utulivu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Funny boe

    JamiiForums Tanzania Katika ulimwengu wenye kelele na mambo mengi: Ni jambo gani dogo linalokupa utulivu wa nafsi kwa sasa?

    Habari za wakati huu wana-jukwaa wenzangu, Maisha ya sasa yamekuwa na kasi sana. Kila mmoja wetu anapambana na majukumu, foleni, kazi, na changamoto mbalimbali za kimaisha. Katika mihangaiko hii yote, ni rahisi sana kujisahau na kupoteza ule utulivu wa ndani (inner peace). Lengo la uzi huu si...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ningerudi upya kufanya maamuzi ya ujenzi nikiwa na usafiri wa uhakika, ningejenga km 20 nje ya jiji au manispaa kwenye mji mdogo, utulivu ni wa muhimu

    Post hii haihusu DSM, inahusu majiji mengine na manispaa za mikoani, Ukiishi Dar lazima tu ujifunze ku-adapt maisha ya mjini, hata ukijenga kilometa 40 nje utajikuta kwenye miji mikubwa kama kibaha Kama ningerudi upya kufanya maamuzi ya ujenzi, nikiwa na usafiri wa uhakika, ningejenga kilometa...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Jaku Hashim: Askari wetu wanapaswa kuonekana kwa sura inayowapa wananchi imani na utulivu. Wasivae kininja

    Suala la baadhi ya askari wa vikosi vya usalama Zanzibar kusokota rasta na kuvaa mavazi ya kuficha nyuso zao (ninja) limeibua mjadala mpana katika Baraza la Wawakilishi, huku wajumbe wakitoa mitazamo tofauti kuhusu maadili, utamaduni na utendaji wa vikosi hivyo. Mjadala huo umejitokeza wakati...
  4. G Sam

    JamiiForums Tanzania Unaona kawaida kutangaza watu 518 wameuawa? Unasema utalibeba kwa utulivu? How?

    Kwa mara ya kwanza tunaona kiongozi mkuu wa nchi akisimama hadharani na kuona idadi ya watanzania ambao amewatangaza kuwa wamekufa 518 na zaidi kwake anaona ni jambo la kawaida. Hashtuki! Anapindua meza na kuwabebesha lawama waliouawa kuwa ilikuwa ni haki yao maana walibeba mabomu, bunduki...
  5. loose Nut

    JamiiForums Tanzania Leo kuna hali ya utulivu kila mahali

    Je mmegundua kuna hali ya utulivu majumbani, makazini, vijiweni, mashuleni n.k. Arsenal ingeshinda hii wikendi, Man city kufungwa kusingekuwa na hii hali. Tuzidi kuomba hii hali ya utulivu izidi kuwepo kwasababu wengine pia wakishinda leo usiku kesho amani itatoweka na hakutakuwa tena na...
  6. Mshana Jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ungependa utulivu? Tiba ya bure

    Hii mada ni maalum kwa wenye kupenda asili, ukimya utulivu na wenye kujitafuta kiroho ama kujitakasa Je umeshawahi kutembelea mwituni kwenye "Crystal clear water" yanayotirika kwa utulivu na sauti zenye mirindimo laini sana Sauti ya maji yanayotiririka katikati ya msitu ni moja kati ya midundo...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Papa Leo aahidi kuiombea Tanzania amani na Utulivu

    Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Leo XIV, ameahidi kuiombea Tanzania amani na utulivu, baada ya vurugu za Oktoba 29, mwaka jana, huku akidokeza amewahi kuishi nchini katika mikoa ya Morogoro, Dar es Salaam, Ruvuma na Arusha. Ahadi hiyo ya Papa Leo, imetokana na ombi lililowasilishwa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tukutane hapa tunaojali Utulivu wa nafsi, uliwahi kuacha kitu gani kiende uwe na peace of mind ?

    NIliwahi kuwa na shida ya ajira nikaenda kiwandani nikafurahia kuambiwa ajira zipo bila rushwa lakini nilipoanza kazi siku ya kwanza tulipelekwa godown, ule mziki wa kubeba viroba si wa kitoto, mimi na rafiki yangu tuliacha viatu na hela, pesa tulikuwa tunaihitaji ila sio kwa mazingira yale...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mzee Butiku: Watanzania tujitathmini kwa utulivu baada ya vurugu za Oktoba 2025

    Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), imewataka Watanzania kuendelea kushikamana na misingi ya Taifa, hususan katika kipindi hiki ambacho nchi inatafakari matukio ya vurugu za Oktoba 29, 2025 kupitia Tume iliyoundwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan. Hayo yameelezwa jijini Dar es Salaam leo, Alhamisi...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Faris Buruhani: Bila amani na utulivu hakuna kuoa wala kuolewa

    Wakuu mpoooo!!!! Huyu inatakiwa VAR imulike bongo lake labda kuna chenga chenga 😂 😂 😂 Wanaovuruga amani ni hao wanaong'ang'ania madaraka kiuhalifu ------------- Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Kagera, Faris Buruhani, amewataka wananchi wa mkoa huo...
  11. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Zizini TV: Kwenye zizi la ng'ombe, Chui ndiye Mhubiri mkubwa wa "Amani na Utulivu"?

    Na. M. M. Mwanakijiji Sijui ni 'genius' gani huyo ambaye ameanzisha hili la kuwa "tunataka amani kwanza". Kwa wiki hasa baada ya Oktoba 29 kumekuwa na jitihada kubwa ya kujaribu kugeuza mambo kinyumenyume. Sasa tunaambiwa "amani kwanza" ndio mambo ya "haki" yaje baadaye. Hili sijui limeanzaje...
  12. K

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kutofanyika kwa maandamano na kuwepo utulivu D9 ni nani anapaswa kupongezwa, Serikali au wananchi?

    Wakuu, Kutofanyika kwa maandamano na kuwepo kwa hali ya utulivi na amani nchini Tanzania siku ya tarehe 9 Disemba 2025 ni nani anapaswa kupongezwa, Serikali au wananchi ?
  13. Course Coordinator1

    JamiiForums Tanzania Ukiua utulivu na utimamu wa akili huondoka automatic

    Binadamu ukiua au kumwaga damu ya mtu si rahisi kuwa na akili timamu katika maisha yako yote yaliyo baki kwa sababu kuua kunahusiana zaidi na tendo la hisia, maadili na ubongo wa binadamu. Kwa nini mtu ukiua sio rahisi kubaki na akili zako timamu. 1. Asili ya kimaadili (moral conflict) Watu...
  14. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Uhuru, Amani na utulivu

    Assalam aleykum jami'ya, Tumsifu Yesu kristo. Dunia nzima kila kiumbe kinahitaji Uhuru, Amani na utulivu. Lakini kubwa zaidi tuangazie Uhuru. Uhuru ni nini? Kwa definition fupi ni kwamba Uhuru ni hali ya kujiamulia na kupanga mambo yako bila kubughudhiwa au kupangiwa na mtu. Lakini ni...
  15. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe aendelea kuhamasisha vijana kudumisha utulivu na kutoa taarifa za uhalifu

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Mahamoud Banga, ameendelea kukutana na makundi ya vijana kuhamasisha utulivu na kuwataka waripoti wote wanaofanya uchochezi pamoja na wageni wanaoingia nchini kinyume cha sheria Aidha, amewaeleza vijana hao kuwa kile...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Nimeupenda utulivu wa wakatoliki na hiyo ndiyo dini ya haki ya mwenyezi mungu

    Naona mashambulizi yanatoka kila upande wa wavaa kobaz ,lakin naona wakatoliki wametulia hawana haraka wala hofu , wapo kimya kama hawasemwi na kushutumiwa na hao wauza madawa ya kulevya huu ni ukomavu wa hali ya juu sana na ndio faida ya kuwa na viongozi wa dini wasomi
  17. uhuruborn

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Njia ya Kurejesha Amani na Utulivu Baada ya Matukio ya tarehe 29–31 Oktoba 2025

    Tukio la mauaji na machafuko yaliyotokea nchini Tanzania tarehe 29–31 Oktoba 2025 limeacha jeraha kubwa katika taifa. Wananchi wengi wamepoteza imani, wengine wamepoteza ndugu, na nchi imeingia katika sintofahamu ya kisiasa na kijamii. Katika mazingira kama haya, kuendelea mbele kama kawaida...
  18. figganigga

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dodoma: Samia Suluhu Hassan aapishwa kuwa Rais wa Tanzania awamu ya Sita

    Samia Suluhu Hassan aapishwa kuwa Rais wa Awamu ya Saba wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Shwrehe za kuapishwa kwake zimefanyia Dodoma hii leo 03/Nov/2025
  19. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Tanzania amani na utulivu vimesamia

    Sasa hivi, ukijikuta kwenye hali ambayo hukutarajiia ujue umesamia. Usitafute suluhu bila kuwa ngangari na ngunguru. Hilo ndilo wazo la leo. Msikubali kusamia wala kusamiwa.
  20. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wapiga kura Zanzibar kushiriki kura ya mapema leo Jumanne

    Wapiga kura visiwani Zanzibar leo Oktoba 28, 2025 wanaanza zoezi la kupiga kura katika kile kinachofahamika kuwa ni "kura ya mapema" ya uchaguzi mkuu wa Tanzania. Vituo vya kupigia kura vimefunguliwa kuanzia saa moja asubuhi na kufungwa saa 10 jioni na matokeo ya urais yatatangazwa ndani ya saa...
Back
Top Bottom