Kwa maoni ya wengi kuna vita ya mafisadi na Wazalendo wa Tanzania. Ukiona watu wote wanao ongelea mambo ya kitaifa ya muhimu wanapata shida
1. Warioba na Tibaijuka kutishwa
2. Lissu kufunguliwa kesi
3. Chadema kutafutiwa mizegwe isiyo ya maana
4. Dr Nchimbi kuvuliwa umakamu baada ya kutetea...
Nyie vigogo na machawa huu ndio wakati wenu wa kupiga pesa chafu maana nchi inaongozwa na raisi asiejua kila kitu just to read on writing paper during conference
Tumeshuhudia bajeti za karibu kila wizara imetoa bajeti ya pesa ndefu sana billion 523.3 watu wa burudani na michezo
Tukija kwenye...
Vyama wekeni mifumo rasmi ya kupata pesa ya kuendesha shughuli za vyama! Au Kama Bado mifumo haijawa sawa bora mtahadharishe kabla ya kupokea pesa kwamba hatutaendeshwa nanyi kisa pesa yenu
CHADEMA, Wanaharakati wana nguvu sana maana ndo wanachanga pesa kubwa inayoonekana Ila wanasahau kuwa...
Nawashangaa sana watu wanaoibeza Dodoma , na kujaribu Kuidogosha Kwa mbali Dhidi ya Mwanza.
Kwa mlio na ufahamu na Dodoma ,na Mwanza Mtakubaliana na Mimi kuwa Dodoma inakuwa Kwa Kasi na Inaenda kuipiku Mwanza Kwa kuwa Jiji namba Mbili, baada ya Dodoma kuipiku Arusha Tayari.
Ndani ya Miaka 5...
Usiku wa Desemba 22, 2008, Geneva ilikuwa katika hali yake ya kawaida ya majira ya baridi.
Baridi ilikuwa imetanda. Krismasi ilikuwa karibu. Mji ulikuwa ukijiandaa kwa sikukuu, huku katika majengo ya kifahari ya benki za Uswisi, fedha za matajiri wa dunia zikiwa salama nyuma ya milango...
Kiufupi hii nchi Kwa Sasa Kuna watu wamepata pesa nyingi sana ,kupitia ufisadi wa kiserikali kuliko walivyopata pesa nyingi kupitia madawa ya kulevya huku nyumba, huko zikiwa zote hizi ni utakatishaji wa Fedha
Sasa wanasiasa waizi, na washirika wao wanapesa nyingi sana na sio kwamba ni ma drug...
Ndugu watanzania, husikeni na kichwa cha habari.
Kazi iliyotukuka ya makamu mwenyekiti wa chama pendwa CHADEMA, inahitaji kuungwa mkono na kila mzalendo yoyote popote alipo.
Ni wakati sasa kuwaonyesha hawa watesi, wauwaji, wafiraji, watekaji na waporaji wa mali za watanganyika kuwa tunaitambua...
WATU wana ishi Kuna yule mshamba wa Singapore anatukana watu humu hua namdharau tu dollar 12 elfu bro sio hela hiyo Kwa nchi za nje ungekua bongo walau.
Huyu dada kajua kitumbua pesa dadeki hallooooo, wanangu eehh ukipata short cut pita Mzee maisha ya juhudi na bidiii achia wakongwe.
Pesa tu...
Leo kujiiita eti jeshi la wananchi wananchi ni dharau kwa watanzania. Hili ni jeshi linalo angalia mauaji na kuchekelea ya walala hoi wa kawaida.
Badala ya kulinda mipaka na katiba jeshi linalinda mafisadi tu. Inabidi kufanyike mapinduzi ndani ya jeshi kwanza.
Jeshi linatakiwa nalo lisaidie...
Ilianzia Kenya mwaka 2024 baada ya kupitisha Muswada ambao ulionekana kuwa dhalimu wa finance bill.Sitaki kwenda mbali sana juu ya huu muswada wa Kenya.
Najikitika zaidi juu ya maandano yaliyo ya Gen Z mwaka 2024 ambapo Gen waliandama na kuvamia Bunge la Kenya na kula chakula cha kantini ya...
Nchi nyingi za Afrika zimekuja na katiba mpya ila imekua ni ngumu sana kwa hizo katiba kutamka waziwazi kuwashughulikia mafisadi ama kwa kuwafunga au kuwanyonga
Ni ngumu sana kwa nchi ya Afrika kusikia high profile politician ambaye ni fisadi kufungwa au kunyongwa kwanini inakua hivi
Sababu...
Lissu kashindikana mafisadi watajaribu kila njia . Asiamini hata watu ndani ya Chadema. Hawawezi kumshinda kwa hoja, kukubalika kwenye jamii, akili, kutokuwa fisadi, na kujitoa muhanga.
Hivyo wanajaribu kumuuwa mtu ambaye maisha yake yote anapigania haki
Kwa wanaopenda Tanzania tuko katika wakati mgumu sana kama nchi . Washauri wabaya na uvivu na kujiachia kizanzibari sasa Mama ambaye alikuwa maua yenye harufu nzuri 2021-2022 sasa maua yamekufa kabisa ni lazima yaote upya au tuoteshe mengine. Haya maua ni too late sasa
Huo ndio ukweli wenyewe. Hapo Mwanza zilitembe risasi mithiri ya watu wapo Vietnam.
Ghana, kilimahewa, Ilemela na maeneo yote ya Mwanza yalichafuka. Mijegejo ilimiminwa kama vile watu wapo Vietnam.
CHADEMA nendeni Mwanza mkawape pole wananchi wa Mwanza. Mueleze ukweli tofauti na tume ya Jaji...
Pamoja na ubaya mkubwa wa ufisadi katika maendeleo ya nchi kwa nini hakuna nchi hata moja ya Africa iliyoweka adhabu ya kifo kama China kuthibitisha dhamira kubwa ya kupambana na ufisadi?
Aibu kubwa kwa CCM kwa kuwa na Mwenezi wa taifa ambae ana hoja zisizo na masshiko kama hizi.
Hajui hata Tanu ilipokuwa chama cha ukombozi kilichangiwa na wananchi?
CCM inachangiwa na wafanyabiashara mafisadi wasiolipa kodi. Amesahau juu ya bil 200 za uchaguzi walizochangiwa CCM na bado...
Kumekuwa na 'wave' ya mtu anayejiita mfanyabiashara Rostam Aziz kujitokeza kwa uwekezaji mkubwa ktk nchi. Ghafla uwezo wa Rostam umekuwa kwa kasi sana!
Rostam Aziz ni jina la kibubu cha wanasiasa marafiki ktk serikali ya JK na hii ya lita 8,000. Wakubwa hawa wanachota pesa ya serikali na...
Nyerere akaondoshwa, Mkapa akaondoshwa, Magufuli akaondoshwa , Makamo Isidori akaponea chupuchupu, Sahizi kabakia Nchimbi ambaye kama Kanisa kwa kutumia Vyombo vyake, likishindwa kumlinda, naye anaondoshwa
Unajiuliza, ilikuaje Kanisa likashindwa Mlinda Magufuli?.
Haya Kanisa linashindwaje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.