gavana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Papaa Mobimba

    UZUSHI Rais Museveni amteua mwanaye Natasha Museveni kuwa Gavana wa Benki Kuu ya Uganda

    Nimeona taarifa hiyo kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii kuwa mwanaye huyo ameteuliwa kuwa Gavana wa Benki Kuu ya Uganda. Wengi wamehusisha uteuzi huo kuwa ni kuimarisha familia yake ambapo Mkewe Mama Janet Museveni ni Waziri wa Elimu kwenye Serikali, Mwanaye wa Kwanza Muhoozi ni Mkuu wa...
  2. B

    Balozi wa Tanzania nchini Kenya Dkt. Kibesse amefanya ziara Kaunti ya Kisumu

    Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Mhe. Dkt. Bernard Kibesse amefanya ziara katika Kaunti ya Kisumu ambapo pamoja na mambo mengine, amekutana kwa mazungumzo na Gavana wa Kaunti ya Kisumu – Kenya, Mhe. Prof. Peter Nyon’go, tarehe 8 Februari 2024. Balozi Kibese na Gavana Nyong’o wamekubaliana...
  3. The Evil Genius

    Gavana wa California asema kumuengua Trump kabla ya kura sio demokrasia

    Juzi makahama kuu ya jimbo la Colorado ilipitisha hukumu ya kumuondoa Trump kwenye uchaguzi kwenye hilo jimbo mwaka 2024. Jana wajumbe wa jimbo la California walipnlendekeza Trump aondolewe pia kwenye makaratasi ya kupigia kura kwenye uchaguzi ujao wa 2024. Jimbo la California na Colorado ni...
  4. BARD AI

    Gavana wa Benki Kuu ya Nigeria aliyejiuzulu kwa Rushwa awekwa Rumande

    Taarifa iliyotolewa na Serikali imesema Bosi huyo wa zamani, Godwin Emefiele ameshtakiwa kwa makosa ya Ubadhirifu katika Manunuzi wakati aalipkuwa Gavana wa Benki Kuu, hivyo tarativu za Kesi na Dhamana zitasikilizwa Novemba 22, 2023. Hata hivyo, Mahakama ilimkuta hana hatia kwenye makosa...
  5. R

    Tetesi; Naibu Gavana wa BOT avunja mkataba wa ajira na kwenda Burundi

    Bujumbura wanasema moja wa manaibu Gavana wa Tanzania yupo mbioni kujiunga na benki kuu ya Burundi kwa donge nono. Je, nini sababu iliyompelekea kufanya maamuzi haya?
  6. BARD AI

    Gavana wa Benki Kuu ya Burundi akamatwa kwa tuhuma za Ufisadi na Utakatishaji Fedha

    Wizara ya Sheria imethibitisha kukamatwa kwa Dieudonne Murengerantwari ikiwa ni siku chache tangu afukuzwe kazi Oktoba 8, 2023 akidaiwa Kudhoofisha Uchumi wa Taifa hilo, Kujihusisha na Rushwa, Utakatishaji Fedha na Ubadhirifu wa Mali za Umma. Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jenerali Leonard...
  7. K

    Gavana Tutuba tueleze kwanini kuna uhaba wa Dola nchini

    Inaelekea hata Benki Kuu yetu haina lengo kwenye ajira. Angalieni wenzetu, kuna upungufu mkubwa wa dollar lakini hakuna maelezo ya kueleweka mpaka leo. - Mapendekezo kutatua tatizo la Dollar Tanzania BOT The primary objective of the Bank is to formulate, define and implement monetary policy...
  8. BARD AI

    Mike Sonko kuchunguzwa kwa kutumia Walinzi 33 na kuwalipa Tsh. Milioni 68 ndani ya siku 22 akiwa Gavana

    Kamati ya Uchunguzi ya Bunge la Seneti Nchini Kenya imeitaka Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) kumchunguza Gavana huyo wa zamani wa Jiji la Nairobi kutokana matumizi mabaya ya Fedha za Umma. Sonko anadaiwa kuwalipa Maafisa 33 waliokuwa wakimlinda wakati akiwa Ziarani Jijini Mombasa...
  9. LUSAJO L.M.

    NADHARIA Kifo cha Gavana Gilman Rutihinda

    Katika pita pita zangu mitandaoni leo nimekutana na "Twit" inayosema kwamba Gavana wa BOT Gilman Rutihinda (1989 - 1993) alifariki kutokana na ajali ya gari mwaka 1993 kama hii tweet inavyojieleza: Hata hivyo kuna article ya Mwaka 2011 hapa katika Forum inayoelezea kifo cha Gavana Rutihinda...
  10. MK254

    Zamu ya Warusi kuwa wakimbizi, gavana aomba raia wasirudi, hali tete Belgorod

    Haijatokea siku nyingine supapawa anavamiwa ndani hadi raina wanakimbia makwao na kuwa wakimbizi. ======= Authorities in Russia's Belgorod region said a "counter-terrorism operation" was ongoing after a sabotage group from Ukraine crossed the border. DW has the latest. The governor of...
  11. BARD AI

    Kenya: Gavana aagiza Wafanyakazi kutoa 10% ya Mishahara yao Kanisani

    Gavana wa Kenya amewaamuru watendaji wapya wa kaunti kutoa sadaka ya 10% kutoka kwenye mapato yao kwa kanisa. Gavana wa Nandi Stephen Sang alisema agizo hilo linahitajika kwa sababu makanisa ya eneo hilo yanahitaji uungwaji mkono kutoka kwa viongozi na serikali ya kaunti. "Maafisa wakuu...
  12. Messenger RNA

    Gavana wa Taliban auawa katika ofisi yake

    TalibanCopyright: Taliban Gavana wa Taliban Muzamili aliuawa katika ofisi yakeImage caption: Gavana wa Taliban Muzamili aliuawa katika ofisi yake Gavana wa Taliban wa jimbo la Balkh kaskazini mwa Afghanistan ameuawa katika shambulio la kujitoa mhanga linalodaiwa na kundi la Islamic State (IS)...
  13. Naanto Mushi

    Mitihani mikuu mitano kwa gavana mpya wa BOT – Emmanuel Tutuba

    Kwanza kabisa, Tanzania tumekuwa tukipata magavana wa benki kuu ambao walibarikiwa kuwa na taaluma nzuri kwenye masuala ya kiuchumi, na pia upande wa sheria kwa kumuangalia Prof Luoga ambaye amemaliza muda wake. Hawa magavana ni watu walikuwa very intelligent, lakini pamoja na kuwa ‘very...
  14. Kijakazi

    Gavana wa Benki KUU Tanzania!

    Gavana mpya Tutuba! Tutuba holds an advanced Diploma economic planning and MBA in corporate management from Mzumbe Uni vs Luoga a tax law Professor who (Luoga) is accredited for helping Tanzania attain macroeconomic stability, …by Bloomberg. --- Tanzania’s President Samia Suluhu Hassan...
  15. R

    Gavana wa BOT amemaliza muda wake au amestaafu?

    Rais amemteua Gavana mpya Kwa taarifa kwamba aliyekuwepo amemaliza muda wake. Lakini kiutumishi au kiutendaji kumaliza muda wako kwaweza maanisha kwamba bado ana umri wakuhudumu lakini mkataba wake BOT umeisha hivyo anarejea KAZI yake ya awali. Au alishastaafu akaongezewa muda na kipindi...
  16. HIMARS

    Emmanuel Tutuba ateuliwa na Rais Samia kuwa Gavana wa Benki Kuu (BoT)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi kama ifuatavyo; 1) Amemteua Bw. Emmanuel Mpawe Tutuba, Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango kuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT). Bw. Tutuba anachukua nafasi ya Prof. Florens Luoga ambaye amemaliza...
  17. B

    Gavana wa Meru kuisafisha county toka kwa cartels

    20 October 2022 Meru, Kenya Gavana Kawira Mwangaza ameapa kuikomboa County ya Meru toka mikononi mwa vikundi vilivyozowea kujineemesha kinyume cha sheria. Akiongea kuhusu azma yake ya safisha safisha amebainisha vita hiyo ya ukombozi kutoka minyororo ya cartels itasabanisha vilio na mayowe...
  18. Execute

    Onyango amefungwa spidi gavana miguuni?

    Kuna muda nilishangaa sana alipokuwa anakimbilia mpira halafu akapitwa na mtu kutokea mbali sana. Anyway, kinachomsaidia ni kucheza kwa akili maana isingekuwa hivyo mambo yangeharibika. Ila sijui kwenye makundi ya CAFcl itakuwaje.
  19. ESCORT 1

    Noti yako ya kwanza kutumia ilikuwa na saini ya Gavana yupi?

    Wakati unaanza kupata ufahamu wa kujua noti za Tanzania na kuzitumia, zilikuwa na saini ya gavana yupi?
  20. K

    Gavana wa kaunti ya Mombasa atamba Magufuli amerudi, sasa ni kazi tu

    Gavana wa kaunti ya Mombasa nchni Kenya aliyeapishwa juzi amesema uchaguzi umekwisha na sasa ni kazi tu, huku akiwahakikishia Wakenya kuwa marehemu Magufuli amerudi nchini humo kwa hiyo watarajie kuona taifa lao likipaa kiuchumi kwa spidi kubwa. Sikiliza mwenyewe video hii.
Back
Top Bottom