhiano feki kwa kumtengenezea kashfa feki ya kifedha John Heche umebuma kabla haujaanza!

    HAWASEMI NI FEDHA GANI HIZO ALIZOKULA M/M/KITI CHADEMA JOHN HECHE? KIVIPI NA WAPI? NI MANENO MATUPU YA HEWANI TU! VERY POOR PLANNED STRATEGY!! Nimewaza na kuwazua... Nikajiuliza hivi hizi fedha zinazodaiwa zimeliwa na Mh John Heche na kwamba amezitumia vibaya ni zipi hizo...? Je, ni hizi za...
  15. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania KUMBUKIZI: Ahmed Khalfan Ghailani mtanzania wa kwanza kufungwa gereza la guantanamo kwa kesi ya ugaidi

    Mwamba aliazaliwa Machi 14 mwaka 1974 ni Mtanzania aliyekuwa na kesi ya kushiriki kwenye tukio la kigaidi la al-Qaeda aliyehukumiwa kwa jukumu lake kubwa katika ulipuaji wa balozi nchini Kenya na Tanzania. Alishtakiwa nchini Merika kama mshiriki katika milipuko ya mabomu ya ubalozi wa marekani...
  16. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Serikali itumie njia hii kuwakamata hawa wahuni

    Kuna fedha zinaonekana mitandaoni zinatrend. Mtu mmoja akiwa na akili zake zilizonajisiwa na Ibilisi ameziandika noti hizi . Lengo lake kuhamasisha vurugu na kukataa utulivu. Ok, tuseme hakukusudia kuleta vurugu. Huyu mtu ana kosa la kuiharibu na kuipotezea hadhi fedha ya Tanzania. Hii fedha...
  17. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kutoka Kwa Maria : Wale Masheikh wa Zanzibar waliokuwa na kesi ya Ugaidi wakaachiwa na Samia, Mmoja wao ni huyu wa katikati akiua Watanganyika

    Mnakumbuka Kuna Masheikh wa kizanzibar walikua wakiongoza Kundi la Kigaidi na kupata Ufadhili kutoka Nchi za Waarabu hususani Oman , MAGUFULI AKAWAFUMULIA MTANDAO WAO WOTE. Sasa hivi Karibuni Samia aliwaachia, Kumbe waliachiwa Kwa kazi maalumu ya UCHAGUZI MKUU. Hawa hapa Masheikh wa Zanzibar...
  18. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kosa Vyote ila Sio Akili. Wauaji wanataka Kuwapa Kesi ya Ugaidi Viongozi wa CHADEMA, Mtaupata huo Ugaidi mnaoutaka !!

    Unaweza jiuliza ,Hawa Pimbi vichwani mwao wamejaza matope au nn ?? Yaaan Huko CCM hamna Mmoja mwenye Akili ya kushauri??. Even a corrupted TISS , JWTZ, Polisi , hamna mwenye Akili hata Mmoja awaambie 'Huo ni motoooo kwenye Petroli?'. Haya majamaa ni Majinga mpaka unaweza kuyaonea Huruma...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe kumbuka Wanachadema walienda kanisani kumlilia Mungu uachiwe kwenye kesi ya Ugaidi

    Ndugu Freeman Mbowe, kumbuka kwa miaka takriban 20 ulikuwa kwenye familia inayokupenda, kukuheshimu na hata wengine kuwa tayari kuyatoa maisha yao kwa ajili yako na uongozi wako. Ulipotuhumiwa kwa makosa mabaya kabisa ya kuuza madawa ya kulevya na Ugaidi ni wanachadema waliopambana kukutetea na...
  20. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Masheikh 12 waliochiwa na mahakama kutokana na tuhuma za ugaidi Machi 4 wakamatwa tena na kurudishwa gerezani!

    Wakuu, mambo yameamka huku ==== Jana Machi 4, 2025 Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam chini ya Jaji Kirekiano iliwaachia huru MASHEIKH 12, walio kaa gerezani miaka 10, kwa tuhuma za Ugaidi. Baada ya hukumu hiyo Shura ya Maimamu Tanzania ilitoa taarifa ya kuachiwa huru Masheikh hao. Wakati...
Back
Top Bottom