muislamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. LIKUD

    Muislamu au Mkristo kuamini kwamba kitabu cha dini yako ni bora kuliko akili yako ni kumkosea sana Mwenyezi Mungu. Sababu hii hapa

    Kitabu cha imani yako kimetungwa na watu. Akili yako imeumbwa na Mungu mwenyewe. Ila wewe una amini kitabu cha imani yako ambacho kimetungwa na wanadamu ni bora kuliko akili yako ambayo imeumbwa na Mwenyezi Mungu. Huko ni kumkosea heshima Mwenyezi Mungu kwa kiwango cha hali ya hali ya juu sana.
  2. S

    Tetesi: FAMILIA YA GSM YA VUNJA NDOA BAKWATA YA MIAKA 14 NA WATOTO 3 KWAKUM SINGIZIA SHEMEJI YAO SIO MUISLAMU

    Taasisi ya islamic foundation ime andika barua kwa Rais Mama SAMIA SULUHU HASSAN kwakuiomba aiangalie vizuri taasis ya BAKWATA na USIMAMIZI wake baada ya malalamiko mengi kutoka kwa wananchi na taasisi nyingi za familia na watoto kuona kwamba BAKWATA haifatilii na kuongoza utaratibu wa serekali...
  3. D

    Kuna Muislamu anaendelea kuwafata Bakwata kwa chochote?

    Hii clip ni fikirishi sana, Mufti alipewa amri kutoka Juu atangaze muandamo wa mwezi ambao haupo.
  4. Ndama Jeuri

    Natafuta mchumba wa kike muislamu

    Awe muislamu Umri 20-30 Hajawahi kuolewa kama ana mtoto asizidi mmoja kabila lolote lile. Elimu kuanzia kidato cha nne kuendelea. Sifa zangu Umri 33 Mtumishi serikalini Sijawahi kuoa Mengine mengi tutajuzana PM ALIYE INTERESTED ANICHEK PM,tukimatch tufunge Ndoa before mwezi wa sita mwaka huu...
  5. Unique Flower

    Rejesho:kubadili dini niwe muislamu

    Wapendwa wa jf mambo zenu , Sisi hatujambo nipo okay,sasa kulikuwa na mwanadada tumuite Love , Alipata mimba ya X wake . Halafu alipo mwambia ex wake x wake akamwambia amuoe kiserikali, akawaza akaona since mama yake kamshauri kulea familia ni watu wenye dini moja akaona bora awe muislam...
  6. Mhaya

    Makundi ya Kigaidi ya Kikristo

    1. Lord's Resistance Army (LRA): Hili ni kundi la waasi lililoanzishwa mwaka 1987 nchini Uganda na Joseph Kony. Kundi hili limehusishwa na vitendo vya kikatili, ikiwa ni pamoja na utekaji nyara, mauaji, na kuwatumia watoto kama wapiganaji. LRA limekuwa likiendesha harakati zake katika maeneo ya...
  7. Hance Mtanashati

    Gervonta Davis abadili dini na kuwa Muislamu siku ya leo

    Hakika "Itakapofika nusura ya Mwenyezi Mungu na ushindi, watu wataanza kuingia katika dini yake yeye makundi kwa makundi" Hatimaye bondia machachari kutoka Marekani Gervonta Davis (Tank) hatimaye siku ya leo amebadili dini na kuwa Muislamu. Hakika ni habari njema sana kwa kuamua kuifata dini...
  8. chiembe

    Mimi kama muislamu najiuliza, Haji Manara alienda Macca au Makambako?

    Kwenda macca kwa jambo la kiimani ni ishara kubwa sana kwa muislamu yoyote yule, na lazima tabia zake pia ziakisi heshma ya Macca na uislamu. Haji Manara alikuwa mwalimu wa madrasa, na amepiga sana madufu na ngoma za daku usiku kucha. Lakini tangu atoke Macca amekuwa mtu wa hovyo sana, na...
  9. BAKIIF Islamic

    Krismasi ni likizo ya kipagani, Yesu hakuzaliwa December 25

    Hakuna ushahidi wa kutosha wa kuthibitisha kuwa Nabii Isa AS alizaliwa tarehe 25 Disemba na ndio maana baadhi ya makundi ya Wakristo yanaamini kuwa Nabii Isa AS alizaliwa tarehe 6 Januari. Wakristo wa Orthodox kama vile wa nchini Ethiopia wao wanaamini kuwa Nabii Isa AS alizaliwa tarehe 7...
  10. Mhaya

    Athari za vita vya Kidini

    Katika historia ya binadamu, vita vya kidini vimekuwa ni mojawapo ya matukio yenye athari kubwa kijamii, kiuchumi, na kisiasa. Vita ya Israel na Palestina imedhihirisha wazi udini miongoni mwa watanzania wengi. Mara nyingi, mizozo hii inachochewa na tofauti za imani na itikadi za kidini, ikileta...
  11. Ritz

    Kama Hamas wanaamini katika Uislamu wanawezaje kumuua mtu wanayehisi ni Al-Shabaab (Muislamu)?

    Wanaukumbi. #JoshuaMollel: 👉🏽Ukitazama video mmoja ya wanaoaminika kuwa wauaji anamuuliza Joshua kwa Lugha ya kiarabu kwamba yeye ni mmoja wa kundi la kigaidi la “Al-Shabaab”? Nina maswali: 1) Kama Hamas wanaamini katika Uislamu wanawezaje kumuua mtu wanayehisi ni Al-Shabaab (Muislamu)? 2)...
  12. tutafikatu

    Acha nikuonjeshe "ninavyojisikia" kuwa Muislamu huku Amerika

    ✅🇺🇸 Baba yangu hakuwa na budi kuwa mtumishi wa daraja la pili kwa mmoja wa madhalimu wengi wa nchi za Kiislamu wanaotumia wahamiaji kutoka India, kama familia yangu, kuwa mtumwa muhimu. Mnamo 1975, baada ya kupata PhD yake huko Rutgers, alikuwa karibu kwenda Libya - nchi ya Kiislamu -...
  13. Faizan

    Rafiki wa kike muislamu

    Hellow love connects
  14. BAKIIF Islamic

    Palestine na mifano ya chuki za kidini

    Ukizungumza jambo kama Muislamu, asiyemuislamu anakuweka daraja gani katika kukusikiliza? Je, anakusikiliza kwa kuwa anaamini unaweza mpa kitu ambacho anaweza faidika nacho au anakusikiliza tu ili umalize kuzungumza yeye ana mawazo yake kuhusu hayo unayozungumza. Mara nyingi ukiwa Muislamu...
  15. Mhaya

    Kusema muislamu ndugu yake ni muislamu huo ni unafiki

    Nimeona kauli hiyo ya "Muislamu ndugu yake ni muislamu mwenzake" inatolewa huko Instagram kutoka kwa Bi Dada mmoja juu ya polisi kupiga marufuku ya maandamano Tanzania. Kiukweli uwezi kusema Kwamba Muislamu ndugu yake ni muislamu mwenzake. Mimi naona hii sentesi ilitungwa kutetea watu wajamii...
Back
Top Bottom