tahasusi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Tahasusi mpya zakosolewa na Maprofesa wa lugha na Fasihi

    Wabobezi ktk fani ya lugha Profesa Aldin Mutembei UDSM, Prof. Mabala na Prof. Raymond Mosha wa chuo nchini U.S.A wajitosa katika mjadala mzito wa TAHASUSI / COMBINATION mpya zinazotegemea kuaza kutumika https://m.youtube.com/watch?v=bnGuW-H_OeY Yalitakiwa wajadiliwe kwa upana ili umma mpana...
  2. JanguKamaJangu

    Matinyi: Tahasusi mpya za dini shuleni, kinachofundishwa ni maarifa ya dini sio imani

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi akielezea sababu ya Serikali kujumuisha Tahasusi za masomo ya Dini katika ngazi ya Elimu ya Sekondari baada ya mwongozo kutolewa hivi karibuni kuhusu masomo hayo.
  3. BAKIIF Islamic

    Msiogope hizi Tahasusi za form 5 na 6, katika Uislamu, hakuna mgawanyo wa 'Elimu Dunia' na 'Elimu Akhera'

    Mgawanyo wa Elimu usiokubalika katika uislamu (Usio sahihi) -Katika uislamu, HAKUNA mgawanyo wa Elimu Dunia na Elimu Akhera -Mgawanyo huu ni potofu wenye dhana ovu kua kuna maisha ya dini yanayoongozwa na Mwenyezi MUNGU na maisha ya Dunia yanayoongozwa na binadamu Katika uislamu elimu maana...
  4. D

    Maoni: Tahasusi mpya zimelenga kuwabeba waislamu hasa Wazazibar kuongeza ufaulu

    Ukiangalia kwa makini tatizo la elimu ya Tanzania sio tahasusi au masomo mapya. Mtu anayesoma islam kuna degree gani inayo shabihiana na islam kwenye vyuo vikuu vyetu!? Bora hata divinity mtu atasema anaenda kuchukua philosophy na haina uhusiano na ukristo wa moja kwa moja. Hizo ni cutting...
  5. mgt software

    Ninayo sababu kupinga mpangiliao wa Tahasusi mpya Kidato cha tano na sita

    1. Serikali haishirikiani na viongozi wa dini kwa upande wa imani bali madhehebu ya dini (institutions) kwa upande wa huduma za jamii, sheria, compliance with secularism na kadhalika (tangibles). 2. Unazungumzia dini kama taaluma au dini kama imani? 3. Secular state haiwezi kujiingiza kwenye...
  6. Kaka yake shetani

    Mlikuwa mna maana gani kwenye tahasusi ya elimu za dini kutumia Divinity?

    Kuna sehemu kama inaonekana wa kristo wamekosewa heshima kuwekwa kwenye kundi divinity maana yake ni uungu. Mean A divinity is a religious being, like a god or angel. It's also a word for the study of religion, which is studied at divinity school. If you know the word divine means holy or...
  7. BARD AI

    Serikali yaanzisha Tahasusi (Combination) mpya 49, sasa zitakuwa 65

    Serikali kupitia TAMISEMI imetoa fursa kwa Wahitimu wa kidato cha nne mwaka 2023 kuongeza au kufanya marekebisho ya machaguo mapya ya tahasusi (combination) baada ya kuongezwa kwa tahasusi mpya 49 kutoka 16 zilizokuwepo awali na kufanya tahasusi za kidato cha tano kufikia 65. Akiongea leo...
  8. Chachu Ombara

    Nini dhumuni la Serikali kuanzisha tahasusi hii ya biashara ikiwa na somo la 'Islamic Knowledge'?

    Serikali kupitia TAMISEMI imetangaza ongezeko la tahasusi mpya kadhaa ambazo vijana wetu watatakiwa kusoma, nimeona nyingi haziridhishi labda zimewekwa kimkakati. Moja ya tahasusi, si kwa ubaya, ila nadhani wengi tungependa kufahamu kuhusu hii combination mpya ya Biashara inayojumuisha masomo...
  9. S

    Kama kuna mwanafunzi anasoma tahasusi CBG na HGE imekula kwake. NECTA yazifuta rasmi

    Ndiyo. Habari ndiyo hiyo. NECTA imezifuta rasmi combinations za CBG na HGE. Tafuta utaratibu mwingine kama ulikiwa unasoma hizo combinations. Nimemaliza!
  10. Influenza

    Mtaala wa Elimu 2023 (Kidato V na VI): Tahasusi zafutwa, nyingine kama HGFa, KArCh, KTeFi zaongezwa

    Katika Mtaala wa Elimu wa Kidato cha V na VI 2023 umefanya mabadiliko ya Tahasusi ambapo Tahasusi katika Kidato cha V na VI zimegawanywa katika maeneo saba ya ujifunzaji ya Sayansi ya Jamii, Lugha, Elimu ya Biashara, Sayansi, Michezo, Sanaa na Elimu ya Dini. Idadi na aina ya tahasusi zitapitiwa...
  11. Felice6

    Kuhusu kubadilisha tahasusi (Combination)

    Habari za muda huu wakuu Mdogo wangu alimaliza kidato cha nne mwaka jana ambapo ndiyo wamepangwa kidato cha tano. Amepangiwa Combination ya HKL badala ya CBG aliyoitaka na shule alipangiwa zipo combi za sanaa tu, HKL, HGL na HGE. Je, mchakato wa kuhamia shule yenye combine hiyo ukoje? Msaada
Back
Top Bottom