demokrasia

 1. elivina shambuni

  Uchaguzi 2019 Chama Cha Demokrasia makini chasema tutapata ushindi wa “kisulisuli” katika uchaguzi wa serikali za mitaa

  Chama cha Demokrasia Makini kimesema ili kujihakikishia ushindi wa “Kisulisuli” kwa wagombea wake wote, viongozi wote wa ngazi ya juu ya chama hicho wamegawana kwa kila mmoja kwenda katika mkoa wake na kufanya kampeni kwa kadri wanavyoweza kwa kushirikiana na wagombea pamoja na wanachama...
 2. miss zomboko

  Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe anaumwa na amelazwa katika Hospitali ya Aga Khan

  Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) nchini Tanzania, Freeman Mbowe anaumwa na amelazwa katika Hospitali ya Aga Khan, jijini Dar es Salaam tangu Novemba 17, 2019. Mbowe ni miongoni mwa viongozi tisa wa CHADEMA wanaokabiliwa na kesi ya uchochezi namba 112/...
 3. Mbepo yamba

  Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa kuchaguliwa Desemba 18 mwaka 2019, fomu zaanza kuchukuliwa

  Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambacho ndicho chama kikuu cha upinzani hapa nchini na mabingwa wa demokrasia kwa kuiiishi, leo kupitia Karibu Mkuu Vincent Mashinji, kimetangaza rasmi kufungua mchakato wa kupata wagombea watakaochuana kwa nafasi mbalimbali za uongozi wa chama hicho...
 4. S

  Uganda na Jamhuri ya Demokrasia Kongo zafikia makubaliano ya kuboresha miundombinu baina ya nchi zao ili kurahisisha biashara

  Uganda na Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo zimesaini mkataba wa kufanya maboresho ya miundombinu hasa barabara zinazounganisha nchi hizo mbili katika kipindi cha ndani ya miezi 24 kwa lengo la kukuza biashara na uwekezaji ndani ya nchi hizo mbili. Rais wa Uganda Mh. Yoweri Museven na Rais wa...
 5. Sky Eclat

  IGP Sirro: Niwasisitize tu, wakati wa uchaguzi mtu asithubutu kuandamana, nitakushughulikia pale pale, kama ni suruali yako itachanikia pale pale

  IGP SIRRO ATOA ONYO KUELEKEA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA "Niwasisitize tu, wakati wa uchaguzi mtu asithubutu kuandamana, nitakushughulikia pale pale, kama ni suruali yako itachanikia pale pale kabla hujafika mbali na kwenda kuleta madhara kwa watu wasio na hatia,- Mkuu wa Jeshi la Polisi...
 6. K

  Nimesikitishwa sana na mwendendo wa demokrasia Tanzania

  Tanzania ni nchi kati ya nchi za Africa ambayo inauwezo wa kwenda mbali sana kiuongozi kwenye kila eneo. Tuna rasilimali karibu zote na kwasasa tunaanza kuona jidihata za uwekezaji na uzuiaji wa rushwa. Kitu kimoja ambacho kinaturudisha nyuma na tumerudi nyuma sana ni demokrasia. Nchi yetu...
 7. Elius W Ndabila

  Ni kipi kianze Afrika kati ya demokrasia na maendeleo?

  Na Elius Ndabila 0768239284 Katika mapitio yangu mengi nimeona kuna malalamiko na mijadala mingi juu ya kipi ni muhimu kati ya demokrasia au maendeleo? Wapo wanaodhani demokrasia ni mhimu kuliko maendeleo na wapo wanaodhani maendeleo ni mhimu kuliko demokrasia. Hii imekuwa ni changamoto kwa...
 8. J

  Namuona Mzee Mwinyi kama Baba wa Demokrasia nchini kwani mwaka 1995 kila "aliyestahili" kushinda alishinda bila figisu

  Mwaka 1995 wakati Mzee Mwinyi anamaliza muda wake wa kikatiba kama Rais wa Tanzania alituachia zawadi ya viongozi imara sana. Kiukweli katika uchaguzi ule wa kwanza wa vyama vingi kila aliyestahili kushinda kwa haki alishinda iwe ni kutoka CCM na hata upinzani. Ndio tukawapata akina Dr Slaa...
 9. Roving Journalist

  Amnesty International and Human Rights Watch: Hali ya ukandamizaji wa vyombo vya habari, watetezi wa haki za binadamu na vyama vya upinzani waongezeka

  AMNESTY INTERNATIONAL HUMAN RIGHTS WATCH TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Ukandamizaji wa vyombo vya habari, watetezi wa haki za binadamu na vyama vya upinzani umeongezeka tangu mwaka 2015, zinasema ripoti mbili tofauti za mashirika ya Amnesty International na Human Rights Watch zilizotolewa leo...
 10. LENGISHO

  Uzalendo ni nini ? nani ni Mzalendo?

  UTANGULIZI Uzalendo ni hali ya mtu kuipenda, kuithamini na kujitoa kwa ajili ya nchi yake. Mzalendo wa kweli daima anaweka maslahi ya nchi mbele na ya kwake binafsi nyuma. Kwa maana hiyo hapo juu, mzalendo ni mtu yeyote mzawa na mwenye kuipenda na kujitoa mhanga na saa nyingine ikibidi kufa kwa...
 11. Titicomb

  Siasa za matukio sio japo zinakutoa kwa muda! Wapi shangazi?

  Popote ulipo Shangazi kipenzi cha watu nakusalimu na kukujulia hali. Kwanza unisamehe shangazi kwa uandishi wangu mbovu unao chosha wasomaji. Hii yote sababu nilimkosa kwenye simu anko Pascal Mayalla anipe 'shoti kozi' ya uandishi. Nauliza mbona kimya kingi na huku matukio uliyo kuwa...
Top