shingoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BAKIIF Islamic

    Video ya kuogofya: Jambazi alivyopigwa risasi shingoni wakati alipovamia benki.

    CCTV Crime News Mwisho wa Video ya pili utamuona namna alivyoingia benki kama mlemavu vile. ................ Hii ilikuwa San Mateo, huko Maranhao, Brazil na huyu ndiye mhusika lakini alikufa. Jina ni: Nilton César Silva Aguiar. .... Hapa aliingia Benki kama mlemavu ..... Hili hapa pigo...
  2. OCC Doctors

    Sababu ya kamba ya kitovu kumzunguka mtoto shingoni

    Kikawiada Kamba ya kitovu hulindwa na mafuta laini yaitwayo 'Wharton's jelly'. Husaidia kamba isijifunge fundo ili mtoto awe salama bila kujali ni kiasi gani anajikunyata na kujipindua ndani ya tumbo la mama yake. Inapotokea kamba ya kitovu ina upungufu wa mafuta hayo laini (insufficient...
  3. OCC Doctors

    Kamba ya kitovu kumzunguka mtoto shingoni

    Kamba ya kitovu kumzunguka mtoto shingoni kabla ya kuzaliwa (nuchal cord), matatizo yanaweza kujumuisha shida ya kupumua, na kuzaa mtoto aliyekufa. Kamba ya kitovu inaweza kumzunguka mtoto kwa ulegevu (loose), na inaweza kumzunguka mtoto kisha ikamkaza (tight), na inaweza kumzunguka mtoto mara...
  4. Smart Contract

    Naomba ushauri: Niliacha pombe, kwa sasa nimerudi kwa kasi

    Nilifanikiwa kuacha pombe for few months ila nimerudi kwa kasi ya ajabu mimi sio wa hivi nakataa nakataa tena. Mnishauri ndugu zangu ninapoendea ntaona maisha hayana maana, pesa haikai. Au kama kuna anaejua dawa anisaidie i am finished, sitaki ushauri wa kwenda nyumba za ibada.
  5. BARD AI

    Amchoma Kisu Mpenzi wake shingoni baada ya kutishia kumuacha

    David Njuguna (32) mkazi wa Githurai nchini Kenya ametiwa mbaroni kwa kudaiwa kutaka kumuua mpenzi wake Mary Wangechi ambaye inadaiwa alimtishia kumuacha baada ya kugombana. Njuguna ambaye kwa sasa kesi yake inarindima katika Mahakama ya Makadara iliyoko jijini Nairobi anadaiwa kumchoma kisu...
  6. JanguKamaJangu

    Afisa Utumishi Igunga avamiwa, ajeruhiwa kwa panga shingoni

    Watu wasiojulikana wamemvamia na kumjeruhi kwa panga shingoni Afisa Utumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga Mkoani Tabora, Mussa Abdallah. Abdallah akiwa amejipumzisha nyumbani kwake Mtaa wa Mwayunge Kata ya Igunga mjini alipata mkasa huo baada ya kutoka kwenye kikao cha Baraza la Madiwani...
  7. R

    Maji yamenifika shingoni, naomba msaada wakuu

    Heshima kwa wakuu wote Mdogo wenu hali tete. Kijana wa kiume. Dira haisomi. Nipo Dar Wakuu kama kuna mtu ana kazi ya ulinzi, au kazi ya kusimamia lodge/guest yake popote nchini nipo tayari. Ni muaminifu, sidokoi cha mtu. Nina elimu ngazi ya diploma. Nina changamoto fulani za kiafya zimekua...
  8. bahati93

    Morani wanapagawa na bangili za shingoni

    Sopa mazee. Ipo hivi, mwanaume wakati anachagua mwanamke wa kumweka ndani kuna vitu huwa anathaminisha. Kuna baadhi ya wanaume huthaminisha ukubwa wa makalio, wengine umbo la miguu, wengine uwima wa matiti, na nakadhalika. Hali ipo hivyo hivyo kwa vijana wa kimasaai japo wao hawathaminishi...
  9. yuda75

    Jamani maji yamefika shingoni nimwachaje?

    Habarini wadau na washauri wa JF Mi bhana kuna mdada nilimpenda sanaaa na yeye alinipenda sana kuna vitu vingi sana amevifanya nyumbani kwangu ingawa aliekuwa anampa pesa ya kununua hivyo vitu ni mimi sema alikuwa aanijiongeza anaangalia nini kimemiss anaongezea. Tumeenda vizuri, tumeishi kwa...
Back
Top Bottom