Search results

  1. BAKIIF Islamic

    Video: DRC itakuwa ni jeshi dhaifu kama inapokea wapiganaji namna hii katikati ya uwanja wa vita. M23 na Kikundi cha magaidi wameitesa DRC siku ya leo

    MASISI DRC: Mtu 1 amekufa (msichana mdogo) na kujeruhiwa katika kuanguka kwa bomu jipya karibu na Sake Alhamisi hii, Aprili 4, 2024. Bomu hilo limerushwa na wapiganaji wa M23 kutoka vilima vya BWEREMANA na Muremure. ..... Pia mbali na M23 kuna Kikundi cha magaidi ambao wanajinasibisha na...
  2. BAKIIF Islamic

    Balozi zote za Israel duniani kote haziko salama tena kuanzia sasa, anaonya Kayhan, msemaji wa Kiongozi Mkuu wa Iran. Mapigo yatakua nje na ndani

    Third World War Info -Balozi za Israel duniani kote haziko salama tena, anaonya Kayhan, msemaji wa Kiongozi Mkuu wa Iran Khamenei. -Licha ya Iran kuendelea kupanga namna itavyoshambulia na kuimaliza Israel, Iran imeongeza tena mipango yake yaapa kulipiza kisasi kushambulia balozi zote za...
  3. BAKIIF Islamic

    Israel imefungua vituo vya kujikinga kwa mabomu mjini Tel Aviv, ikihofia mashambulio ya makombora ya Iran

    Rais wa Iran Ebrahim Raisi ametoa wito kwa nchi zote za Kiislamu kuungana dhidi ya Israel. Hali ya mtaa huko Haifa nchini Israel na kufurika kwa wa-Israel kuelekea vituo vya kujikinga na mabomu Hofu imetawala: Israel imebana GPS katika viwango vya juu zaidi katika eneo lake kwa hofu ya...
  4. BAKIIF Islamic

    Iran inaripotiwa kupanga kushambulia Israel kwa kutumia ndege zisizo na rubani

    Iran inaripotiwa kupanga kushambulia Israel kwa kutumia ndege zisizo na rubani na makombora makali zaidi na yenye kusafiri kwa kasi na mlipuko mkubwa kuliko kawaida kulenga maeneo ya kimkakati ndani ya Israel. -Mifumo ya vita vya kielektroniki vya Iran inasonga mbele karibu na Ghuba ya Uajemi...
  5. BAKIIF Islamic

    Vita sasa inaanza rasmi: Kiongozi Mkuu wa Iran ameamuru jeshi kuiadhibu Israel

    "Utawala mbovu wa Israel utaadhibiwa kwa mikono ya watu wetu mashujaa," alihitimisha. Kiongozi Muadhamu wa Iran Ayatollah Seyed Ali Khamenei: “Utawala mbovu utaadhibiwa na mikono ya watu wetu mashujaa. Kwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu, tutawafanya wajutie uhalifu huu na mengine yanayofanana na...
  6. BAKIIF Islamic

    Video ya kuogofya: Jambazi alivyopigwa risasi shingoni wakati alipovamia benki.

    CCTV Crime News Mwisho wa Video ya pili utamuona namna alivyoingia benki kama mlemavu vile. ................ Hii ilikuwa San Mateo, huko Maranhao, Brazil na huyu ndiye mhusika lakini alikufa. Jina ni: Nilton César Silva Aguiar. .... Hapa aliingia Benki kama mlemavu ..... Hili hapa pigo...
  7. BAKIIF Islamic

    Jamaa aliyechoma Qur'ani Tukufu Salwan Momika, amekutwa amekufa nchini Norway

    Salwan Sabah Matti Momika ni mkosoaji wa Uislamu. Anajulikana kwa kupanga maandamano nchini sweden ambapo alichoma Quran hadharani. Momika alizaliwa katika familia ya Kikristo, lakini alibadilika na kua mtu asiyeamini uwepo wa Mungu. Mnamo 2023, Momika alipanga mfululizo wa maandamano kama...
  8. BAKIIF Islamic

    Al-Ahly inamaanisha "Taifa", hivyo unaweza kuita 'Club ya kitaifa' Hizi hapa Timu za kiarabu na maana zake

    (1) Jina la 'Al-Ahly SC' Jina lilipendekezwa na Amin Samy Amin, ambaye alipendekeza kuwa jina hilo ni sawa na neno "taifa" katika Kiarabu cha Misri. Lengo la jina ni kuwahudumia wanafunzi na wahitimu wa shule ambao walikuwa mhimili mkuu wa mapinduzi dhidi ya uvamizi wa Uingereza nchini Misri...
  9. BAKIIF Islamic

    Msiogope hizi Tahasusi za form 5 na 6, katika Uislamu, hakuna mgawanyo wa 'Elimu Dunia' na 'Elimu Akhera'

    Mgawanyo wa Elimu usiokubalika katika uislamu (Usio sahihi) -Katika uislamu, HAKUNA mgawanyo wa Elimu Dunia na Elimu Akhera -Mgawanyo huu ni potofu wenye dhana ovu kua kuna maisha ya dini yanayoongozwa na Mwenyezi MUNGU na maisha ya Dunia yanayoongozwa na binadamu Katika uislamu elimu maana...
  10. BAKIIF Islamic

    Uislamu ulifika Afrika na kukubalika vyema kabla ya mji wa Makka (Saudia)

    Katika mwezi Mei 614 CE, Muhammad (s.a.w) aliwashauri idadi fulani ya wanafunzi wake wa kwanza, waliokuwa wakikabiliwa na mateso kutoka kwa wakaaji washirikina wa Mji wa Makka (Saudia), kutafuta kimbilio ng'ambo ya Bahari Nyekundu huko Axum. Katika utamaduni wa Kiislamu, tukio hili...
  11. BAKIIF Islamic

    Wakati mwingine huwa sio busara kukaa kimya hasa kwa jambo linalokushutumu

    Kuna wakati mtu anaweza kukutendea ubaya na ukajikuta umejibu mapigo kwa kugomba na kuropoka maneno mengi makali, kwa wakati huo unaweza usitambue na nafsi yako kuridhika kwa maneno hayo, lakini baadae maneno hayo yakawa mabaya na kukuharibu kiasi cha kujutia. Ila Kama unadhani ukikaa kimya...
  12. BAKIIF Islamic

    Elimu ya dini iwekewe mkazo mashuleni na iwe ni somo la lazima kuanzia shule ya msingi hadi chuo kikuu

    Maadili hutoa maana au muundo dhahiri wa maisha ya mwanaadamu, Maadili ni kanuni fulani za msingi ambazo zinapaswa kushikiliwa katika maisha. Maisha ya kuishi bila maadili hatimaye mtu ataishia kuhisi kutoridhika, kuhisi mwenye hatia na huzuni. Kama mtoto asipolelewa bila sheria ni haraka zaidi...
  13. BAKIIF Islamic

    Usimvalishe mwanao wala usishike ile kofia nyekundu ya Krismasi, Babu yule amaeingizwa kimakosa kwenye sherehe za Krismasi

    Kofia nyekundu ya Baba Krismasi Santa Claus' Kama viumbe visivyokuwa binaadamu aliens watafika duniani katika wakati wa Krismasi, bila ya shaka wataamini Krismasi kuwa ni sherehe ya kufurahikia kuzaliwa kwa Baba Krismasi Santa. Majina ya ‘Santa Claus’, hayamo popote ndani ya Biblia. Hata...
  14. BAKIIF Islamic

    Yaliyofichika kwenye Mti wa Krismas, usithubutu kuununua

    Mti ulio bora wa Krismasi unanunuliwa. Ukipambwa kwa madoido yenye kung’ara pamoja na kumetameta, unasimamishwa karibu na dirisha. Maduka yanajazana wanunuzi wakisaka zawadi na vile viduchu vinasubiri kwa hamu kubwa ya Baba Krismasi Santa. Ni mshughuliko na ni homa ya Krismasi 'Christmas fever...
  15. BAKIIF Islamic

    Krismasi ni likizo ya kipagani, Yesu hakuzaliwa December 25

    Hakuna ushahidi wa kutosha wa kuthibitisha kuwa Nabii Isa AS alizaliwa tarehe 25 Disemba na ndio maana baadhi ya makundi ya Wakristo yanaamini kuwa Nabii Isa AS alizaliwa tarehe 6 Januari. Wakristo wa Orthodox kama vile wa nchini Ethiopia wao wanaamini kuwa Nabii Isa AS alizaliwa tarehe 7...
  16. BAKIIF Islamic

    Namna ya kuiongoza akili katika kufikiri

    Akili yahitaji kuongozwa katika kufikiri baada ya kuboreshwa, Itatumika wapi? na kwa maslahi ya nani? na kwakujenga lipi? akili ile itatumika.! na vipi mwanaadamu atajizoezesha kukabiliana katika miamala yake kwa vipimo vya akili..! Qur'an imelaumu sehemu kadhaa wa kadha kuhusu fikra ya watu...
  17. BAKIIF Islamic

    Picha inayohusishwa kuwa ni Joshua akiwa katika gwanda za Jeshi la Israel

    Jeshi la Hamas ni nadra sana kuvaa kiraia, pia huficha nyuso zao kamwe hazionekani. Lakini wauwaji wa Joshua walikua hawana nguo za jeshi wamevaa kiraia na pia nyuso zao zilikua wazi. Kwanini Hamas hufunika nyuso zao? Hamas daima hufunika nyuso zao. Watu hawa, ambao hawajajulikana ni wakina...
  18. BAKIIF Islamic

    Palestine na mifano ya chuki za kidini

    Ukizungumza jambo kama Muislamu, asiyemuislamu anakuweka daraja gani katika kukusikiliza? Je, anakusikiliza kwa kuwa anaamini unaweza mpa kitu ambacho anaweza faidika nacho au anakusikiliza tu ili umalize kuzungumza yeye ana mawazo yake kuhusu hayo unayozungumza. Mara nyingi ukiwa Muislamu...
  19. BAKIIF Islamic

    Hili ndio ombi maalumu la Mussa kwa binadamu kuondolea adhabu ya moto wa Jahannam

    Naam, Siku moja Nabii Mussa (a.s) alimueleza MUNGU yakwamba; Ewe Mwenyezi MUNGU nina maombi nataka nikuombe. Mungu akamjibu, omba ombi lako lolote Mussa, mimi nitakujibu. Mussa akamueleza Mwenyezi Mungu Ewe mwenyezi Mungu, ninakuomba hizi habari za kuwachoma watu kwenye moto siku ya mwisho...
  20. BAKIIF Islamic

    Ukimuomba pesa rafiki yako anakusaidia kwa haraka, lakini kila akikuomba kwako huna kitu.

    Na mwingine anasaidia sana rafiki zake na jamaa zake wanapopata anguko la uchumi, lakini likija upande wake hawamsaidii, akikwama anakwama kwelikweli. Katika uislamu tumefundishwa kwamba mkopeshaji ''mwenye kukopesha'' anathawabu nyingi kulikoni mwenye kutoa sadaka. Yaani wewe kama 'Umemkopesha...
Back
Top Bottom