mwanao

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pre International School

    JamiiForums Tanzania Tupe mwanao tumfundishe leo

    Je, unatafuta mwalimu bora, mwenye uzoefu na anayejali maendeleo ya mtoto wako ili aje kumfundisha akiwa nyumbani? 🏠📖 Elite Home Tuition Services ipo kwa ajili ya kuwasaidia wazazi kuhakikisha watoto wao wanapata elimu bora, ufuatiliaji wa karibu na msaada wa ziada katika masomo yao. Tunatoa...
  2. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Je mwanao ana changamoto ya kutoelewa kwa haraka na mwepesi wa kupoteza kumbukumbu? Hii hapa tiba halisi.

    Sukari huathiri kile kinachoitwa mfumo wa limbic (limbic system). Mfumo wa limbic ni kundi la miundo ya ubongo inayohusishwa na hisia, kumbukumbu na michakato mingine ya kujifunza. Huhusika katika udhibiti wa hisia na uundaji wa kumbukumbu, jambo ambalo huchangia katika mchakato wa kujifunza (...
  3. Akilindogosana

    JamiiForums Tanzania Ewe Mzazi somesha ila andaa mpango mbadala kwa ajili ya mwanao, akikosa ajira mpango mbadala utamuokoa

    Ewe Mzazi Somesha mtoto kwa gharama Nursery lipa ada (mwaka 1) Primary lipa ada (miaka 6) Secondary lipa ada (miaka 4) A-level lipa ada ( miaka 2) Chuo lipa Ada (miaka 3) Wastani wa ada na gharama zingine kwa mwaka ni 1.5m hadi 2.5m Jumla ya miaka ni 16 Ukizidisha range ya ada ni 24m hadi 40m...
  4. Pre International School

    JamiiForums Tanzania Mpatie mwanao elimu maana ndio urithi wa kudumu

    📚 ELITE HOME TUITION 🏠🎓 Unahitaji Mwalimu Binafsi (Private Tutor) kwa ajili ya mtoto wako? Elite Home Tuition inakusaidia kupata walimu wenye uwezo na uzoefu kulingana na darasa, curriculum na mahitaji ya mwanafunzi. ✅ KG hadi University ✅ Cambridge, IB, British, Indian & Kenyan Curriculum ✅...
  5. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Ukikuta Mwanao wa kike Darasa la 6 anaangalia Ngono, unapaswa kufanyaje kumsaidia?

    Mwili wa mtoto Vaileth Soka (13) aliyefariki dunia kwa kudaiwa kujinyonga umeagwa katika mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro mkoani Manyara kwa ajili ya kusafirishwa kwenda Kibosho Umbwe wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro kwa maziko. Baba mzazi wa mtoto huyo, Innocent Soka, akizungumza na...
  6. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Tuletee mwanao leo tumlee kwenye level za kimataifa.

    SPROUTS PRE & INTERNATIONAL SCHOOL – UPANGA, DAR ES SALAAM Je, unatamani mtoto wako apate elimu bora katika mazingira salama, yenye upendo na yanayojenga msingi imara wa mafanikio? Sprouts Pre & International School inafungua rasmi Usajili wa Wanafunzi kwa Mwaka wa Masomo 2026. Tunapokea...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Katambi: Mzazi Mkanye Mwanao, Jinai hailipi na haiozi

    "Hakuna taifa ambalo likipoteza amani yake inarejea kirahisi...niwaombe sana wazazi wote Baba na Mama, Kaka, Shangazi, Mjomba mkanye mwanao mwambie jinai hailipi na bahati mbaya sana jinai haiozi. Ukifanya leo kosa linai ukidhani mjanja haujakamatwa leo basi kesho hautakamatwa lakini si...
  8. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Mzazi, Linda Mwanao: Tahadhari

    EWE MZAZI MKANYE GENERATION "Z" WAKO ASIJIHUSISHE NA MAANDAMANO AMBAYO YANAPAGWA NA WANAHARAKATI UCHWARA KUFANYIKA TAREHE 7 JULY, 2026 AMBAYO HAYATAMBULIKI KISHERIA✍️ 👉Ewe Mzazi, kama unampenda mwanao kwa dhati na unatamani kuona akitimiza ndoto zake za maisha, basi tarehe 7 Julai 2026...
  9. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Mama mkanye mwanao

  10. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Tupe mwanao tumtengenezee kesho iliyobora kupitia Elite Home Tuition

    📚 Elimu Bora Kwa Wote – Tanzania Nzima 🇹🇿 Je, unahitaji mwalimu wa kuja nyumbani kwako kwa muda unaoutaka? Sasa usihangaike tena! ELITE HOME TUITION tupo kwa ajili yako. ✅ Tunatoa huduma ya kufundisha nyumbani (Home Tuition) ✅ Mwalimu anakuja muda unaotaka wewe ✅ Tunafundisha Tanzania nzima ✅...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Mlete mwanao kwetu ELITE HOME TUITION umpatie elimu bora ya kweli

    Ndugu mzazi, la sivyo unaweza kumpoteza mwanao kielimu bila wewe kujua. Kwa sasa tumeshuhudia changamoto nyingi katika ufundishaji wa watoto: Mtoto anafundishwa egg lakini anapaka rangi nyekundu, ilhali hakuna yai lenye rangi hiyo. Orange anapaka nyeusi, lakini bado mwalimu anaandika...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Mwigulu kuna kesho, tenda haki itakulinda wewe na uzao wako

    Kwa kifupi nafasi yako kwa siasa zetu ni Nyeti. Itumie kuleta HAKI. Watetee wahanga wa D29, wape faraja Jitenge na adhabu ya Munhu wako! Mauaji haya yalikuwa.makubwa! ITUMIE KUITETEA TANGANYIKA ( ingawa kipengele hiki ni kigumu) Jiepushe na upofu wa kutoona kuwa hapa HAKI inavunjwa...
  13. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Kwenye huu msimu wa sikuku Wazazi tutunze Hela za Ada za watoto wetu hapo January si vizuri mzazi kuwa na maelezo mengi shuleni ya kukosa ada

    Wazazi Huu msimu wa sikuku usitulevye tukavuja Hela za Ada za watoto wetu. Ndiyo elimu ni Bure bila ada basi changia hata chakula ili mwanao ale shule hapohapo. Kama shule ya mwanao Haina food program basi pendekeza kwa ustawi wa mwanao na shule kwa ujumla. Baadhi ya wazazi wakishakula Hela...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rais Mfute Kazi Suleiman Abubakr Mombo Mara Moja

    Kwa video zinazoendelea kuwekwa na Dada Mange zikionesha utajiri usiendana na Kipato cha Dgis Mombo na Familia yake. Nashauri Rais Samia Tengua uteuzi wa Mombo mara moja. Leo kuna video ya Hidaya Binti wa Mombo akichezea Dola laki 3 takribani milioni 800 za Tanzania taslim na akiwanyooshea...
  15. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Katika usawa huu ambao babalevo anaweza kuwa mbunge, mwambie mwanao anaweza kuwa chochote kile atakacho wish ilimradi alinde utimamu wake

  16. Daby

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kuulizwa swali gani na mwanao ukakosa jibu?

    Watoto wenye umri kati ya 4 hadi 7 ni exquisitive/curious saana. Huu ndiyo umri wao wa kuanza kuchukuza ulimwengu unaowazunguka na ubongo unakua kwa kasi saana. Kama wewe ni mzazi/mlezi/kaka au dada bila shaka ushawahi kuulizwa swali na mtoto mdogo. Je ni swali gani? Ulijibuje? Wataalam...
  17. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Mh Babu aliponusurika mwanao walikuwa wamekuda 10 siku hiyo kwa uzembe wao, kusema ukweli Dr Samia katurudisha enzi za jakaya

    Mh Babu, kama utanibishia tafadhali familia vifo vya siku hiyo vipo 10 watoto walikufa WA uzembe wa watumishi. Kama unabisha njoo mm Niko hapa uone ni aibu mawenzi watu wanakula mnoooó
  18. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kama una mwanao au dogo lako ameanza kufuatilia habari za kimataifa mwambie akae mbali na hizi chaneli

    1: CNN - Atafunsdishwa sympath juu ya ushoga na kwamba ni sawa kuwa shoga na kusambaza ushoga. - Atafundishwa kuwa mwanaume sio tena ngome ya familia, ataishia kuvaa vipensi vifupi vya kubana mapaja na kwenda kulalamika kuhusu mke wake baa kwa marafiki zake bila kufanya maamuzi yoyote kisa...
  19. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kama unataka kugundua kipaji cha mwanao upande wa compyuta au laptop weka nyumbani kwako utanishukuru baadae

    Sio wote watakao kuja kuipenda compyuta au laptop kwenye matumizi wanayotaka ila inamchango mkubwa kama utajiwekea nyumbani kwako watoto wakitumia. Naeleza ili sababu nimeshuhudia vipaji vingi ambavyo ukifatilia nyumbani kwao walikuwa wamewekewa mfano kama maproduza,wahandisi wa...
  20. W

    JamiiForums Tanzania Tupige Zogo kidogo; Una utamaduni wa kumsaidia mwanao Homework?

    Kwa unavyojijua, mwanao akutegemee zaidi kwenye home works za somo gani!? Mimi mwanangu kwenye Hesabu maskini nitamuabisha 🤣
Back
Top Bottom