bawacha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Elli

    Matukio kwenye Picha: BAWACHA waache sifa sasa, hii sio Sawa!

    Sijapenda kabisa, kuna umuhimu Sana WA BARAZA La WANAWAKE WA CHADEMA kupewa HESHIMA KUBWA. Nimefuatilia nikajulishwa kuwa lile kusanyiko kubwa namna Ile kwa asilimia karibia 75% ni majitoleo ya Wanawake wenyewe. Hakika nimesawajika, nimeumia na chozi la furaha limenitoka. Hongereni Sana Sana...
  2. BARD AI

    BAWACHA wamtaka Spika wa Bunge kuwaondoa akina Halima Mdee na wenzake Bungeni

    Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA) limemtaka Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson kuwaondoa Bungeni Wabunge 19 wa viti maalum wanaodaiwa kuwa wanachama wa CHADEMA, kinyume chake Baraza hilo limetishia kuwahamasisha wanawake Nchini...
  3. Erythrocyte

    Freeman Mbowe kuongea na Waandishi wa Habari kwenye ofisi za Makao Makuu Mapya ya Chama Mikocheni

    Mwamba wa Siasa za kisasa kwenye eneo la Maziwa Makuu ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema ambacho ni Chama kinachoungwa mkono na watu wengi zaidi nchini Tanzania, huku takwimu zikionyesha kwamba kina wanachama hai zaidi ya mil 15, atazungumza na Waandishi wa Habari wa Kimataifa na wa ndani ya...
  4. Suzy Elias

    Halima Mdee: Bawacha vitoto vya juzi

    "....Bawacha wengi wao pale ni vitoto vya juzi kwenye game ambavyo kwa namna vinavyopiga kelele wala sipaswi kuhangaika navyo kwa sababu natambua ngoma ya mtoto huwa kamwe haikeshi." Mheshimiwa Halima Mdee (MB). ========== Dar es Salaam. Wakati Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha)...
  5. chiembe

    Kwanini Chadema/BAWACHA wanaingilia Uhuru wa mahakama suala la akina Mdee? Hawa ndio wanaimba utawala wa sheria?

    Chadema ni wazi kwamba wanajinasibu kwamba wanapenda saaana katiba na utawala wa sheria, na wamekaza shingo na meno wakitaka katiba mpya. Kwa nini wanataka kuingilia Uhuru wa mahakama inayosikiliza kesi ya akina Mdee na kushinikiza wao ndio wawe washindi? Yaani ili haki iwe haki basi inabidi...
  6. comte

    BAWACHA ndoa ya kikristo inavunjwaje na shekhe?

    Sina tatizo na uwezo wa WANACHADEMA kufikiri ila nina mashaka makubwa sana na namna wanavyotumia uwezo wao kufikiri; kwa ujumla wanawaza tu hawafikiri hata kidogo
  7. J

    Kama Mbowe kashindwa kuwaondoa Wabunge 19 bungeni kupitia Maridhiano, BAWACHA ndiyo Wataweza?

    Sema tu nao wameonyesha kumbe maandamano ya amani yanaruhusiwa. Lakini sioni lolote litakalofanyika kama zao au majibu kwa akina mama hao kwani kama Mbowe anayeingia Ikulu mara kwa mara kashindwa ndio wawe Bavicha. Ni vema tu Chadema waendelee kuimarisha Chama chao kuelekea 2025 na wamachame...
  8. Mwl.RCT

    Maandamano Dar: Baraza la Wanawake Chadema [BAWACHA]

    --- Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA) wameandamana mpaka nje ya Ofisi ndogo za Bunge Dar es salaam kushinikiza Spika wa Bunge, Dkt.Tulia Ackson kuwaondoa Wabunge 19 ambao waliapishwa kuwa Wabunge huku wakidai hawakuteuliwa na Chama hicho. Video: BAWACHA wakifanya maandamano Baada ya ofisi...
  9. BARD AI

    BAWACHA wadai wameruhusiwa kuandamana, Polisi yasema inasubiri siku ifike

    Wakati Baraza la wanawake Chadema (Bawacha) likieleza kuwa wameruhusiwa kufanya maandamano kesho, Jeshi la Polisi Kanda Maalum limesema linasubiri siku hiyo ifike. Mei 7, mwaka huu Bawacha walipanga kufanya maandamano ya kushinikiza Spika wa Bunge Dk Tulia Ackson kuwaondoa wabunge 19 ambao...
  10. K

    BAWACHA kuomba kufanya maandamano dhidi ya Spika

    Leo nimeona kupitia youtube kuwa BAWACHA wanatarajia kufanya maandamano dhidi ya Mhe. Spika kuendelea kwa kuwakumbatia Wabunge batili wa CHADEMA 19. Binafsi kama raia mwema wa Tanzania na niliyesoma Katiba yetu na kuielewa nawaunga mkono kwa asilimia 100.
  11. B

    BAWACHA Jimbo la Kinondoni Yamjibu Mbunge Festo Sanga wa CCM

    Kauli ya Mbunge wa CCM Mh. Festo Sanga yapingwa vikali. BAWACHA yasisitiza kuwa CHADEMA inaongozwa na katiba hivyo mbunge wa CCM Mh. Festo Sanga atulie na kuacha propaganda katka kikao cha bunge kinachoendelea mjini Dodoma bali ajikite kujadili mambo ya maana kwa wananchi. Ndugu Festo Sanga...
  12. B

    Maneno haya ya Rais Samia Siku ya Wanawake Duniani aliwalenga nani EAC?

    Hotuba ya Mama jana ikiangaliwa na wengi isingeweza kupita bure. Akijinadi kuwa wenzetu wako vibaya zaidi kiuchumi kuliko sisi, ingepokelewa vipi na majirani zetu? Kwamba mama alikuwa kawalenga nani hohe hahe hao ambao bila sisi wafwa? Imekaaje hii kidiplomasia? Hakuna ulimi ulioteleza...
  13. peno hasegawa

    BAWACHA wamchongea kwa Rais mkurugenzi aliyewatimua wasipande miti

    Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chadema (Bawacha) Mkoa wa Kilimanjaro na mjumbe wa Halmashauri Kuu Taifa, Grace Kiwelu ameeleza mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan namna viongozi wa baraza hilo la wanawake walivyodhalilishwa na kukataliwa kuotesha miche ya matunda katika Shule ya Sekondari...
  14. Erythrocyte

    Je, Rais Samia alijaribu kuwapigia debe Wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA?

    Kuna Tetesi kwamba Mh Rais alijaribu kushawishi Chadema kuruhusu Wabunge waliofukuzwa ndani ya chama hicho kwa usaliti waruhusiwe kuingia kwenye kongamano la Bawacha. Mtoa taarifa hiyo anadai kwamba Viongozi wa Chadema walikataa jambo hilo na kumuambiwa Mh Rais kwamba Jambo la Wasaliti hao...
  15. J

    Maridhiano: Leo TBC kurusha Mubashara Kongamano la BAWACHA mjini Moshi, historia Mpya inaandikwa Mgeni Rasmi akiwa ni Rais Samia

    Awamu zilizopita Ilikuwa siyo rahisi TBC kujihusisha na mambo positive ya vyama vya upinzani. Lakini matunda ya Maridhiano sasa ni dhahiri leo Kongamano la BAWACHA la Siku ya Wanawake Duniani litarushwa live na TBC. Mgeni rasmi ni Rais wa Jamhuri ya mMuungano wa Tanzania Mama Samia. Freeman...
  16. T

    Kitakachofuata kwa Mdee na wenzake baada ya Rais Samia kuhudhuria mwaliko wa kongamano la BAWACHA, kitawaumiza sana CHADEMA

    Keshokutwa ni siku ya wanawake duniani na tayari BAWACHA kupitia Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe.Mbowe wamempa mualiko Mhe.Rais wa kuhudhuria kongamao la BAWACHA. Kwa mtazamo wangu Jambo hilo sidhani kama litawezekana Mhe.Rais kuhudhuria. Kwanza Kongamano hilo litafanyika Kilimanjaro hivyo uwezekano...
  17. S

    Halima na wenzake 18 kuambatana na Rais Samia mkutano wa BAWACHA?

    Najaribu kufikiri kwa kina kuhusu maamuzi haya mawili. Moja ni uamuzi wa chadema kupokea ruzuku inayotokana na wabunge haramu (covid-19). Tafsiri ya uamuzi huu ni kwamba Sasa chadema inawakubali na kuwatambua rasmi covid-19. Je, Halima Mdee na wenzake wakiomba kuhudhuria kongamano...
  18. William Mshumbusi

    NI wakati Sasa wa CHADEMA kuwaomba Fatuma Karume au Maria Sarungi kuongoza BAWACHA

    Nachojua siasa za upinzani zinahitaji mtu asiyeyumba, Asiye na Tamaa na anayejitoa. Kwa harakati wanazofanya hasa kwa kujitoa kwao, Zilivyo logical naamini Kuna sehemu watakipeleka chama mbali. Pia Maria anaweza pia kuanzisha vipindi maalumu kwenye tv vya kuelezea Sera na malengo ya chademà...
  19. Erythrocyte

    BAWACHA yaandaa Kongamano la Join The Chain Temeke

    Labda kwa ufafanuzi kidogo , hasa kwa wageni na wale ambao wanachelewa kuelewa ni Kwamba huu mpango wa kisasa wa Join The Chain ni Mkakati maalum wa Chadema wa kuhakikisha kila Mtanzania mwenye Pumzi anachangia mapambano ya Haki na usawa kwa ajili ya vizazi vinavyokuja. Hii ndio Taarifa yao...
Back
Top Bottom