Picha inayohusishwa kuwa ni Joshua akiwa katika gwanda za Jeshi la Israel

BAKIIF Islamic

JF-Expert Member
Jul 11, 2021
594
1,827
Jeshi la Hamas ni nadra sana kuvaa kiraia, pia huficha nyuso zao kamwe hazionekani. Lakini wauwaji wa Joshua walikua hawana nguo za jeshi wamevaa kiraia na pia nyuso zao zilikua wazi.

Kwanini Hamas hufunika nyuso zao?

Hamas daima hufunika nyuso zao. Watu hawa, ambao hawajajulikana ni wakina nani haswa, hujitokeza katika kila taswira na miundo tofauti ya barakoa.

1702896285221.png

Vinyago vyao vina madhumuni mawili: vinafanya kazi kama ngao ya kulinda kutokujulikana licha ya athari zinazoweza kutokea, na pia hutoa taarifa yenye nguvu. Kinyago kinakuwa ni nembo ya fumbo katika masuala ya usalama ya mtu binafsi na msimamo wao wa kiitikadi.

1702896556063.png

Chaguo lao la kutokujulikana ni uamuzi uliojaa sayansi ya mikakati - iwe kwa tahadhari, hofu, au mchezo wa kimkakati katika itikadi.

1702896350278.png

..........................
Je kwenye tukio la Joshua Hamas waliamua kuvaa kiraia na kutokufunika nyuso?

Jibu ni Hapana ispokuwa siku hiyo kulikuwa na raia wengi wa Gaza wakifanya kama Hamas, baadhi ya raia walikuwa na silaha na walikuwa wakiendesha magari yaliyotumika katika vita. Kwa hiyo hawa si Hamas na kwa bahati mbaya inasemekana wote wameshakufa waliomuua Joshua.

Hili ndio kundi lililomuua Joshua

Screenshot (174).png

Hapa wakiwa katika picha ya pamoja

GBm1a9sbUAABzJE.jpeg

.........................

Wapembuzi wanadai kwamba, Joshua kuvalia boxer ya jeshi sio kosa, labda kuna kosa lilifanyika ndio maana wakamchukulia sheria mkononi. Israel inawakaribisha watu kujiunga na IDF ili kuwapigania, na watu waliomkabili Joshua sio Hamas bali ni watu kutoka west bank, Hamas hawaonekani hadi sasa. Jambo gumu ni kwamba Waisraeli wao wanazungumza Kiarabu pia. Je, kila anayemtaja Allahu Akbar (Mungu ni mkubwa) anapofanya vitendo hivyo ni Mwislamu? jibu ni hapana.

Joshua hana hatia kabisa hata kama alijiunga kulitumikia jeshi la Israel, na kusababisha vikwazo kwa wapinzani kufikia lengo lao. Bado hana hatia ya kuuawa namna ile, kwasababu kujiunga kwake na IDF huwenda hakuwa na namna ila kufanya hivyo.

Kwanini wauaji sio Hamas, ni kwasababu Mwanafunzi wa kilimo aliyeenda Israel, kisha akaishia mateka huko Gaza, ilikua vipi akafika Gaza? kufanya nini? Hamas walimpata vipi?

Tuseme alikua miongoni mwa wale ambao walichukuliwa mateka kwenye shambulio la Okt 7 na Hamas ambapo ripoti zimeonyesha kuwa aliuawa mara moja, hata hawakumuweka hai kwa saa nyingi kusubiri mazungumzo.

Je, alikamatwa na kuuawa hapo hapo Israel? au alisafirishwa na baiskeli yake hadi Gaza?
...................

Tuashumu hiyo baskeli sio ya Joshua na hao waliohusika hapo ni Hamas:

Picha itakuwa hivi:

Inaonekana kana kwamba mpiganaji wa hamas alikuwa akijaribu kumzuia mtu asiyejulikana kwenye baiskeli akitaka kumchoma kisu Joshua.

1702912406232.png

..........

Picha inayofuata itakua hivi
Inaonekana kama huyo muhusika aliekuwa akizuiliwa alifanikiwa kumchoma kisu cha shingo joshua, kwasababu kisu kilikua na damu na tayari Joshua alidondoka chini kabla ya kupigwa risasi.

1702912534281.png

Huenda Joshua alikuwa mtu wa kawaida tu ambaye alivuka mpaka na baiskeli yake na hakuwa na uhusiano na kikundi chochote cha upinzani. Lakini waliomshambulia walikua ni raia waliojivika uhamas.

Tukumbuke kwamba Kulikuwa na wapiganaji wengine mbali na hamas ambao walifanya ukatili huu. Je, kuna yeyote anayeweza kuthibitisha hawa walikuwa ni kundi gani? Pia, matendo ya watu hawa kamwe hayatahalalisha kile ambacho Israeli wanafanya Palestina.

Maneno ambayo yalisikika kwenye ile video ni haya hapa.

HAMAS 01: Usiogope na wala usidanganye, Je! Mmetushambulia? Mmetushambulia?. Umefanya mashambulizi yoyote?
HAMAS 02: Wenye Bunduki sogeeni karibu/Njoeni ili aweze kukiri kama ameshambulia au laa.!
HAMAS 03: Tulieni enyi vijana tulieni kwanza mpeni nafasi.
JOSHUA: As-al (nauliza)
HAMAS 04: Ba-as-al (uliza).
HAMAS 03: Hey! Nani unamfuata?
HAMAS 05 alikua pembeni akiongea na simu na alimjulisha mtu aliekua akiongea nae alisema kwamba 'Hafahamu kiarabu' yaani alimueleza kwamba Joshua hafahamu kiarabu.
JOSHUA: Mercy (akimaanisha nioneeni huruma).

Video ile Joshua alitoa maneno mawili tu moja la kiarabu 1: As-al (nauliza) lingine la kiingereza 2: Mercy (huruma).

-Kutoielewa Lugha ya kiarabu, Ameshindwa Kujitetea (Kwasababu kulikua na nafasi ya kujitetea kama umeangalia video ile kwa makini, lakini alishindwa kwasababu ya lugha
-Kukosa Hata Vitambulisho vyake
-Baadhi ya Mavazi yake Kuwa na viashiria vya Kijeshi Inasikitisha Sana wakamuua.

Kifo hiki kinatandwa na ubaguzi wa rangi kwa asilimia 70%

1702914137809.png

Yote kwa yote inasikitisha kumuona akichomwa visu usoni na kupigwa risasi, hakuwa hata Muisraeli. Haikuwa lazima kabisa kumuua.
Picha hii inasambaa kuashiria kwamba huyu ni Joshua akiwa katika gwanda za IDF, rangi ya kidole ni kutokana na mwanga mkali wa taa za gari ya jeshi.

GBneq9GWUAAjuKd.jpeg
 
Jeshi la Hamas ni nadra sana kuvaa kiraia, pia huficha nyuso zao kamwe hazionekani. Lakini wauwaji wa Joshua walikua hawana nguo za jeshi wamevaa kiraia na pia nyuso zao zilikua wazi.

Kwanini Hamas hufunika nyuso zao?

Hamas daima hufunika nyuso zao. Watu hawa, ambao hawajajulikana ni wakina nani haswa, hujitokeza katika kila taswira na miundo tofauti ya barakoa.

View attachment 2845943

Vinyago vyao vina madhumuni mawili: vinafanya kazi kama ngao ya kulinda kutokujulikana licha ya athari zinazoweza kutokea, na pia hutoa taarifa yenye nguvu. Kinyago kinakuwa ni nembo ya fumbo katika maswala ya usalama ya mtu binafsi na msimamo wao wa kiitikadi.

View attachment 2845950

Chaguo lao la kutokujulikana ni uamuzi uliojaa sayansi ya mikakati - iwe kwa tahadhari, hofu, au mchezo wa kimkakati katika itikadi.

View attachment 2845945
..........................
Je kwenye tukio la Joshua Hamas waliamua kuvaa kiraia na kutokufunika nyuso?

Jibu ni Hapana ispokua siku hiyo kulikua na raia wengi wa Gaza wakifanya kama Hamas, baadhi ya raia walikua na silaha na walikua wakiendesha magari yaliyotumika katika vita.. Kwa hiyo hawa si Hamas na kwa bahati mbaya inasemekana wote wameshakufa waliomuua Joshua.

Hili ndio kundi lililomuua Joshua

View attachment 2845957

Hapa wakiwa katika picha ya pamoja

View attachment 2845958

.........................

Wapembuzi wanadai kwamba, Joshua kuvalia boxer ya jeshi sio kosa, labda kuna kosa lilifanyika ndio maana wakamchukulia sheria mkononi. Israel inawakaribisha watu kujiunga na IDF ili kuwapigania, na watu waliomkabili Joshua sio Hamas bali ni watu kutoka west bank, Hamas hawaonekani hadi sasa. Jambo gumu ni kwamba Waisraeli wao wanazungumza Kiarabu pia.

Joshua hana hatia kabisa hata kama alijiunga kulitumikia jeshi la Israel, na kusababisha vikwazo kwa wapinzani kufikia lengo lao. Bado hana hatia ya kuuwawa namna ile, kwasababu kujiunga kwake na IDF huwenda hakua na namna ila kufanya hivyo.

Kwanini wauaji sio Hamas, ni kwasababu Mwanafunzi wa kilimo aliyeenda Israel, kisha akaishia mateka huko Gaza, ilikua vipi akafika Gaza? kufanya nini? Hamas walimpata vipi?

Tuseme alikua miongoni mwa wale ambao walichukuliwa mateka kwenye shambulio la Okt 7 na Hamas ambapo ripoti zimeonyesha kuwa aliuawa mara moja, hata hawakumuweka hai kwa saa nyingi kusubiri mazungumzo.

Je alikamatwa na kuuwawa hapo hapo Israel? au alisafirishwa na baiskeli yake hadi Gaza?

Yote kwa yote inasikitisha kumuona akichomwa visu usoni na kupigwa risasi, hakuwa hata Muisraeli. Haikuwa lazima kabisa kumuua.
Picha hii inasambaa kuashiria kwamba huyu ni Joshua akiwa katika gwanda za IDF

View attachment 2845967
Hawa hapa hao ndg zako hamas.
Je hapa walifunika nyuso zao?
 
Jeshi la Hamas ni nadra sana kuvaa kiraia, pia huficha nyuso zao kamwe hazionekani. Lakini wauwaji wa Joshua walikua hawana nguo za jeshi wamevaa kiraia na pia nyuso zao zilikua wazi.

Kwanini Hamas hufunika nyuso zao?

Hamas daima hufunika nyuso zao. Watu hawa, ambao hawajajulikana ni wakina nani haswa, hujitokeza katika kila taswira na miundo tofauti ya barakoa.

View attachment 2845943

Vinyago vyao vina madhumuni mawili: vinafanya kazi kama ngao ya kulinda kutokujulikana licha ya athari zinazoweza kutokea, na pia hutoa taarifa yenye nguvu. Kinyago kinakuwa ni nembo ya fumbo katika masuala ya usalama ya mtu binafsi na msimamo wao wa kiitikadi.

View attachment 2845950

Chaguo lao la kutokujulikana ni uamuzi uliojaa sayansi ya mikakati - iwe kwa tahadhari, hofu, au mchezo wa kimkakati katika itikadi.

View attachment 2845945
..........................
Je kwenye tukio la Joshua Hamas waliamua kuvaa kiraia na kutokufunika nyuso?

Jibu ni Hapana ispokuwa siku hiyo kulikuwa na raia wengi wa Gaza wakifanya kama Hamas, baadhi ya raia walikuwa na silaha na walikuwa wakiendesha magari yaliyotumika katika vita. Kwa hiyo hawa si Hamas na kwa bahati mbaya inasemekana wote wameshakufa waliomuua Joshua.

Hili ndio kundi lililomuua Joshua

View attachment 2845957

Hapa wakiwa katika picha ya pamoja

View attachment 2845958

.........................

Wapembuzi wanadai kwamba, Joshua kuvalia boxer ya jeshi sio kosa, labda kuna kosa lilifanyika ndio maana wakamchukulia sheria mkononi. Israel inawakaribisha watu kujiunga na IDF ili kuwapigania, na watu waliomkabili Joshua sio Hamas bali ni watu kutoka west bank, Hamas hawaonekani hadi sasa. Jambo gumu ni kwamba Waisraeli wao wanazungumza Kiarabu pia.

Joshua hana hatia kabisa hata kama alijiunga kulitumikia jeshi la Israel, na kusababisha vikwazo kwa wapinzani kufikia lengo lao. Bado hana hatia ya kuuawa namna ile, kwasababu kujiunga kwake na IDF huwenda hakuwa na namna ila kufanya hivyo.

Kwanini wauaji sio Hamas, ni kwasababu Mwanafunzi wa kilimo aliyeenda Israel, kisha akaishia mateka huko Gaza, ilikua vipi akafika Gaza? kufanya nini? Hamas walimpata vipi?

Tuseme alikua miongoni mwa wale ambao walichukuliwa mateka kwenye shambulio la Okt 7 na Hamas ambapo ripoti zimeonyesha kuwa aliuawa mara moja, hata hawakumuweka hai kwa saa nyingi kusubiri mazungumzo.

Je, alikamatwa na kuuawa hapo hapo Israel? au alisafirishwa na baiskeli yake hadi Gaza?

Yote kwa yote inasikitisha kumuona akichomwa visu usoni na kupigwa risasi, hakuwa hata Muisraeli. Haikuwa lazima kabisa kumuua.
Picha hii inasambaa kuashiria kwamba huyu ni Joshua akiwa katika gwanda za IDF

View attachment 2845967
Boss unashindwa kugundua kuwa hiyo ni photoshop siyo picha asilia?
 
Mbna kama kombati ni ya kuedit? Huyu alkuwa mwanafunzi nyie
 
Boss unashindwa kugundua kuwa hiyo ni photoshop siyo picha asilia?
Photoshop kabisa hiyo. Jamaa hana kichwa kikubwa hivyo. Na hana ndevu nyingi kiasi hicho. Na hana mwili mkubwa kiasi hicho. Na upana wa bega zake sio kubwa kama hivyo. Na jamaa hana mikono mikubwa hivyo. Linganisha na ile video wakiwa wamemkamata ndio utaona.
Huyo aliyefanya photoshop uwezo wake ni mdogo mno.

Halafu walioua ni hamas. Maana siku ya tukio hawakufunika sura na walitumia pikipiki kufanya matukio ya mauaji. Ukiangalia vizuri video ya kumkamata Joshua utaona kuna pikipiki. Na kuna mmoja kavaa kilemba cha njano.

Udini
 
From North to South HAMAS terrorists watauwawa kama vilivyoua vijana wetu Joshua na Clemence. Mungu Ibariki ISRAEL iifute HAMAS kwenye uso wa dunia.
 
Back
Top Bottom