Video ya kuogofya: Jambazi alivyopigwa risasi shingoni wakati alipovamia benki.

BAKIIF Islamic

JF-Expert Member
Jul 11, 2021
594
1,827
CCTV Crime News



Mwisho wa Video ya pili utamuona namna alivyoingia benki kama mlemavu vile.


................

Hii ilikuwa San Mateo, huko Maranhao, Brazil na huyu ndiye mhusika lakini alikufa.
Jina ni: Nilton César Silva Aguiar.

1712053250886.png

....
Hapa aliingia Benki kama mlemavu

1712053903074.png

.....
Hili hapa pigo la kwanza, askari alipigwa risasi ya kifua, bahati nzuri askari alikua amevalia bulletproof ya kuzuia risasi, hivyo haikumpiga

1712053977746.png

....
Pigo la pili, askari alirudisha mapigo na kumpiga jambazi sehemu ya kifua.

1712054168130.png

................
Baada ya jambazi kupigwa ya kifua akainama kisha akapigwa nyingine ya shingo

1712054895076.png

........
Jambazi kipindi anapiga alikua akimsogelea askari, ndipo askari akainama chini ya meza ili afanye counter kumzungukia kwa nyuma, lakini jambazi lilisogea hadi usawa wa meza na likampiga askari risasi ya uti wa mgongo ili kumpa-paralysis. Ambapo hata hivyo haikumpata ila ilimchubua mkono wa kushoto.

Screenshot (224).png


Jambazi alifia mlangoni kwa kuvuja damu shingoni. Baada ya jambazi kudondoka utawaona wahudumu wa benk wakikimbilia ndani na mlinzi akirudi ulingoni. Kwa hivyo Hakufa wala kujeruhika mtu, ispokua mlinzi ilimchuna mkono wa kushoto.
....
Jambazi alifanikiwa kukwepa hatua za usalama za benki kwa kutumia sahani ya chuma kwenye mguu wake kama mlemavu wa mguu wa kushoto ili kuweza kuingia ndani na bunduki bila kulazimika kupitia mlango mkuu wa ukaguzi.
 
CCTV Crime News

View attachment 2951527

Video ya pili namna alivyoingia benki kama mlemavu vile.

View attachment 2951544
................

Hii ilikuwa San Mateo, huko Maranhao, Brazil na huyu ndiye mhusika lakini, alikufa.
Jina ni: Nilton César Silva Aguiar.

View attachment 2951517

Jambazi Aalijaribu kumrudia mlinzi huyo lakini alimpiga risasi ya mkono tu na mlinzi alinusurika. Mwili wa mwanadada huyo ulikuwa ukiwa na damu kwenye eneo la tukio. Siku mbaya kwa wafanyakazi wa kusafisha.


Hii ilikuwa San Mateo, huko Maranhao, Brazil na huyo ndiye mhusika lakini, alikufa.
Hapa aliingia Benki kama mlemavu

View attachment 2951556
.....
Hili hapa pigo la kwnza, askari alipigwa risasi ya kifua, bahati nzuri askari alikua amevaa bulletproof ya kuzuia risasi, hivyo haikumpiga

View attachment 2951561
....
Pigo la pili, askari alirudisha mapigo na kumpiga jambazi sehemu ya kifua.

View attachment 2951574
................
Baada ya jambazi kupigwa ya kifua akainama kisha akapigwa nyingine ya shingo

View attachment 2951596
........
Jambazi kipindi anapiga alikua akimsogelea askari, ndipo askari akainama chini ya meza ili afanye counter kumzungukia kwa nyuma, lakini jambazi lilisogea hadi usawa wa meza na likampiga skari risasi ya uti wa mgongo. Ambapo hata hivyo haikumpata ila ilipiga mkono.

Jambazi alifanikiwa kukwepa hatua za usalama za benki kwa kutumia sahani ya chuma kwenye mguu wake kama mlemavu wa mguu wa kushoto ili kuweza kuingia ndani na bunduki bila kulazimika kupitia mlango mkuu.
Kama muvi aisee

Uhalifu umelipa hapo
 
Response ya Mlinzi ilikua very fast,
kilichomsaidia ni kuwa at the right place with right tools and Right Mind, najaribu kuimagine hawa walinzi Bongo Darisalaam unamkuta kabeba kirungu, filimbi na smartphone kubwa anaangalia tiktok tungetoboa kweli ?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom