Yaliyofichika kwenye Mti wa Krismas, usithubutu kuununua

BAKIIF Islamic

JF-Expert Member
Jul 11, 2021
594
1,827
Mti ulio bora wa Krismasi unanunuliwa. Ukipambwa kwa madoido yenye kung’ara pamoja na kumetameta, unasimamishwa karibu na dirisha. Maduka yanajazana wanunuzi wakisaka zawadi na vile viduchu vinasubiri kwa hamu kubwa ya Baba Krismasi Santa.

Ni mshughuliko na ni homa ya Krismasi 'Christmas fever, umewahi kufikiri kabla? Je, Biblia au Yesu aliwahipo kusababisha homa ya Krismasi?

Je, Krismasi Ina Ushahidi wa Biblia?

Neno ‘Krismasi’ halipo ndani ya Biblia. Biblia ilifunga midomo ya sherehe yote inayohusiana na Krismasi, isipokuwa kwa kitu kimoja; upambaji wa mti. Biblia wYenyewe inashutumu upambaji wa miti (ya Krismasi):

“Mila za watu si chochote, wanakata mti kutokana na msitu, na mchongaji anauchonga kwa patasi yake, wanaupamba kwa fedha na dhahabu, wanaugandanisha kwa nyundo na misumari ili usipate kutikisika” (Jeremia 10-3,4).

Wazungu wa ki-Pagani kabla ya Ukristo, waliamini miujiza kwamba miti ya kijani ina nguvu maalum za ulinzi. Hakika, matumizi ya Miti ya Krismasi imeanza hivi karibuni tu mwa karne ya 17 huko Strasbourg, Ufaransa na kutoka huko ukaenea hadi Ujerumani, Uingereza na baadaye Marekani.

“Ibada ya miti ilikuwa ni jambo la kawaida kwa dini miongoni mwa watu wa (Teutonic) na Scandinavia wa Ulaya ya kaskazini kabla ya kuingia kwenye Ukristo…

Walowezi wa ki-Jerumani walileta mila za Mti wa Krismasi kwenye makoloni ya Kimarekani mnamo karne ya 17. Kufikia karne ya 19, matumizi yake yalienea sehemu tofauti”.

Usinunue mti wa Krismasi unafifiza imani kwa familia yako na watoto wako, mti huo unabeba roho za kipagani.

1703332236307.png
 
View attachment 2850683
Uongo mtupu
 
Yani leo mkuu uko bize na nyuzi za christmas na ukristo kama umekodishwa.... kuna uzi kule umeufungua kule umesema christmas ni sikukuu ya kipagani, huu huu unawaasa watu wasinunue mti wa kufifia....tabu yako wewe ni nini maana kwa mujibu wa user name yako wewe ni mwislam!? Mambo ya dini ya mtu mwachie mwenyewe muumini wa hiyo dini.

Yani mbuzi ni wa bwana heri, shamba ni la bwana heri yote heri wewe jirani amini unaloona ni sawa acha wakristo waishi wanavyotaka
 
Mti ulio bora wa Krismasi unanunuliwa. Ukipambwa kwa madoido yenye kung’ara pamoja na kumetameta, unasimamishwa karibu na dirisha. Maduka yanajazana wanunuzi wakisaka zawadi na vile viduchu vinasubiri kwa hamu kubwa ya Baba Krismasi Santa.

Ni mshughuliko na ni homa ya Krismasi 'Christmas fever, umewahi kufikiri kabla? Je, Biblia au Yesu aliwahipo kusababisha homa ya Krismasi?

Je, Krismasi Ina Ushahidi wa Biblia?

Neno ‘Krismasi’ halipo ndani ya Biblia. Biblia ilifunga midomo ya sherehe yote inayohusiana na Krismasi, isipokuwa kwa kitu kimoja; upambaji wa mti. Biblia wYenyewe inashutumu upambaji wa miti (ya Krismasi):

“Mila za watu si chochote, wanakata mti kutokana na msitu, na mchongaji anauchonga kwa patasi yake, wanaupamba kwa fedha na dhahabu, wanaugandanisha kwa nyundo na misumari ili usipate kutikisika” (Jeremia 10-3,4).

Wazungu wa ki-Pagani kabla ya Ukristo, waliamini miujiza kwamba miti ya kijani ina nguvu maalum za ulinzi. Hakika, matumizi ya Miti ya Krismasi imeanza hivi karibuni tu mwa karne ya 17 huko Strasbourg, Ufaransa na kutoka huko ukaenea hadi Ujerumani, Uingereza na baadaye Marekani.

“Ibada ya miti ilikuwa ni jambo la kawaida kwa dini miongoni mwa watu wa (Teutonic) na Scandinavia wa Ulaya ya kaskazini kabla ya kuingia kwenye Ukristo…

Walowezi wa ki-Jerumani walileta mila za Mti wa Krismasi kwenye makoloni ya Kimarekani mnamo karne ya 17. Kufikia karne ya 19, matumizi yake yalienea sehemu tofauti”.

Usinunue mti wa Krismasi unafifiza imani kwa familia yako na watoto wako, mti huo unabeba roho za kipagani.

View attachment 2850683
Mambo Yako mwenyewe yanakushinda unadandia ya wengine
 
We ni muislam?

Kwanini unauongelea ukristo mkuu? Huoni kama unapoteza bando lako na chaji ya simu mkuu?
 
Katika imani mi naona kila mmoja asimamie kile anachokiamini. Tukianza kufatiliana sijui kwa nn hawa wanaabudu mwezi na jua sijui wengine msalaba na sanamu hapatakalika, kila mmoja apambane na hali yake
 
Back
Top Bottom